7 months ago

Michuzi

7 months ago

Michuzi

NDITIYE: SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA UFAULU KITAIFA

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) wakati akipokea mbio za mwenge wa Uhuru ulipowasili Wilaya ya Kibondo kwenye jimbo lake la Muhambwe ukitokea Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma. Amesema kuwa Wilaya ya Kibondo imeongoza kwa ufaulu wa shule za sekondari kwa miaka miwili mfululizo ya masomo mwaka 2016 na 2017 ambapo kidato cha pili wameshika nafasi ya nane kitaifa na kidato cha nne wameshika nafasi ya tisa kitaifa na kuzibwaga sekondari...

 

7 months ago

Malunde

WANANCHI KIBONDO WAELEZA KUTORIDHISHWA NA UPATIKANAJI WA DAWA JAPO WANA KADI ZA BIMA YA AFYA


Wakazi wa kijiji cha Mabamba kata ya Mabamba wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma wameeleza kutoridhishwa na huduma ya upatikanaji wa dawa katika kituo chao cha afya cha Mabamba wilayani Kibondo licha ya kuwa na kadi za bima afya na hivyo kuiomba serikali kuwatatulia tatizo hilo.

Wakizungumza wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru baadhi ya wakazi hao akiwemo Ester Honoli na Gloria Razalo wamesema mara kadhaa wanapofika katika kituo hicho cha afya kupata huduma za matibabu huwa hawapatiwi dawa na...

 

10 months ago

Malunde

MBUNGE WA KASULU KUZUNGUKIA VIJIJI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI


Mbunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini Agaustine Vuma ameahidi kuzunguka vijijini kuangalia changamoto zinazowakabili Wananchi na aweze kuzifikisha Serikali zitatuliwe na wananchi waendelee kufurahia uongozi wao uliopo madarakani.
Mbunge huyo ametoa ahadi hiyo jana wakati akikagua miradi inayotekelezwa katika jimbo hilo ikiwemo mradi wa kituo cha afya cha Nyakitonto kilichotengewa kiasi cha shilingi milioni 500 ambapo mpaka sasa ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 70 mpaka sasa na fedha...

 

10 months ago

Michuzi

MBUNGE KASULU VIJIJINI AAHIDI KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
MBUNGE wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Agaustine Vuma ameahidi kufanya ziara ya kutembelea vijijini vyote vya jimbo hilo kwa lengo la kuangalia changamoto na kero zinazo wakabili wananchi.
Amefafanua changamoto atakazokutanazo baada ya kuwasikiliza wananchi wake, hatua itakayofuata ni kuzifikisha Serikali zitatuliwe ili waendelee kufurahia uongozi wao uliopo madarakani.
Vuma amesema hayo jana wakati akikagua miradi inayotekelezwa katika jimbo hilo ikiwemo mradi wa Kituo...

 

11 months ago

Michuzi

UNHCR YAWAWEZESHA WAKIMBIZI WENYE MAHITAJI MAALUM KUKABILIANA NA CHANAGAMOTO ZA MAISHA NDANI YA KAMBI YA NDUTA WILAYA KIBONDO MKOANI KIGOMA

Ujumbe wa Wanahabari na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  Wakiwa na Maofisa wa Shirika la Help Age International wakizungumza na Kikongwe cha Miaka 80 ambaye anapata huduma za kijamii kutoka UNHCR Kupitia  Shirika la Help age ndani ya Kambi ya Wakimbizi ya Nduta Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma. Wazee na Walemavu katika Kambi hizo za wakaimbizi wamekuwa na Changamoto kubwa ya kuweza kujipatia mahaitaji ya kila siku na kufanya shughuli zingine...

 

1 year ago

Michuzi

DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA KATIKA KATA ZAO.

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
WILAYA ya Kibondo inakabiliwa na upungufu wa vituo vya Afya, ambapo katika Wilaya nzima kuna vituo vya afya viwili hali inayopelekea Wananchi wa Wilaya ya Kibondo kukosa vituo vya kwenda kutibiwa na kupelekea ongezeko la vifo kwa Wananchi kutokana na kukosa huduma.

Kufuatia hali hiyo Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Luis Bura amewaagiza Madiwani kuhakikisha wanawahamasisha Wananchi katika kata zao kuibua vituo vya Afya kwa kuanzisha ujenzi Wa vituo hivyo na...

 

1 year ago

Michuzi

WADAIWA SUGU WA MAJI WILAYA YA KIBONDO KUUNDIWA KIKOZI KAZI

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
MKUU wa Wilaya ya Kibondo Luis Bura ameahidi kuunda kikosi kazi, kitakacho pita na kukusanya kiasi cha shilingi milioni 50 kwa Wadaiwa sugu wa Mamlaka ya maji safi Wilayani kibondo na kuhakikisha zinalipwa na kukabidhiwa kwa bodi mpya ya maji pamoja na kusitishia huduma ya maji kwa wale wote watakao shindwa kulipia madeni yao ya Nyuma.

Aidha Bura aliwaagiza wale wote wanao lima karibu na vyanzo vya maji kuacha kulima na kuondoa mazao yao kabla ya kuanza...

 

1 year ago

CCM Blog

MAELFU WALIVYOFURIKA KATIKA MKUTANO WA RAIS DK. MAGUFULI WILAYANI KASULU MKOANI KIGOMA, JANA
Maelfu ya wananchi wa Kasulu Mjini waliohudhuria Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyeweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kidahwe - Kasulu yenye urefu wa kilometa 63. Barabara hii inajengwa na Serikali ya Tanzania kwa gharama ya Shilingi Bilioni 66.331 na itakamilika ifikapo Septemba 2018

 

1 year ago

Mwananchi

Zaidi ya Sh1.1 bilioni kupeleka maji Kibondo

 Baada ya chanzo kilichokuwapo kuharibika, Serikali imetenga zaidi ya Sh1.1 bilioni ili kuboresha huduma ya maji wilayani Kibondo mkoani Kigoma.

 

1 year ago

Michuzi

KIKAO CHA BULEMBO NA WAJUMBE WILAYANI KIBONDO CHANOGA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akiingia ukumbini kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kibondo, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, leo Wilayani Kibondo akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Tanzania, Alhajj Abdallah Bulembo akiwa amewasili ukumbini tayari kwa kikao hicho. Kushoto ni Katibu wa Jumuia hiyo mkoa wa...

 

1 year ago

CCM Blog

BULEMBO NDANI YA WILAYA YA KASULU MKOANI KIGOMA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kasulu, Mabalozi, Watendaji wa CCM na wa Serikali, katika kikao cha ndani kilichofanyika leo, Juni 2, 2017, mjini Kasulu, akiwa katika mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kasulu,...

 

2 years ago

Mwananchi

Zaidi ya wagonjwa sita hufanyiwa upasuaji kila siku Kibondo

Imeelezwa kuwa kati ya wagonjwa sita hadi saba wanaofika kila siku katika Hospitali ya Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma hufanyiwa upasuaji.

 

2 years ago

Malunde

MKUU WA WILAYA YA KASULU ANG'OLEWA KISHA KURUDISHWA JESHINI


Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi, ameondolewa katika wadhifa huo na kurejeshwa jeshini.

Akithibitisha habari hizi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Kasulu (DAS), Titus Mughuha, amesema Kanali Mkisi alitoa taarifa za uhamisho huo katika kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama na kusema kuwa, anarejea makao makuu ya jeshi alikokuwa awali kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
‘Ni kweli Kanali Martin Mkisi amepata barua ya kurudi makao makuu ya jeshi, uhamisho huo...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani