3 days ago

Zanzibar 24

Balozi Seif afunguka Uhai wa chama cha CCM

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Chama cha Mapinduzi kinaamini kwamba nguvu na uhai wake utaendelea kupatikana kupitia Jumuiya zake zilizopewa jukumu la kusimamia kazi za Chama hicho katika utekelezaji wa Ilani na Sera zake.

Alisema Jumuiya za Chama ni muhimili wa chama chenyewe akiitaja ile ya Wazazi ambayo ndio kongwe zaidi inayotegemewa na Chama cha Mapinduzi katika kusaidia nguvu za Chama hicho.

Balozi Seif Ali Iddi alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na...

 

3 days ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUTIKISA KANDA YA ZIWA, KUFANYIKA APRILI 1 UWANJA WA CCM KIRUMBA

Kampuni ya Msama Promotiosn Ltd inaandaa tamasha la Pasaka kanda ya ziwa likalofanyika mwanzoni mwa mwezi Aprili,litakalohusisha waimbaji wa nyimbo za injili mbalimbali hapa nchini,na kwamba litakuwa tamasha lile lile ambalo limekuwa likifanyika jijini Dar Es Salaam kwa miaka yote. 
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar,Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama amesema Tamasha la Pasaka Mwaka huu litafayika jijini Mwanza na mkoa wa Simiyu mnamo Aprili 1 na April 2 na...

 

4 days ago

AllAfrica.Com

Tanzania: CCM Reclaims Kinondoni, Siha Seats As Defectors Are Re-Elected


Tanzania: CCM Reclaims Kinondoni, Siha Seats As Defectors Are Re-Elected
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Candidates of the ruling CCM won the Kinondoni and Siha constituency by-elections which were held in Dar es Salaam and Kilimanjaro regions, respectively, on Saturday. Mr Maulid Mtulia and Dr Godwin Mollel were yesterday declared ...

 

4 days ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Mwalimu Cries Foul, Mtulia Says CCM to Concede If He Loses


Tanzania: Mwalimu Cries Foul, Mtulia Says CCM to Concede If He Loses
AllAfrica.com
Dar es Salaam — As the Chadema candidate in the Kinondoni parliamentary by-election Salim Mwalimu cries foul after some of the party's agents were allegedly barred from entering polling stations early enough, CCM's flagbearer Maulid Mtulia has said he ...

 

5 days ago

Malunde

CCM YAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI UDIWANI ISAMILO...ASILIMIA 2.2 TU NDIYO WALIOPIGA KURA
Mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa kata ya Isamilo jijini Mwanza, Nyamasiriri Marwa ameibuka kidedea kwenye uchaguzi ulioshuhudia asilimia 2.2 pekee ya wapiga kura 18,029 waliandikishwa ndiyo waliojitokeza kupiga kura.

Katika uchaguzi huo uliofanyika jana Februari 17, Nyamasiriri ametangazwa mshindi kwa kupata kura 2,220 sawa na asilimia 57 ya kura halali 3,920 zilizopigwa.

Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi huo, Kiomoni Kibamba mgombea kupitia Chadema, John Kisieri amepata kura 1,678...

 

5 days ago

Michuzi

CCM YAIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

 Bw. Maulid Mtulia wa Chama cha Mapinduzi(CCM)  akionesha hati yake ya ushindi baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge, Jimbo la Kinondoni, mkoani Dar es salaam  baada ya kupata kura 30,313 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Salum Mwalim (CHADEMA) aliyepata kura 12,353...Chini ni fomu rasmi ya matokeo hayo.

 

5 days ago

Zanzibar 24

CCM yashinda uchaguzi Siha

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho.

Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani wake,  Elvis Mosi wa Chadema, aliyepata kura 5,905 na mgombea wa CUF, Tumsifueli Mwanri aliyepata kura 274 huku Mdoe Azaria wa Sau akiambulia kura 170.

Kwa upande wa Jimbo la Kinondoni...

 

5 days ago

Malunde

CCM YAIBUKA MSHINDI UCHAGUZI SIHA,,,MOLLEL NDIYE MBUNGE Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho.Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani wake,  Elvis Mosi wa Chadema, Elvis Mosi aliyepata kura 5,905 na mgombea wa CUF, Tumsifueli Mwanri aliyepata kura 274 huku Mdoe Azaria wa Sau akiambulia kura 170.Kwa upande wa...

 

6 days ago

CCM Blog

CCM YAFUNGA KAZI KINONDONI IKIFUNGA KAMPENI ZAKE LEO, MAKAMBA AMNADI MTULIA KIANA

 Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Yussuf makamba akimnadi Mgmbea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mtulia, katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika leo katika Viwanja vya Biafra Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKROMO)
 

7 days ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Former CCM Youth Wing Boss Set Free As State Drops Charges


Tanzania: Former CCM Youth Wing Boss Set Free As State Drops Charges
AllAfrica.com
The Court in Dodoma on Thursday acquitted the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) Youth Wing's former Chairman Sadifa Khamis of corruption charges. Khamis, who is also Donge legislator, was facing two counts before the prosecution told the Dodoma Resident ...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Mahakama yaifuta kesi ya Sadifa aliyekuwa mwenyekiti UVCCM

Mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Dodoma imemwachia mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha maombi ya kuifuta kesi iliyokuwa ikimkabili.

Uamuzi huo umetolewa leo Februari 15, 2018 na hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo, Emmanuel Fovo baada kuridhia ombi la wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Biswalo Biswalo kuiomba mahakama kuifuta kesi hiyo.

Desemba 9, 2017, Sadifa alikamatwa na...

 

1 week ago

Michuzi

WABUNGE CCM WAMIMINIKA KUMUOMBEA KURA MTULIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kupitia viongozi wake wa ngazi mbalimbali wameendelea kunadi sera za maendeleo na kumuombea kura mgombea wao wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam huku baadhi yao wakisema uchaguzi huo ni sawa na usajili wa dirisha dogo.
Hivyo wanatumia usajili huo kwa ajili ya kumpata Mtulia ambaye wanaamini ni mtu sahihi kwa maendeleo ya wananchi wa Kinondoni kwani alikokuwa awali hakuwa nafasi ya kushirikiana na...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani