3 weeks ago

Mwananchi

Madaktari wacharuka, wamtangaza DC Kilwa kuwa adui yao namba moja

Chama cha Madaktari (Mat) kimewataka viongozi wa serikali, hasa wakuu wa mikoa na wilaya kuacha kuwadhalilisha watumishi wa umma na kumtangaza mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai kuwa adui namba moja wa afya.

 

3 months ago

Channelten

Ajali ya Barabarani Nachingwea Zaidi ya watu 40 wanusurika kufa

screen-shot-2017-01-05-at-6-11-35-pm

Zaidi ya watu 40 waliokuwa wakisafiri na Lori lenye namba za usajili T294 BRZ kutoka Masasi Mkoani Mtwara kwenda Mnero wilayani Nachingwea mkoani Lindi kwa ajili ya mnada wa bidhaa mbalimbali wamenusurika kufa baada ya Lori hilo kupinduka katika kijiji cha Nammanga Nachingwea.

Majeruhi kadhaa wa ajali hiyo walikimbizwa katika hospitali ya Ndanda na Hospitali ya wilaya ya Nachingwea.

Channel ten imefika katika eneo la ajali katika Kijiji cha Nammanga na kushuhudia Gari hilo linalomilikiwa na...

 

3 months ago

Ippmedia

Authorities in Kilwa district destroy illegal fishing gear worth 12 million shillings.

The security and defense committee in Kilwa region has illegal fishing gear worth more than 12 million shillings.

Day n Time: Wednesday 08:00 PMStation: CAPITAL TV

 

3 months ago

Michuzi

Malaka ya Bandari yashauriwa kuitupia jicho Bandari ndogo ya Kilwa Masoko

Kivuko kilichopo katika Bandari ya Kilwa Masoko ambacho hakitumiki mara kwa mara ambapo wanachi hutumia boti zinazotoza nauli ya shilingi 1,000.
Na Adili Mhina, Kilwa.Mamlaka ya Bandari imeshauriwa kuiangalia bandari ndogo ya Kilwa Masoko katika kuboresha miundombinu na vitendea kazi ili kuongeza ufanisi wa shughuli bandari hapo ikiwa ni njia mojawapo ya kuweka mazingira mazuri kwa wafanyabiashara nchini. 
Ushauri huo umetolewa hivi karibuni na Kaimu Katibu Mtendaji kutoka Tume ya Mipango Bibi...

 

3 months ago

Channelten

Miradi ya Maendeleo Kilwa ,Mkuu wa Mkoa Lindi Atoa Agizo

lindi

Mkuu wa mkoa wa Lindi Godfrey Zambi ameuagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani humo kutoanza miradi mipya hadi miradi iliyokwishaanza kukamilika.

Akiwa katika ziara wilayani humo, Zambi ameeleza kutoridhishwa na miradi mingi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo ikiwemo ya elimu na afya kutokamilika licha ya kuchangiwa kwa asilimia kubwa na jamii na fedha nyingi za serikali zikiwa zimetumika hali, ambayo inachangia wananchi kukosa huduma muhimu,

Akikagua jengo la...

 

4 months ago

Channelten

Kufuatia Channel ten hivi karibuni kurusha malalamiko ya ubovu wa soko la samaki ukarabati mkubwa umefanywa Kilwa

screen-shot-2016-11-29-at-3-13-02-pm

Kufuatia Taarifa ya habari kituo cha Channel ten ya hivi karibuni kurusha malalamiko ya ubovu wa soko la samaki ktk soko kuu la Kilwa masoko, ukarabati mkubwa umefanywa na kuweka eneo hilo biashara katika hali ya ubora baada ya Diwani wa kata ya Masoko ambae pia ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo kutumia posho na mishahara yake kurikarabati.

screen-shot-2016-11-29-at-3-12-43-pm

Channel ten imefika katika soko hilo leo na kujionea soko hilo likiwa limebadilika ukilinganisha na wiki iliyopita kufuatia Diwani wa Kata ya...

 

5 months ago

Channelten

5 months ago

Channelten

5 months ago

Channelten

5 months ago

Channelten

5 months ago

Channelten

Kufuatia upatikanaji wa Nyangumi kandokando ya Bahari ya Kilwa imeonyesha kusaidia kutangaza utalii

img-20161014-wa0025

Kufuatia upatikanaji wa Nyangumi kandokando ya Bahari ya Kilwa pamoja na Uwepo wa Vivutio Vingi katika Ukanda wa Wilaya hiyo Idara ya Makumbusho ya Taifa Imeanza mchakato wa kufanya onyesho kubwa la kutangaza vivutio na rasilimali ambazo bado zipo na zilizokuwepo Ili kusaidia kutangaza utalii.

Ikiwa ni siku chache Tokea kupatikana kwa mnyama mkubwa anaenyonyesha kati ya viumbe walio baharini akiwa na urefu wa Mita 41 ikiwa ni wa kwanza Kupatikana Nchini,Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya...

 

5 months ago

Channelten

Uvuvi haramu wilaya ya Kilwa

hqdefault-2

Wilaya ya Kilwa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imetoa siku 14 kwa wale wote wanaojihusiha na uvuvi haramu wilayani humo kujisalimisha na kukabidhi zana zote zinazotumika kwa uvuvi huo usiofaa.

Akizungumza katika zoezi la uteketezaji wa zana haramu za uvuvi, Mkuu wa wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai amesisitiza licha ya wavuvi 36 kujisalimisha, tayar wilaya hiyo imekwishafunga kambi zote za uvuvi zilizo nje ya utaratibu.

Awali, akitoa taarifa kuhusu changamoto za kukabiliana na...

 

5 months ago

Mwananchi

Madai ya walima korosho yageuka kaa la moto Kilwa

Madai ya Sh5 milioni ya wakulima wa korosho yamegeuka kaa la moto kwa viongozi na watendaji wa chama cha ushirika wilayani hapa.

 

5 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGIZA MAPATO YA HOSPITALI YA NACHINGWEA YAKUSANYWE KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

luw2Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongea na watumishi wa Hospitali ya Nachingwea pamoja na wananchi waliofika katika Hospitali ya nachingwea Waziri Mkuu alifanya ziara ya kutembelea hospitalini hapo kwa ajili yakuona na kusikiliza wagonjwa wanavyo pata huduma  
WAZIRI MKUU AAGIZA MAPATO YA HOSPITALI YA NACHINGWEA  YAKUSANYWE KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha...

 

5 months ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu aagiza mapato ya hospitali ya Nachingwea yakusanywe kwa njia ya kielektroniki

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Bw. Bakari Mohammed kuhakikisha hospitali ya wilaya hiyo inakusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kielektroniki.

Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Oktoba 16, 2016) wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya Nachingwea akiwa kwenye ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani Lindi.

Waziri Mkuu amesema Serikali ilishaagiza taasisi zote za umma kutumia mfumo wa kielektroniki katika...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani