(Yesterday)

BBCSwahili

Kwanini DRC Mashariki ni eneo hatari?

Makundi ya waasi kutoka ndani na nje ya DRC na ugonjwa wa Ebola walifanya eneo la mashariki ya DRC.

 

2 days ago

VOASwahili

Sylvestre Ilukamba Waziri Mkuu mpya DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga Ilukamba kuwa Waziri Mkuu, kwa mujibu wa tamko la Ikulu lililotangazwa na televisheni ya taifa Jumatatu.

 

2 days ago

BBCSwahili

Sylvestre Ilunga Ilunkamba achaguliwa waziri mkuu mpya DRC

Rais Felix Tshisekedi amemteua Sylvestre Ilunga kuwa waziri mkuu mpya DRC

 

6 days ago

RFI

Rais wa DRC atimiza Siku 100 Madarakani

Katika Makala haya Juma hili,Miongoni mwa tluyoyapa Uzito katika Matangazo yetu ni pamoja na Wananchi wa DRC watoa mitizano yao kuhusu Siku 100 za Rais Tshisekedi, Waandamanaji Sudan waendelea kutaka Utawala wa kiraia, Sudani Kusini mvutano waendelea kati ya Rais Kiir na Machar na Afrika kusini kumefanyika Uchaguzi Mkuu. Mwenyeji wako katika Makala ya juma hili ni Steven Mumbi karibu.

 

1 week ago

BBCSwahili

Njaa yawauwa wafungwa ndani ya magereza ya DRC

Katika mji wa Mbanza Ngungu takriban wafungwa 40 walizikwa mwezi Machi pekee, kwa mujibu wa mwandishi wa BBC wa mjini Kinshasa Emery Makumeno aliyefanya uchunguzi kwenye gereza hilo.

 

1 week ago

VOASwahili

Watu 4,000 wakimbia makazi yao kufuatia mapigano ya kikabila DRC

Zaidi ya watu elfu nne wamekimbia makazi yao kufuatia mapigano ya kikabila ya wiki nzima yanayoendelea katika wilaya ya Fizi mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, taarifa za mashirika ya kiraia na viongozi zimesema

 

1 week ago

VOASwahili

DRC: Mji wa Kisangani wakabiliwa na mgao wa umeme

Sehemu kubwa ya mji wa Kisangani mji wa tatu kwa ukubwa DRC, haina umeme tangu Alhamisi iliopita.

 

1 week ago

VOASwahili

WHO yatoa mikakati mipya ya kupambana na Ebola DRC

Wataalam wa Shirika la Afya Duniani, WHO, wametoa mwelekeo mpya wa kutoa chanjo katika juhudi za kupambana na mlipuko wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

 

1 week ago

VOASwahili

WHO yatahadharisha juu ya uwezekano wa Ebola kushindwa kudhibitiwa DRC

Mashambulizi ya kutumia silaha, kuenea kwa habari potofu na ukosefu wa fedha vimeendelea kuchangia katika vizingiti vilivyoko katika kukabiliana na mlipuko wa maradhi ya Ebola upande wa kaskazini mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likitahadharisha kunauwezekano ugonjwa huo ukashindwa kudhibitiwa.

 

2 weeks ago

VOASwahili

UN : Msaada wa dharura wahitajika DRC kukabiliana na Ebola

Taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema kuwa kumekuwa na matukio makubwa kadhaa ya uvunjifu wa amani ambayo yameyumbisha juhudi zote za kukabiliana na ugonjwa wa Ebola huko Butembo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na maeneo ya vituo vya afya yalioko jirani wiki hii.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Manusura wa ajali ya boti waomba msaada wa serikali DRC

Tukielekea huko DRC manusura wa ajali ya Boti katika ziwa Kivu mashariki mwa Congo wameiomba serikali kuwapa abiria vifaa vya kuwasaidia wakati wa ajali za Boti majini kwani boti nyingi zinatembea bila vifaa maalumu vya kuwasaidia wakati wa ajali

 

3 weeks ago

VOASwahili

DRC yarikodi kupungua kwa ukandamizaji kwa waandishi, wachapishaji wa habari

Matukio ya ukiukaji wa haki za waandishi na wachapishaji habari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), vimepungua kwa asilimia 30 ukilinganisha na kipindi hiki mwaka 2018, linaelezea shirika la kutetea haki za waandishi wa habari (JED) nchini humo.

 

3 weeks ago

Malunde

DRC yafuta uchunguzi dhidi ya Moise Katumbi, huenda akarudi nyumbani

Waendesha Mashitaka wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefuta uchunguzi wa shitaka la jinai dhidi ya Moise Katumbi, mwanasiasa wa upinzani ambaye kwa sasa yuko uhamishoni.
Moise Katumbi alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kuajiri askari mamluki wa kigeni wakiwemo askari kadhaa wa Kimarekani waliostaafu kwa lengo la kuangusha utawala uliopita wa Joseph Kabila.
Timothee Mukuntu, Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Kijeshi wa DRC alitoa rasmi tangazo hilo jana Jumanne na kufafanua kuwa,...

 

3 weeks ago

VOASwahili

Ebola yauwa 27 katika siku moja DRC

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo imesema watu 27 walifariki kutokana na maambukizi ya Ebola katika jimbo la Kivu Kaskazini Jumapili, ikiwa ni idadi kubwa kuliko zote katika siku moja, na kufanya idadi ya vifo vya maambukizi ndani ya kipindi cha wiki moja kufikia 126. Kabla ya vifo vya watu hao 27 Jumapili, idadi ya maambukizi ilikuwa watu 110, wiki chache zilizopita na wizara ya afya inasema kwamba mlipuko wa wiki iliyopita mashariki mwa nchi, katika mikoa ya kivu na Ituri, unasambaa kwa...

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Madaktari wa Ebola DRC wafanya mgomo baada ya mwenzao kuuwawa

Madaktari wanaofanya juhudi za kuwatibu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanaougua maradhi ya Ebola wametishia kufanya mgomo endapo watashambuliwa tena.

Tishio la madaktari hao limekuja baada ya mwenzao kuuawa wiki iliyopita na watu wasiojulikana ambao waliwashambulia wafanyakazi wa masuala ya afya wanaofanya juhudi za kupambana na maradhi ya Ebola.

Dakta Kalima Nzanzu mmoja wa madaktari hao amewataka wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutambua kwamba, wafanyakazi wa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani