2 days ago

Zanzibar 24

Korea Kaskazini yasikitishwa na hatua ya Rais Donald Trump kufuta mkutano wake na Kim Jong-un

Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kufutilia mbali mkutano wake wa kihistoria na hasimu wake kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un uliokuwa umepangwa kufanyika June 12 mwaka huu nchini Singapore kwa kile alichodai kuwa na kauli zenye ujumbe unaochukiza kutoka kwa viongozi wa Korea Kaskazini.

Mapema leo Korea Kaskazini imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya rais Donald Trump kujitoa katika mazungumzo hayo.

Kwa mujibu wa mashirika ya habari nchini humo, uamuzi huu umekuwa kinyume na...

 

2 days ago

VOASwahili

Trump asema mkutano wake na Kim hautafanyika

Rais Donald Trump amesema mkutano wake na kiongozi wa Korea Kim Jong Un uliopangwa kufanyika Juni 12 huko Singapore hautafanyika.

 

3 days ago

BBCSwahili

Trump aufuta mkutano kati yake na Kim Jong-un

Rais Donald Trump ameufuta mkutano wake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un uoliopangiwa kufanyika Juni.

 

4 days ago

VOASwahili

Trump asema mkutano na Kim huenda usifanyike

Rais wa Marekani Donald Trump amesema mkutano wake uliopangwa kufanyika na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un huenda usifanyike mwezi ujao (Juni).

 

4 days ago

BBCSwahili

Je Trump atakutana na Kim Jong-un kweli?

Rais Donald Trump mkutano wake wa mwezi june huko Singapore na rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ni nafasi adimu kutokea na ni ya kihistoria.

 

5 days ago

BBCSwahili

Mike Pence amuonya Kim Jong-un asimchezee Trump

Korea Kaskazini imetisha kujitoa mkutano huo baada ya matamshi ya mshauri wa masuala ya ya ulinzi nchini Marekani John Bolton

 

1 week ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Marekani: Kwa nini Kim Jong-un anamuogopa Donald Trump

Pyongyang ilionya Jumatano kuwa huenda isihudhurie mazungumzo ambayo yanapangwa kufanyika nchini Singapore tarehe 12 mwezi Juni

 

1 week ago

BBCSwahili

Matarajio ya Trump na Kim kukutana yangalipo

Raisi wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hakuna uwazi endapo mkutano pamoja na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un utafanyika kama walivyokubaliana awali, ingawa bado ana matumaini

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Korea Kaskazini yatishia kufuta mazungumzo kati ya Kim Jong-un na Donald Trump

 

Korea Kaskazini imesema huenda ikaufuta mkutano kati ya kiongozi wake Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump iwapo Marekani itaendelea kusisitiza kwamba taifa hilo la bara Asia ni lazima liharibu au kusalimisha silaha zake za nyuklia.

Mkutano huo ambao umesubiriwa kwa hamu kati ya Bw Trump na Bw Kim unatarajiwa kufanyika mnamo 12 Juni mwaka huu.

 

Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazini KCNA limemnukuu naibu waziri wa mambo ya nje Kim Kye-gwan akisema iwapo Marekani...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Kim Jong-un atishia kufuta mkutano wake na Trump

Korea Kaskazini imesema huenda ikaufuta mkutano kati ya kiongozi wake Kim Jong-un na Rais wa Marekani Donald Trump iwapo Marekani.

 

2 weeks ago

VOASwahili

Trump atangaza tarehe ya kukutana na Kim

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Alhamisi atafanya mazungumzo na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, ifikapo tarehe Juni 12, huko Singapore.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Trump atangaza atakutana na Kim Jong-un Singapore

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un Singapore.

 

4 weeks ago

VOASwahili

Kim aahidi kufunga eneo la kujaribia silaha za nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameahidi kufunga eneo la kujaribia silaha za nyuklia nchini humo ifikapo Mei na kuwashirikisha katika mchakato huo waandishi wa habari na wataalamu kutoka Korea Kaskazini na Marekani, Ofisi ya Rais ilioko Seoul imetoa tamko hili Jumapili.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Kim Jong un akubali kuangamiza silaha za kinyuklia Korea

Katika mkutano huo wa jana uliokuwa wa kihistoria kwa namna nyingi Kim Jong un alikubaliana kufanya kazi pamoja na rais wa Korea kusini Moon Jae-in, katika kuhakikisha hamna silaha kinyuklia katika rasi nzima ya Korea.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Kim Jong Un afanya ziara ya kihistoria Korea Kusini

Rais Kim Jong-Un wa Korea Kaskazini amekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa hilo kuvuka mpaka wa kijeshi uliowekwa kuzitenganisha nchi hizo mbili baada ya vita ya mataifa hayo mawili mwaka 1953

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani