1 week ago

Malunde

TAJIRI WA MABASI YA HBS NA SABENA ALIYEJIPIGA RISASI MDOMONI AZIKWA SIKONGE


Mwili wa mmiliki wa kampuni mbili za mabasi za HBS Express na Sabena, Sultan Ahmed maarufu kama Chapa, aliyejiua kwa kujipiga risasi mdomoni iliyotokea kisogoni  umezikwa jana jioni Sikonge mkoani Tabora.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Wilbrod Mutafungwa alisema tukio hilo la kujiua lilitokea jana saa 2:30 asubuhi nyumbani kwa marehemu na kwamba chanzo cha kujiua kwake huko hakijafahamika.
"Bado tunachunguza tukio hili, amejipiga risasi mdomoni, tunachunguza...

 

2 weeks ago

Michuzi

NEWZ ALERT.....: Watu zaidi ya 20 wadaiwa kupoteza maisha ajali ya basi Igunga

Zaidi ya watu 20 wanadaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajari ya basi la kampuni ya City bus lililogana uso kwa uso na fuso katika kijiji cha makomelo wilayani Nzega mkoani TABORA.
Ajari hiyo imetokea usiku wa kuamkia Leo katika kijiji hicho baada ya kudaiwa dereva wa fuso kutaka kukwepa shimo na kujikuta fuso hilo likimshinda,hivyo  kupelekea kugongana USO kwa USO.
MPAKA sasa kamanda wa jeshi la polisi mkoani TABORA na viongozi wengine wa serikali wamefika katika eneo...

 

1 month ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Magufuli Issues Directive to Police, Cautions Igunga Residents


Tanzania: Magufuli Issues Directive to Police, Cautions Igunga Residents
AllAfrica.com
President John Magufuli has directed the police in Igunga District, Tabora Region to allow vehicles on transit to stop in the area to enable residents benefit from their business activities and improve their earnings. Addressing residents who stopped ...

 

2 months ago

Michuzi

EKARI 130,000 ZA MITI KUTUNZA NA KUPANDWA NA WAKAZI WA UYUI


NA TIGANYA VINCENT-RS TABORA
HALMASHAURI ya Wilaya ya Tabora imeagiza kila kaya katika eneo hilo kuhakikisha inapanda miti ekari moja na kutunza miti asili ekari moja ikiwa ni mpango wake wa kuhakikisha zoezi la uhifadhi wa mazingira na upandaji wa miti linakuwa endelevu.
Kauli hiyo ilitolewa jana katika Kijiji cha Mbuyuni Kata na Kigwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Said Ntahoondi wakati aliposhiriki zoezi la wiki ya upandaji miti kwa upande wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali(NGO,s)...

 

3 months ago

Michuzi

MILIONI 20 ZATUMIKA KAMPENI UPANDAJI MITI WILAYANI IGUNGA

NA TIGANYA VINCENTRS-TABORA
JUMLA ya shilingi milioni 20 zimetuma katika kampeni ya upandaji miti katika maeneo mbalimbali wilayani Igunga.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Revocatus Kuuli wakati wa uzinduzi wa upandaji miti kwa wanachuo wa Chuo cha Sayansi za Afya Nkinga uliofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Alisema kuwa fedha hizo zimetumika katika ununuzi wa miche ya miti, uoteshaji wa miche na zoezi zima la upandaji katika maeneo mbalimbali...

 

3 months ago

Michuzi

WAKULIMA WA USAGALI AMCOS WILAYANI NZEGA WAMUOMBA MKUU WA MKOA KUWASAIDIA ILI WALIPWE DENI LAO LA MILIONI 193

RS TABORA
WAKULIMA wa Tumbaku wa Chama cha Msingi cha Ushirika Usagali (AMCOS) wilayani Nzega wameiomba Serikali ya Mkoa wa Tabora kuwasaidia kusimamia madai yao ya fedha zao kiasi cha shilingi milioni 193 za mauzo ya tumbaku kwa msimu 2015/2016 ambayo watuhumu kuchukuliwa na viongozi waliokuwa madarakani wakati huo.
Wakulima hao walitoa kilio hicho jana katika Kijiji cha Usagali wilayani Nzega wakati Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey akiwa katika ziara ya kutembelea Vyama vya Ushirika kuhimiza...

 

4 months ago

Michuzi

WAKULIMA 14 WA PAMBA WAINGIA MATATANI WILAYANI IGUNGA KWA KUVUNJA SHERIA YA PAMBA.

WATU 14 wilayani Igunga wamekamatwa na Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kukaidi maagizo ya kuwataka kulima pamba kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha pamba na kujikuta wakivunja Sheria ya Pamba ya mwaka 2001 na kanuni zake.
Watu hao walikamatwa hivi karibuni na Uongozi wa Wilaya ya Igunga kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri.
Alisema kuwa watuhumiwa hao walikutwa katika mashamba yao ya pamba wakiwa wamepanda pamba kwa mtindo wa kizamani ambao hauzingatia Sheria...

 

4 months ago

CCM Blog

KINANA AFANYA ZIARA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mbunge wa jimbo la Nzega, Dk Hamisi Kigwangalla,ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii mapema leo mara baada ya kuwasili kwa ziara fupi ndani ya jimbo la Nzega.kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Mzee Hassan Wakasuvi pamoja na Katibu wa CCM Wilaya Ndugu Shaibu Ngatiche. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Nzega,Dkt Kigwangalla,mapema leo walipokuwa wakishuhudia...

 

4 months ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI DKT KIGWANGALLA AKABIDHI PIKI PIKI 19 MBELE YA KATIBU MKUU WA CCM DNUGU KINANA KWA WATENDAJI NA VIONGOZI WA KATA WA JIMBO HILOMbunge wa jimbo la Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla leo amekabidhi piki piki 19 kwa Viongozi na Watendaji wa kata 19 ndani ya jimbo hilo,makabidhiano hayo yalifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Check Pointi mara baada ya mkutano Mkuu wa jimbo kufanyika.Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana (Wa tatu kushoto) na kulia ni Katibu wa CCM wilaya Nzega Ndugu Janath Kayanda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya...

 

4 months ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AFANYA ZIARA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mbunge wa jimbo la Nzega,Dkt Hamisi Kigwangalla,ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii mapema leo mara baada ya kuwasili kwa ziara fupi ndani ya jimbo la Nzega.kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora Mzee Hassan Wakasuvi pamoja na Katibu wa CCM Wilaya Ndugu Shaibu Ngatiche. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Mbunge wa jimbo la Nzega,Dkt Kigwangalla,mapema leo walipokuwa wakishuhudia...

 

5 months ago

Michuzi

DC IGUNGA HAITIMISHA ZOEZI LA KUPOKEA MBEGU BORA KUTOKA COSTECH-OFAB

Na Dotto Mwaibale, Igunga Tabora
MKUU wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, John Mwaipopo amehitimisha zoezi la ugawaji wa mbegu bora katika mikoa ya Kagera, Geita na Tabora kwa kuipongeza Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kuwapelekea mbegu bora za mihogo, mahindi na Viazi lishe wilayani humo kwa kushirikiana na Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB)
Pongezi hizo alizitoa jana wakati akizungumza na wakulima wa Kijiji cha Igogo kilichopo Kata ya Nanga katika...

 

5 months ago

Michuzi

DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO


Na Dotto Mwaibale, Nzega Tabora
MKUU wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Godfrey Ngapula amesema Sayansi na Teknolojia haiwezi kuepukika katika kilimo nchini.
Ngapula ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi na kukabidhi mbegu bora za Mahindi ya Wema 2109, mihogo na Viazi lishe kwa ajili ya kuanzisha mashamba darasa katika vijiji vya Shila, Iyombo, Upungu, Lububu na Kapanga wilayani humo.
Mkuu huyo wa wilaya alisema ili kufanya kilimo chenye tija sayansi na teknolojia haiwezi kuepukika kutokana na...

 

5 months ago

Malunde

UYUI WAZIPOKEA KWA MIKONO MIWILI MBEGU BORA ZILIZOFANYIWA UTAFITI KUTOKA COSTECH-OFAB


Wanakikundi cha Upendo kilichopo Kijiji cha Magiri Kata ya Magiri katika Halmshauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora wakiwa pamoja na watafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB), Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha ARI-Maruku mkoani Kagera na Mwanahabari Coleta Makulwa wa RFA (wa pili kushoto), baada ya kukabidhiwa mbegu bora za Viazi lishe aina ya Kabode kwa ajili ya kuzipanda kwenye shamba darasa katika kata hiyo...

 

5 months ago

Michuzi

VIAZI LISHE KUTOLEWA KWA WANAFUNZI SIKONGE MKOANI TABORA


Na Dotto Mwaibale, Sikonge Tabora
WANAFUNZI wilayani Sikonge mkoani Tabora wataanza kunufaika na viazi lishe baada ya kupokea mbegu bora ya viazi hivyo, mihogo na mahindi ya Wema kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kushirikiana na Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB)
Hayo yameelezwa katika Kijiji cha Kisanga na Mkuu wa Wilaya hiyo, Peres Boniface Magiri wakati akizungumza na wakulima kwenye uzinduzi na kukabidhi mbegu bora za Mahindi ya Wema 2109,...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani