2 weeks ago

Mwananchi

Wananchi Masasi wagomea utafiti wa madini

Wananchii wa Kijiji cha Chiwata kilichopo Ndanda Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamekataa mchakato wa utafiti wa uchimbaji  madini kutokana na kile walichokidai ni  kutoshirikishwa katika ufanyaji wa tathmini ya mashamba yao.

 

1 month ago

BBCSwahili

Mizani yahakikiwa Masasi

Wakala wa Vipimo (WMA) nchini Tanzania imeendelea na zoezi la utoaji wa elimu pamoja na uhakiki wa mizani kwenye vyama mbalimbali vya wakulima

 

1 month ago

Channelten

Chama kikuu cha ushirika wa mazao cha wilaya ya Mtwara Masasi na Nanyumbu MAMCU Ltd kipo hatarini kuvunjika

Mkulima-akiweka-mahindi-kwenye-mifuko

Chama kikuu cha ushirika wa mazao cha wilaya ya Mtwara Masasi na Nanyumbu MAMCU Ltd kipo hatarini kuvunjika baada ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Masasi kuweka azimio la kuwashawishi wakulima kupitia vyama vyao vya msingi kujitoa katika chama hicho kikuu kutokana na kutokulipwa fedha zao za mauzo ya korosho kiasi cha shilingi bilioni 1.3.

Kati ya shilingi bilioni 1.3 ambazo hazijalipwa kwa wakulima ,ni kiasi cha shilingi milioni 947 ndizo za wakulima wa halmashauri ya wilaya ya...

 

3 months ago

MwanaHALISI

Tanroads yatenga bil 3 kujenga madaraja Masasi

WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kutenga fedha kiasi cha Sh. 3 bilioni kwa ajili madaraja ya Halmashauri ya wilayani Masasi katika bajeti ya mwaka 2017/18, bunge lilielezwa, anaandika Dany Tibason. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Seleman Jafo alipokuwa akijibu ...

 

5 months ago

CCM Blog

SHAKA AONGOZA MAMIA KUMZIKA ALLY NASRI MASASI MKOANI MTWARA

 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka pamoja na Vijana na Viongozi mbali mbali wa Chama Wakibeba Mwili wa Marehemu Ally Seleman aliyekuwa Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ludewa
 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akisain kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM Wilayan Masasi
 Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka ,akimfariji Mzee Suleiman Nasr,Baba Mzazi wa aliyekuwa katibu wa Umoja Wa Vijana wa CCM Wilaya ya Ludewa...

 

6 months ago

Channelten

Waliowaibia wakulima Masasi wakamatwe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza

screen-shot-2017-01-08-at-5-51-55-pm

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amewakamata na kuwaweka ndani viongozi wanne wa chama cha msingi cha ushirika cha wakulima wa korosho wilaya ya Masisi mkoani Mtwara MAMCU na CHAMALI AMCOS kwa kosa la kuwaibia na kuwasababishia wakulima hasara ya Zaidi ya shilingi bilioni 20 zilizotokana na ucheleweshwaji wa kupeleka korosho mnadani na makato ya unyaufu ya asilimia mbili ambayo hayapo kwa mujibu wa sheria.

Katika kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Ruvuma waziri mkuu Majaliwa amesema jana...

 

6 months ago

Ippmedia

One person killed and 10 others were injured in a rain storm in Tandahimba district.

Residents of Kibirizi ward in Kigoma municipal held a demonstration in protest of an investment in the areas that has resulted in shortage of water for more than 30-thousand residents.

Day n Time: Tuesday 08:00 PMStation: CAPITAL TV

 

8 months ago

Channelten

Mkuu wa wilaya ya Tandahimba amepiga marufuku vyama vya msingi vinavyoenda kununua korosho kwa wakulima

screen-shot-2016-10-24-at-5-06-30-pm

Mkuu wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara Sebastian Waryuba amepiga marufuku vyama vya msingi vinavyoenda kununua korosho kwa wakulima wa vijiji vingine tofauti na wanachama wao kuacha mara moja ili kuepusha migogoro itakayoweza kutokea wakati wa mgawanyo wa fedha za ushuru unaotokana na makato ya korosho.

Hatua hiyo imekuja baada ya wakulima wa kijiji cha Jangwani kukisusia chama chao cha msingi Jangwani shirikishi na kukialika chama jirani cha Dinembo ili waweze kuuzia korosho zao kwa...

 

8 months ago

Channelten

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Tandahimba amempa siku 10 mfugaji Sadick Athuman

drought1

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Tandahimba ambae pia ni mkuu wa wilaya hiyo Sebastian Waryuba amempa siku kumi mfugaji Sadick Athuman mwenye kundi la ngíombe zaidi ya mia nne na hamsini kuhama wilayani humo baada ya kuanza kuleta migogoro baina yake na wakulima wa kijiji cha Lipalo B.

Mfugaji huyo ambaye ameingia ndani ya wilaya ya Tandahimba bila kufuata taratibu za kisheria tayari ndani ya siku sita alizokaa amelisha mifugo yake mazao ya wakulima zaidi ya kumi na...

 

8 months ago

Mwananchi

Bei ya korosho ‘yawalevya’ wakulima wa Tandahimba

Tandahimba. Bei ya korosho ghafi katika msimu wa mwaka 2016/2017 Wilaya ya Newala mkoani Mtwara imepanda hadi kufikia Sh3,810 kwa kilo moja kutoka Sh3,670.

 

9 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA KOROSHO CHA AMAMA NA KUHUTUBIA WANANCHI WA TANDAHIMBA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku NNE mkoani Mtwara kwa kuwahakikishia mamia ya wakazi wa wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kuwa serikali imetenga zaidi ya bilioni 170 kwa ajili ya utekeleza wa mradi mkubwa wa maji katika wilaya hiyo ili kuondoa tatizo la uhaba wa maji kwa wananchi wa Tandahimba.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati akihutubia mkutano wa hadhara mjini Tandahimba na...

 

10 months ago

Habarileo

Ofisa Habari Masasi afariki dunia

OFISA Habari wa Halmashauri ya Mji wa Masasi, Clarence Chilumba amefariki dunia jana wakati akipelekwa kwa matatibu zaidi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kujeruhiwa kutokana na ajali ya pikipiki.

 

11 months ago

Mtanzania

Sita wafukuzwa kazi kwa vyeti feki Masasi

FAKENa FLORENCE SANAWA, MASASI

HALMASHAURI ya Wilaya ya Masasi, Mkoa wa Mtwara, imewafukuza kazi watumishi sita waliokutwa na vyeti feki wakati wa uhakiki.

Taarifa hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, Satmah Juma alipokuwa akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani la wilaya hiyo.

Kwa mujibu wa Juma, watumishi hao baada ya kujua uhakiki wa vyeti umeanza kama Serikali ilivyoagiza, waliacha kuja kazini bila taarifa.

“Baada ya taarifa za uhakiki wa vyeti...

 

11 months ago

Channelten

Utaratibu Mpya wa Manunuzi ya Korosho Tandahimba

koroshooo

Baada ya wakulima wa zao la korosho wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kutolipwa fedha za bonasi kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni moja na milioni mia nne,mwenyekiti wa halmashauri hiyo Nankulya Suleiman Nankulya ametangaza utaratibu mpya utakaotumika katika shughui za manunuzi katika vyama vya msingi vya wakulima wa korosho.

Utaratibu huo unawataka viongozi wa vyama vya msingi kutoa taarifa za fedha na ununuzi kila wiki kwa afisa ushirika wa wilaya hatua ambayo itasaidia kubaini matumizi...

 

1 year ago

Mwananchi

Kata 18 Tunduru, Masasi kunufaika na mradi wa afya

Tunduru. Wakazi 145,341 kutoka kata 18 na vijiji 73 vya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara na Tunduru (Ruvuma), wameingia kwenye mradi wa kuboresha afya ya mama na mtoto wenye lengo la kupunguza vifo vya kundi hilo.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani