3 weeks ago

BBCSwahili

Je wajua waweza kujifunza kitu chochote kwa saa 20 tu?

Utafiti unaonesha kuwa muda bora kabisa wa kujifunza kitu ni saa 20 za awali unapokutana na somo ama ujuzi mpya.

 

8 months ago

Malunde

DC NDAGALA AKABIDHI MASHINE YA KUCHAKATA MIHOGO KIKUNDI CHA MWENDO WA SAA KAKONKO

Wakulima wilayani Kakonko Mkoani Kigoma wametakiwa kulima kilimo cha biashara na kuachana na kilimo cha kujikimu wenyewe ili kuondokana na umaskini.
Wito huo ulitolewa jana katika kijiji cha Kiga wilayani Kakonko na Afisa Kilimo wa mkoa wa Kigoma, Joseph Lubuye wakati wa ugawaji wa mashine ya kuchakata mihogo kwa kikundi cha Mwendo wa saa, iliyotolewa na shirika la BTC kupitia mradi wa kilimo wa ENABEL unaotekelezwa na serikali ya Ubergiji na Tanzania, kuendeleza kilimo cha muhogo na...

 

9 months ago

Michuzi

AZAM vs MTIBWA, SASA KUPIGWA SAA 10 JIONI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MCHEZO kati ya Klabu ya Azam FC na Mtibwa Sugar uliotarajiwa kuchezwa saa 8 mchana umefanyiwa mabadiliko ya muda, ambapo sasa utafanyika Uwanja wa Manungu, Turiani Morogoro, kesho Jumamosi saa 10.00 jioni.
Awali mchezo huo ulikuwa ufanyike saa 8.00 mchana, lakini Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeamua kuusogeza hadi jioni kutokana na ratiba ya wadhamini wa matangazo ya televisheni Azam TV kutobana muda huo.
Tayari kikosi cha Azam FC kimewasili mkoani...

 

9 months ago

Michuzi

Maamuzi ya Kamati ya Saa 72 kwa matukio mbalimbali ya mechi za Ligi Kuu

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya Saa 72) ya Bodi ya Ligi katika kikao chake kilichopita ilipitia taarifa na matukio mbalimbali na kufanya uamuzi ufuatao;
Mechi namba 171 (Njombe Mji 0 vs Simba 2). Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na kuonyesha vitendo vinavyoashiria ushirikina katika mechi hiyo iliyofanyika Aprili 3, 2018 kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe, ikiwemo pia mshabiki mmoja wa timu hiyo kuingia uwanjani na kuchukua taulo la...

 

9 months ago

Malunde

MRITHI WA TUNDU LISSU KUJULIKANA NDANI YA SAA 24

Utawala wa Tundu Lissu ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) unafikia kikomo saa 24 zijazo wakati wanachama watakapomchagua mrithi wake.

TLS hufanya uchaguzi kila mwaka kupata viongozi ambao ni rais, makamu wa rais, mhazini na wajumbe wa baraza la uongozi.

Tayari mawakili wameanza kuwasili jijini Arusha kwa ajili ya mkutano mkuu wa uchaguzi na semina zitakazofanyika kuanzia leo.

Ni mkutano wa uchaguzi ambao Lissu hatakuwapo kwa kuwa yupo nchini Ubelgiji akitibiwa majeraha aliyoyapata...

 

10 months ago

BBCSwahili

Mwanamume anayetembea kwa mikono kwa saa sita

Dirar Abohoy ,amekuwa akitembea kwa mikono tangu utotoni.Abohoy anapenda kutembea kwa mikono lakini si kila mtu anayefurahia kazi yake.

 

10 months ago

CCM Blog

BASI LA AL SAEDY LAKAMATWA NA KIROBA CHA BANGI MORO, ABIRIA WASOTA KWA SAA TANO

Mkuu wa kituo cha Polisi cha Mikese mkoani Morogoro Mkaguzi Msaidizi wa  Polisi Yusuf Masoli akimpeleka kituoni hapo kondakta wa Basi la Al Saedy baada ya basi hilo kukamatwa na Polisi baada ya kukutwa na kiroba cha bangi wakati likitaka kupita eneo hilo la Mikese likitokea Morogoro kwenda Dar es Salaam leo. Kufutia tukio hilo abiria wamesota beada ya kulazimika kurudi mjini Morogoro na basi hilo ambalo sasa linashikiliwa katika Kituo Kikuu Cha Polisi mkoani humo baada ya wafanyakazi wa basi...

 

10 months ago

MwanaHALISI

Viongozi TSNP wahojiwa saa saba kuhusu Nondo

JESHI la Polisi nchi limewahoji viongozi wa Mtandao wa wafunzi (TSNP) kama mashahidi kwenye kesi anayotarajiwa kufunguliwa Mwenyekiti wa mtandao huo Abdul Nondo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Nondo aliripotiwa kutekwa usiku wa Kuamkia Machi 8 Mwaka huu. Jeshi hilo linamtuhumu mwenyekiti huyo kufanya kosa la udanganyifu na kuzua taharuki kwa umma pamoja na wanafunzi ...

 

10 months ago

Michuzi

DC SINYAMULE AAGIZA MTENDAJI KATA YA BOMBO AWEKWE NDANI SAA NANE

Na Ripota wetu, Same
Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Sinyamule ameagiza wa Kata ya Bombo awekwe ndani chini ya ulinzi mkali kwa saa 8 kutokana na kushindwa kusimamia ujenzi wa bweni la shule ya Sekondari Bombo na kumtaka apewa siku 2 kuleta maelezo kwa nini asichukuliwe hatua.
Dc Sinyamule, amefikia uamuzi huo mara baada ya wataalamu wa kutaka hela za kujenga bweni la Shule ya sekondari ya Bombo zihamishiwe shule nyingine kutokana na wananachi wa kata ya Bombo kutotoa ushirikiano wa kutosha...

 

11 months ago

Malunde

MBUNGE ASEKWA RUMANDE SAA 48 KWA AMRI YA MKUU WA WILAYA


Mbunge wa Tunduma, wilayani Momba mkoani Songwe, Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi kisha kuwekwa mahabasu kwa saa 48 kwa kile kinachodaiwa ni amri ya mkuu wa wilaya hiyo, Jumaa Irando.

Akizungumza na gazeti hili leo Februari 21, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) Mkoa wa Songwe, Ayub Sikagonamo amesema Mwakajoka amekamatwa akiwa kituo cha polisi Tunduma kuitikia wito wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo (OCD) baada ya kumpigia simu kwamba anamhitaji ofisini.

Kamanda wa Polisi...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Rais Jacob Zuma apewa saa 48 kujiuzulu

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.

Kwa mujibu wa shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.

Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama kimng’oe madarakani.

Lakini...

 

11 months ago

Bongo Movies

Zari saa chache baada ya picha ya Hamisa na videographer wa Diamond

Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa picha za official videographer wa Diamond Platnumz ambaye ni Lukamba kusambaa kwa picha mtandaoni akiwa na Hamisa.

Kitendo cha Lukamba kuonekana kumfanyia photoshoot Hamisa kimeanza kuhusishwa kuwa Diamond na Hamisa wapo sawa kwa sasa ndio maana Lukamba ameonekana akifanya...

 

11 months ago

Malunde

RAIS APEWA SAA 48 KUJIUZULU

Wanachama wa ANC waliogawanyika
Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo.
Kwa mujibu shirika la Utangazaji la Afrika Kusini -SABC- na vyanzo vingine vya habari, hatua hii inakuja baada ya mlolongo wa mazungumzo yaliyofanywa na chama tawala cha nchini humo ANC.
Duru zinasema ANC kilifanya mazungumzo marefu baadaye kuwatuma watu wawili nyumbani kwa Rais Zuma jijini Pretoria kwenda kumfikishia ujumbe wa chama ana kwa ana ya kwamba Zuma ajiuzulu mwenyewe au chama...

 

11 months ago

BBCSwahili

Zuma apewa saa 48 kujiuzulu

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu. wadhfa wake huo

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani