(Yesterday)

Michuzi

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 25.04.2017

 

(Yesterday)

Michuzi

1 week ago

BBCSwahili

Siku ambayo BBC ilikosa habari za kutangaza

Miaka 87 iliyopita, mnamo 18 Aprili 1930, msomaji wa habari katika BBC alikosa cha kutangaza.

 

2 weeks ago

Mwananchi

BBC kufufukia kwa Bayern

Real MadridĀ  watakuwa wageni wa Bayern Munich kwenye Uwanja wa Allianz leo katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.

 

3 weeks ago

Michuzi

3 weeks ago

Bongo5

David Moyes ajutia kumtishia kumpiga kofi ripota wa BBC

Kocha wa klabu ya Sunderland, David Moyes amesema kuwa anajutia sana kitendo cha kumtishia kumpiga kofi Ripota wa kituo cha BBC mwanadada Vicki Sparks.

Baada ya mechi kumalizika dhidi ya Burnley Machi 18, Moyes aliulizwa na Vicki Sparks kama uwepo wa mmiliki wa klabu hiyo Ellis Short jukwaani umemuongezea Pressure zaidi.
Moyes alijibu “Hapana”.Lakini baada ya mahojiano, kocha huyo alimwambia Sparks “Ingewezekana kupigwa kofi hata kama wewe ni mwanamke” na kumtaarifu awe “Makini” wakati ujao...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani