3 weeks ago

Mwananchi

TALGWU kumburuza Mkurugenzi Kilosa Mahakamani.

Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za mitaa (TALGWU) mkoani Morogoro kimedhamiria kumburuza mahakamani Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kwa kusitisha mishahara ya wafanyakazi kinyume na utaratibu.

 

3 weeks ago

CCM Blog

ZIARA YA POLEPOLE MKOA WA MOROGORO YAWANG'OA KAMATI YA SIASA KATA YA KIDATU WILAYA YA KILOMBERO

Katibu wa Hakmashauri kuu Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Pole Pole akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kilombero  katika mkutano wa ndani uliofanyika Julai 28, 2017, katika Kata ya Kidatu akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Morogoro.
KIDATU, MOROGOROWajumbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya kidatu wamejiuzulu nafasi zao za uongozi kwa pamoja na kuomba radhi wanachama kwa makosa ya kushindwa kutoa uongozi madhubuti.
Akiwa katika ziara ya...

 

3 weeks ago

TheCitizen

Kidatu – Kilombero road for upgrading

Government has signed a Sh101 billion grant, money which will be used to upgrade Kidatu - Ifakara road.

 

3 weeks ago

Michuzi

Wafanyakazi Benki ya NMB Kilosa wamnunulia mguu wa bandia mtoto mlemavu

WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB wilayani Kilosa, Morogoro kwa kushirikiana na Kitengo cha Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) cha benki hiyo wametoa msaada kwa mtoto Sheila Bushiri (7) ambaye alizaliwa akiwa mlemavu wa mguu mmoja kufanyiwa upasuaji na kumnunulia mguu wa bandia ili aweze kutembea kama watu wengine. 
Akizungumza kuhusu msaada huo, Meneja wa tawi la benki ya NMB KIlosa, Dismas Prosper alisema walimjua mtoto huyo kupitia Bi. Shalphina Lipinga ambaye alikwenda ofisini kwao kuomba msaada wa...

 

4 weeks ago

Mwananchi

Pacha walioungana Kilosa wahamishiwa Muhimbili

Watoto pacha walioungana ambao walizaliwa wilayani Kilosa, wamehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

 

1 month ago

Michuzi

Ulanga wapongezwa kwa kuibua na kuhamasisha miradi yenye manufaa kwa wananchi.

Na Sekela Mwasubila. Afisa habari UlangaKatibu Tawala Msaidizi Bw. Noel Kazimoto ametoa pongezi hizo wakati wa ziara yake ya ukaguzi na uhamasishaji na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ndani ya wilaya akiwa na viongozi kutoka ofisi ya Rais TAMISEMI.  Bw. Kazimoto aliwapongeza viongozi wa kijiji hicho na watu wote waliochangia ujenzi huo hadi hatua hiyo na kuwakumbusha kusoma mapato na matumizi ya ujenzi huo na kuwashauri kuendelea kubuni miradi yenye manufaa kwa wananchi.  Hata hivyo Bw....

 

1 month ago

Channelten

Wakulima wa vitunguu (w) Kilosa wakabiliwa na changamoto zinazodai utatuzi

rumb

Wakulima wa vitunguu katika bonde la Ruaha wameiomba serikali kuingilia kati ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo kupanda kwa gharama za pembejeo, ukosefu wa soko la uhakika pamoja na athari zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi

Wakiongea kwa nyakati tofauti wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea bonde la Ruaha linavyosaidia katika uzalishaji wa zao la vitunguu ambapo wakulima wamesema mabadiliko ya tabia nchi yamesababisha hasara kubwa baada ya mvua nyingi...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Tatizo la maji laikumba shehia ya kilombero

Wananchi wa Jimbo la Kiwengwa  Shehia ya Kilombero Mkoa wa kaskazini  Unguja Wilaya ya kaskazini B wamelalamikia kuwepo kwa  tatizo la maji  katika maeneo  yao hali inayopelekea kutumia maji ya mito na visima ambayo hawana uhakika kwa usalama wa afya zao.

Akizungumza na Mwandishi wetu Katibu wa Sheha wa shehia ya Kilombero John Ndarami  Makeja amesema kukosekana  kwa huduma ya maji safi na salama  kunawapa wasiwasi mkubwa  kupata ugonjwa wa Mripuko kutokana na wananchi walio wengi  kutumia...

 

2 months ago

Mwananchi

Daraja la mto Kilombero lafungwa kupisha ujenzi

Wakazi wa wilayani Kilombero wanatarajia kurejea katika matumizi ya kivuko katika kuvuka mto Kilombero kufuatia daraja la mto Kilombero linalounganisha wilaya za Ulanga na Malinyi kufungwa kwa muda.

 

2 months ago

Michuzi

Magreth Sinyangwa wa Kilosa Morogoro apokea Milioni 20 za Biko

MJASIRIAMALI mwanamke mwenye umri wa miaka 26, Magreth Sinyangwa amekabidhiwa jumla ya Sh Milioni 20 za ushindi wa bahati nasibu ya Biko, aliyoupata katika droo kubwa iliyochezeshwa juzi Jumatano, jijini Dar es Salaam, huku akiwa mwanamke wa kwanza kuibuka na ushindi huo.
Sinyangwa amekabidhiwa fedha hizo Kilosa katika benki ya NMB, mkoani Morogoro na Meneja Masoko wa Biko, Goodhope Heaven, ambaye pamoja na mambo mengine, alimpongeza mshindi huyo na kumtaka azitumie fedha zake kwa uangalifu...

 

2 months ago

Michuzi

Magreth Sinyangwa wa Kilosa Morogoro azoa Milioni 20 za Biko

MOTO wa bahati nasibu ya Biko ama ‘Ijue Nguvu ya Buku’, umezidi kuchanja mbuga baada ya droo yake ya 14 kufanyika leo jijini Dar es Salaam, huku mkazi wa Kilosa Morogoro, Magreth Sinyangwa, akiwa mwanamke wa kwanza kuzoa jumla ya Sh Milioni 20 zinazotolewa na waendeshaji wa bahati nasibu hiyo inayotikisa hapa nchini.
Droo hiyo iliyompelekea utajiri mshindi huyo wa Morogoro, imechezeshwa na Balozi wa Biko Tanzania, Kajala Masanja na kushuhudiwa pia na mwakilishi wa Bodi ya Michezo ya...

 

3 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AAGIZA KILOSA WAILIPE GAIRO DENI LA0

* Ni la sh. milioni 213/- la fedha za maendeleo.*Ataka apewe taarifa ifikapo Juni 30. 
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Bw. Clifford Tandari aitishe kikao na uongozi wa Halmashauri ya Kilosa na kupata kauli yao ni lini watalipa zaidi ya sh. milioni 210 wanazodaiwa na Halmashauri ya Gairo.
“Katibu Tawala itisha kikao cha Mwenyekiti wa Halmashauri, Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri, waseme ni lini watazileta fedha hizo ambazo zilitumwa kwao...

 

3 months ago

Mwananchi

Vijiji 19 vyamaliza mgogoro wa ardhi Ulanga

Ulanga. Vijiji 19 vilivyopo katika Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro vimefanikiwa kumaliza migogoro ya kugombea mipaka baada ya Mradi wa Uwezeshaji  Umilikishaji Ardhi (LTSP) kupitia wataalamu wa ardhi kuweka alama za mipaka.

 

5 months ago

Zanzibar 24

Mbunge wa Kilombero (CHADEMA) Peter Lijualikali aachiwa huru

Mahakama Kuu ya Dar es Salaam leo March 30 imetengua hukumu aliyopewa Mbunge wa Kilombero wa tiketi ya CHADEMA, Peter Lijualikali na kumuachia huru kwa  kifungo cha miezi sita alichohukumiwa kukitumikia gerezani.

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa miezi 6 jela kwa  kupatikana na kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero na kushitakiwa kwa  kuwashambulia polisi siku hiyo ya uchaguzi, huku...

 

5 months ago

Mwananchi

Ripoti yabaini madudu elimu ya msingi Kilombero

Ripoti ya ufuatiliaji wa mgawanyo na matumizi ya rasilimali za umma katika sekta ya elimu ya msingi kwa mwaka 2016 wilayani Kilombero imebaini kuwapo tofauti ya takwimu za idadi ya wanafunzi na fedha zinazopelekwa kati ya shule na idara ya elimu.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani