(Yesterday)

Mtanzania

WILAYA DODOMA YAKABILIWA UHABA WA MBEGU

5264122426_baedb1a072_b

NA PENDO MANGALA -DODOMA

WILAYA ya Dodoma inakabiliwa na uhaba wa mbegu za mazao yanayostahamili ukame kama mtama, hali inayosababisha baadhi ya wafanyabiashara kufanya udanganyifu kwa kuuza mbegu feki.

Dodoma ni miongoni mwa mikoa yenye ukame ambayo wataalamu wa kilimo wamekuwa wakiwashauri wananchi kulima mazao yanayostahamili ukame kama vile mtama, uwele na mihogo, huku wananchi wakitahadharishwa kuwa makini wakati wa kununua mbegu.

Mkuu wa Ghala la Hifadhi ya Chakula Kanda ya Kati...

 

(Yesterday)

Bongo5

Dhamira ya serikali kuhamia Dodoma ipo palepale – Waziri Jenista

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama amesema ratiba ya kuhamia Dodoma kwa mawaziri, manaibu, makatibu wakuu na manaibu ipo pale pale.

Waziri Jenista ameyazungumza hayo kwa wanahabari Alhamis hii mjini Dodoma na kusema uamuzi uliotolewa na Rais Magufuli upo palepale.

Alisema hata Waziri Mkuu amekuwa akisisitiza ratiba ya kuhamia Dodoma kwa awamu ya kwanza Februari mwaka huu ambayo itahusisha mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu...

 

(Yesterday)

Habarileo

‘Ratiba ya kuhamia Dodoma iko palepale’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama amesema ratiba ya kuhamia Dodoma kwa mawaziri, manaibu, makatibu wakuu na manaibu iko palepale.

 

1 day ago

Channelten

1 day ago

Channelten

2 days ago

Habarileo

RC ataka halmashauri Dodoma zitumie fursa

HALMASHAURI mkoani Dodoma, zimetakiwa kujipanga na kujiandaa kutumia vizuri fursa ya serikali kuhamia mjini hapo badala ya kuiachia manispaa peke yake.

 

3 days ago

Dewji Blog

DC Kongwa apiga marufuku wananchi kutengeneza pombe za kienyeji

Mkuu wa wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deogratius Ndejembi amepiga marufuku matumizi ya nafaka kutengenezea pombe za kienyeji ili kujikinga na baa la njaa.

Ndejembi amesema kumekuwa na tabia ya wananchi kufanya sherehe zisizokuwa na tija ikiwemo zile za jando na ngoma za asili kwa kutumia nafaka.

Akizungumza na Idara ya Habari, Ndejembi  amesema hivi sasa wilayani Kongwa kipo chakula cha kutosha majumbani, sokoni na kwenye maghala yanayotumika kuhifadhi chakula.

Amesema chakula kilichopo...

 

3 days ago

Mwananchi

Tunataraji kuona ndege nyingi zaidi Dodoma

Kwa mara ya kwanza katika historia, ndege ya kwanza ya abiria ilitua juzi mjini Dodoma ikiwa na abiria 76, akiwamo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

 

3 days ago

Channelten

3 days ago

Channelten

3 days ago

Channelten

4 days ago

Habarileo

ATCL yaanza safari za Dodoma

NDEGE mpya aina ya Bombardier Q400 imeanza safari za Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuboresha Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), itoe huduma bora na kwa bei nafuu.

 

4 days ago

Global Publishers

Nauli ya Ndege ya Bombardier kwa Dar – Dodoma Hii Hapa

majaliwa-3Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua safari za ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Makao Makuu ya Nchi, Dodoma.

Akizindua safari hizo leo amesema safari hizo zitawezesha wafanyabiashara na wananchi wengine kutoka Dodoma na kwenda katika maeneo mengine kwa urahisi.

“Tuna ndege nzuri. Tuzitumie kwenda katika maeneo mengine kwani gharama zake ni nafuu. Kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam ni sh. 165,000, kwenda na kurudi ni  sh. 299,000,”...

 

5 days ago

Bongo5

Wajasiriamali wa kike Dodoma walalamika kuombwa ‘uroda’ ili wapewe vibanda vya biashara

Serikali mkoani Dodoma imeombwa kuingilia kati mgogoro katika soko lisilo rasmi la Rehema Nchimbi kutokana na malalamiko ya wajasiriamali wanawake kuombwa rushwa ya ngono sambamba na kulipishwa fedha bila kupewa risiti.

Walitoa malalamiko yao juzi mbele ya waandishi wa habari muda mfupi baada ya uongozi wa soko hilo kuwatangazia wafanyabiashara hao kuwa mkutano ambao ulikuwa ufanyike siku hiyo hautakuwepo, jambo ambalo lilikataliwa na wajasiriamali hao.

Mmoja wa wajasiriamali katika soko...

 

5 days ago

TheCitizen

ETHICS : Moral route critical for move to Dodoma

After dreaming of the relocation of our country’s capital from the lovely coastal city of Dar es Salaam to centrally-located Dodoma, we have suddenly woken up. It has now become a reality. Other countries that moved their capitals and for some, a long time ago include India the seat of power from Calcutta to New Delhi in 1911.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani