1 week ago

Mwananchi

Mwenyekiti Karagwe ajionea uharibu chanzo cha maji

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Wallesi Mashanda amesema chanzo cha maji cha Kabagendera kumeharibiwa kutokana na shughuli za kibinadamu.

 

2 weeks ago

Ippmedia

Moto mkubwa uliozuka wateketeza soko la Kayanga wilayani Karagwe

Moto mkubwa uliozuka kwenye soko la Kayanga lililoko wilayani Karagwe mkoani Kagera umeteketeza mali zilizokuwa kwenye vibanda vya wafanyabiashara katika soko hilo.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA MUGANZA MKOANI GEITA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani Chato mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera. PICHA NA IKULU

 

1 month ago

Michuzi

ZIARA YA KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA SHAKA WILAYANI NGARA MKOA WA KAGERA

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la Utengenezaji wa Madawati katika...

 

2 months ago

Ippmedia

Police in Karagwe hold four livestock keepers following invasion of land.

Four pastoralists including Businde ward councilor in kyerwa district are being held by the police in Kagera region following invasion of land allocated for development projects.

Day n Time: Thursday 8:00 PMStation: CAPITAL TV

 

2 months ago

Mwananchi

Tibaijuka akumbusha ahadi ya Samia Muleba

Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) mkoani Kagera, Profesa Anna Tibaijuka ameikumbusha Bodi ya Barabara ya mkoa huo kuhusu utekelezaji wa ahadi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ya ujenzi wa barabara iendayo Ziwa Burigi.

 

3 months ago

Ippmedia

Government distributes food aid to hunger victims in Karagwe

Thousands of residents in Kihanga ward Karagwe district kagera region faced with food shortage have turned up to receive food aid provided by the minister of agriculture, livestock and fisheries Dr Charles Tizeba to address the situation.

Day n Time: Thursday 8:00 PMStation: CAPITAL TV

 

3 months ago

Mwananchi

Ukame wapukutisha ng’ombe Karagwe

Kasi ya mifugo kupukutika imeongezeka wilayani Karagwe kutokana na  ukame na sasa unaweza kupata ng’ombe kwa Sh20,000 kutoka bei ya awali ya Sh600,000.

 

4 months ago

Ippmedia

Residents of Karagwe faced with hunger

Fifty percent of residents of Karagwe district Kagera region are faced with hunger due to drought that has caused their crops to dry up and more than 1000 livestock to die from lack of food and water, with victims of the earth quake in need of food aid.

Day n Time: Monday 8:00 PMStation: CAPITAL TV

 

4 months ago

Ippmedia

Asilimia 50 ya wananchi wilayani Karagwe wanakabiliwa na janga la njaa

Asilimia 50 ya wananchi wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera wanakabiliwa na janga la njaa kutokana na ukame ulioathili mazao ya chakula, kahawa na mifugo zaidi ya 1000 imekufa kwa kukosa malisho na maji huku wahanga wa tetemeko la ardhi wakikosa misaada ya chakula kutoka kwa ndugu na jamaa hali inayohatalisha maisha ya watu.

Day n Time: Jumatatu Saa 2:00 Usiku Station: ITV

 

4 months ago

Ippmedia

Kamati ya maafa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera imeanzisha mpango wa kugawa misaada

Kamati ya maafa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera imeanzisha mpango wa kugawa misaada ya chakula kwa waathirika wa tetemeko la ardhi ambapo kaya 61 zimenufaika huku kaya zaidi ya 100 zikoikosa huduma na gereza la Kitengure likipatiwa mahema ya kuhifadhi wafungwa kwa lengo la kuwanusuru wasiangukiwe na kuta ambazo wakati wowote zinaweza kuhatalisha maisha ya watu baada ya kuathirika kwa kiwango kikubwa.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

4 months ago

Ippmedia

Tetemeko la ardhi laua mmoja na kujeruhi watatu Karagwe

Katika wilaya ya Karagwe mkoani Kagera tetemeko la ardhi limesababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi wengine watatu na kuangusha nyumba kumi.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

5 months ago

MillardAyo

PICHA 21: Ilivyohappen Fiesta 2016 Muleba

WW

Msimu wa burudani ya FIESTA unaendelea mtu wangu ambapo  usiku wa August 28 2016 ilikuwa zamu ya watu wa Muleba mkoani Kagera, kama hukubahatika kuwepo Muleba basi nakusogezea picha 15 ujionee FIESTA ilivyohappen mkoani hapo. Wakali wa Bongo fleva waliopanda stegini ni Maua Sama, Baraka da Prince, Manfongo, Jux,Msami, Darassa, Joh Makini, Shilole, Chegge, Christian Bella, Navy Kenzo, Sholo […]

The post PICHA 21: Ilivyohappen Fiesta 2016 Muleba appeared first on...

 

5 months ago

MillardAyo

PICHA 15: Ilivyohappen Fiesta 2016 Muleba

67

Msimu wa burudani ya FIESTA unaendelea mtu wangu ambapo  usiku wa August 28 2016 ilikuwa zamu ya watu wa Muleba mkoani Kagera, kama hukubahatika kuwepo Muleba basi nakusogezea picha 15 ujionee FIESTA ilivyohappen mkoani hapo. Wakali wa Bongo fleva waliopanda stegini ni Maua Sama, Baraka da Prince, Manfongo, Jux,Msami, Darassa, Joh Makini, Shilole, Chegge, Christian Bella, Navy Kenzo, Sholo […]

The post PICHA 15: Ilivyohappen Fiesta 2016 Muleba appeared first on...

 

5 months ago

Mwananchi

Uhalifu mpakani wawatesa Karagwe

Karagwe. Wakazi wa vijiji vya Muguruka na Chamchuzi wilayani hapa, Mkoa Kagera wameiomba Serikali kuimarisha ulinzi wa mpaka wa Tanzania na Rwanda kwenye mwalo wa Rukombe na vijijini vilivyopo pembezoni mwa mto Kagera kutokana na kukithiri kwa  uhalifu.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani