4 months ago

VOASwahili

Wanachi wasubiri matokeo ya uchaguzi DRC

Wananchi wa DRC wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika Jumapili, katika maeneo kadhaa ya nchini humo

 

4 months ago

VOASwahili

Wapiga kura wajitokeza; wasiwasi juu ya utulivu DRC watanda

Uchaguzi wa rais na wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao umecheleweshwa kwa muda mrefu hatimaye unafanyika Jumapili, lakini waangalizi wa uchaguzi wanatabiri kuwa kutakuwa na hali ya kutokuelewana na vurugu nchini humo.

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa Rais DRC 2018: Wananchi wajitokeza kupiga kura

Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameanza Jumapili kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais ambao umechelewa kufanyika kwa zaidi ya miaka miwili.

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa Kihistoria DRC 2018

Wapiga kura nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Jumapili wanashiriki katika uchaguzi wa kihistoria ambao kwa mara ya kwanza tangu uhuru, watamchagua rais atakaye kabidhiwa madaraka kutoka kwa mtangulizi wake aliyekuwa amechaguliwa kidemokrasia.

 

4 months ago

VOASwahili

Uchaguzi wa DRC

Uchaguzi DRC 2018

 

4 months ago

RFI

Ebola: Uganda yaendelea na zoezi la upimaji wa Afya kwenye mpake wake na DRC

Serikali ya Uganda, imeendelea kuimarisha upimaji wa afya katika mpaka wake na DRC, kwa hofu ya kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi DRC 2018: Majengo ya tume ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yateketea

Moto huo ulizuka mwendo wa saa nane usiku wa manane na kuzua taharuki ikizingatiwa kwamba ni siku 10 zilizosalia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini humo.

 

4 months ago

BBCSwahili

Marie-Josee Ifoku: Mama wa watoto nane anaegombea urais DRC

Bi Ifoku, mwenye miaka 53 si mgeni katika siasa za Congo.

 

4 months ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu DRC: EU yalaani balozi wake kufurushwa DRC

DR Congo ilisema ilichukua uamuzi huo kulipiza vikwazo vilivyowekewa mgombea wa chama tawala Emmanuel Ramazani Shadary

 

4 months ago

BBCSwahili

Jinsi zoezi la upigaji kura lilifanyika DRC

Uchaguzi mkuu DRC: Jinsi zoezi la upigaji kura lilifanyika

 

10 months ago

Zanzibar 24

Uamuzi wa Mahakama ya ICC dhidi ya aliyekuwa makamu wa Rais wa DRC

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), imemuondolea Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, Jean Pierre Bemba makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ambayo alitiwa hatiani.

Pierre alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kutokana na makosa hayo ambapo alitiwa hatiani mwezi Machi 2016 kwa makosa ya uhalifu, uliotokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kati ya mwaka 2002, na 2003.

Mahakama hiyo imetoa uamuzi huo...

 

11 months ago

VOASwahili

Mbuga ya Vuirunga huko DRC inafungwa

Mauaji na utekaji nyara unalazimisha kufungwa kwa mbuga ya taifa ya  ya Virunga huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC kwa mwaka mzima. Wageni hawataruhusiwa kutembelea mbuga hiyo kongwe kuwaona sokwe mwitu, nyani, tembo na wanyama wengine wa porini. Mkurugenzi wa mbuga hiyo, Emmanuel de Merode alisema Jumatatu kwamba ni wazi kuwa mbunga ya Virunga limeathiriwa  na ukosefu wa usalama na tatizo hilo litaendelea kwa muda kadhaa. Ili mbuga hiyo kuweza kutembelewa na wageni na kuwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Programu ya AfyaDATA iliyovumbuliwa TZ yatoa matumaini katika vita dhidi ya Ebola DRC

DRCongo imewasilisha ombi kwa Chuo Kikuu cha Kilimo, Sokoine Tanzania, kutumia wataalamu na teknolojia ya programu tumishi walioivumbua AfyaDATA, kupambana na Ebola

 

11 months ago

BBCSwahili

Unyanyasaji wa watoto washuhudiwa Tanzania Uganda na DRC

Shirika la Save the Children linasema Tanzania, Uganda, DRC na Rwanda ni miongoni mwa mataifa ambapo unyanyasaji wa watoto kingono unashuhudiwa kwa zaidi ya asilimia 10.

 

11 months ago

VOASwahili

Waasi 15 wa kundi la ADF wameuwawa na jeshi la Congo, DRC (FARDC) katika misitu ya Beni

Waasi 15 wa kundi la ADF wameuwawa na jeshi la Congo, DRC (FARDC) katika misitu ya Beni wakati wa mapigano makali yalioyo chukuwa siku mbili katika barabara ya Mbau Kamango

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani