1 year ago

Zanzibar 24

Angalia Picha: Mpanda majengo marefu China afariki akionesha ujuzi wake

Mpanda majengo marefu ambaye ni maarufu sana nchini China amefariki wakati akionesha moja ya ujuzi wake hatari.

Wu Yongning alikuwa amejizolea maelfu ya mashabiki kwenye mitandao ya kijamii wa Weibo, kutokana na video zake fupi za kutisha akiwa juu ya majengo marefu bila ya kuchukua tahadhari zozote za kiusalama.

Wasiwasi uliwaingia mashabiki wake wakati aliacha kuchapisha video zake mwezi Novemba.

Sasa imeibuka kuwa alikufa baada ya kuanguka kutoka jumba la ghorofa 62 kwenye mji wa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mpanda majengo marefu afariki baada ya kuanguka China

Wu Yongning alikuwa amejizolea maelfu ya mashabiki kwenye mtandao ya kijamii wa Weibo, kutokana na video zake fupi za kutisha akiwa juu ya majengo marefu

 

1 year ago

CCM Blog

MPANDA MILIMA MASHUHURI DUNIANI APANDA MLIMA KILIMANJARO

Muongoza Watalii,Elvas Mlengwa wa kampuni ya Karibu Adventure akishusha Baiskeli maalumu kwa ajili ya zoezi la kupanda Mlma Kilimanjaro.Baiskeli Maalumu zinazotumika kwa ajili ya kupanda Milima .Muongoza Watalii, Ally Chuwa wa Kampuni ya Karibu Adventure akiweka kumbukumbu za vipimo vya mratibu wa Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli, Mario Martos  wa Safari Bike Africa kabla ya kuanza kupanda Mlima.Mmoja wa wageni wanaofanya utalii kwa njia ya Baiskeli ,Ramon Abecia...

 

1 year ago

Michuzi

MPANDA MILIMA MASHUHURI DUNIANI, JUANITO OIZARZABAL APANDA MLIMA KILIMANJARO

Mpanda milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal(katikati) raia wa Ureno na wenzake ,Ramon Abecia (kulia) na Eduardo Pascuaz wakijiandaa kuanza safari ya siku tano kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga, Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MPANDA milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal raia wa Ureno na wenzake wawili wameanza safari ya siku tano ,kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia lango la Kilema ikiwa ni aina mpya ya utalii...

 

1 year ago

Channelten

Mpanda Kwenda Katavi – 28.10.2017

Share on: WhatsApp

The post Mpanda Kwenda Katavi – 28.10.2017 appeared first on Channel Ten.

 

2 years ago

Mwananchi

Wakazi Mpanda wapewa miezi sita kupisha ujenzi wa reli

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngoyani ametoa miezi sita kwa wakazi wa Mpanda Mkoani Katavi kuondoka katika maeneo ya hifadhi za Reli ili kupisha maboresho yanayoendelea kufanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRL) kwenye miundombinu yake.

 

2 years ago

Michuzi

Serikali Kuimarisha Uwanja wa Ndege wa Mpanda


Serikali imemuagiza Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda kuwasiliana na Kampuni ya Uendelezaji Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KADCO) ili kupata gari la Zimamoto ili ndege za Shirika la ndege Tanzania (ATCL) ziweze kuanzisha safari zake katika Mkoa wa Katavi.
Akizungumza mara baada ya kukagua uwanja huo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani amesema kwa muda sasa kiwanja hicho kimekuwa kikitumiwa na ndege chache za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR), hivyo...

 

2 years ago

Mwananchi

Kisima cha Sh269 milioni hakijawahi kutoa maji Mpanda

Licha ya kuchimbwa na kugharimu Sh268.9 milioni, kisima kilichopo Kijiji cha Ngomalusambo wilayani Mpanda, hakijawahi kutoa maji.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Mashine ya Mil 100 yatoweka Mpanda

MBUNGE wa Viti Maalum Rhoda Kunchela (Chadema) ameitaka serikali kufuatilia na kutoa taarifa juu ya matumizi mabaya ya mashine ya kukoboa na kusaga ambayo ilinunuliwa kwa zaidi ya Sh. 100 milioni kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa halmashauri ya Mpanda, anaandika Dany Tibason. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo, mbunge huyo amesema serikali itoe kauli ...

 

2 years ago

Channelten

Wafanya biashara katika soko la Makanyagio Katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameamua kupanga biashara zao chini

Screen Shot 2017-05-11 at 1.30.49 PM

WAFANYA biashara wa nyanya ,samaki,vitunguu na mboga za majani katika soko la Makanyagio Katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameamua kupanga biashara zao chini licha ya meza za kuuzia kuwepo hii ni kutokana na changamoto ya wateja wanaonunua mahitaji hayo kushindwa kuingia ndani ya soko na kutokuwepo kwa sababu yoyote ile.

Kituo hiki kimeweza kufika katika soko hilo na kujionea halisi ya namna wafanyabiashara hao wa nyanya,samaki na vitunguu kuuzia vyakula chini licha ya soko hilo kuwa...

 

2 years ago

Channelten

Zoezi la ukaguzi wa vyeti feki,Hospitali ya Mpanda yakabiliwa na changamoto ya watumishi 31

MPANDA HOSP

Halmashauri ya manispaa ya Mpanda idara ya afya mkoani Katavi inakabiliwa na changamoto ya watumishi thelathini na moja kufuatia zoezi la ukaguzi wa vyeti feki lililofanyika nchini.

Hayo ameyasema kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Manispaa ya Mpanda Alexdhanda Kasagula wakati akiongea na waandishi wa habari waliofika Hospitalini hapo.

Dk Emmanuel Kamgobe ni mganga kitengo cha wanawake anabainisha changamoto walizonazo juu ya hospitali hiyo kukosa mashine kwa ajili ya saratani ya matiti...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mpanda milima maarufu duniani afariki Everest

Mmoja wa wapanda milima maarufu zaidi duniani Ueli Steck, amefariki katika Mlima wa Everest.

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mpanda baskeli agongwa na gari na kufariki

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina Salum Khamis Salum (73) mkaazi wa Betrasi amefariki Dunia baada ya kugongwa na gari alipokua akiendesha baskeli na kisha gari hiyo kukimbia bila kufahamika namba za usajili wala dereva aliyekua akiendesha gari hiyo.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi Mkoa wa Mjini Magharibi kamishna msaidizi muandamizi wa polisi Hassan Nassirr Ali amesema kuwa kitendo alichofanya dereva huyo kukimbia baada ya ajali hiyo kutokea si cha kiungwana kusema kuwa...

 

2 years ago

Michuzi

MAJALIWA AFUNGUA DUKA LA DAWA LA MSD KATIKA HOSPITALI YA MPANDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017.    Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael  Muhuga na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini , Profesa Sospeter Muhongo, Wapili kulia ni Mbunge wa mapanda Mjini, Sebastian Kapufi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)1A2800    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kakitazama dawa za bibadamu baada ya kufungua duka la...

 

2 years ago

Channelten

TFS walia na wavamizi katika Hifadhi za Misitu Mpanda

140915021227_amazon_rainforest_624x351_bbc_nocredit

Wakati serikali kupitia wakala wa huduma ya misitu Tanzania TFS ikiendelea kudhibiti uvamizi katika maeneo ya hifadhi changamoto ya uvamizi bado imeendelea kuwa kubwa katika misitu ya hifadhi iliyopo wilayani MPANDA mkoani KATAVI, kutokana na wananchi kuendelea kufanya shughuli mbali mbali za kibinadamu ndani ya hifadhi ikiwa ni pamoja na shughuli za kilimo na ufugaji hali inayosababisha uharibifu mkubwa.

Huu ni msitu wa hifadhi wa msaginya uliopo katika kijiji cha Mtisi wilayani MPANDA...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani