(Yesterday)

Zanzibar 24

Jaji mkuu amjibu Rais wa TLS Fatma Karume

Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma, amesema Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinafanya kazi za umma, hakipaswi kujiingiza katika siasa wala uanaharakati, kwani kwa kufanya hivyo kinaweza kukosa ushirikiano. Kauli hiyo ya Jaji Mkuu, imekuja siku moja baada ya Rais wa TLS, Fatma Karume, kusema chombo chao si mali ya Serikali na hakuna mwenye uwezo wa kukiingilia kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Profesa Juma, alisema na kusisitiza kutokana na majukumu ya TLS,...

 

(Yesterday)

Malunde

JAJI MKUU : TLS NI TAASISI YA UMMA..WASIKUBALI KUINGIA KATIKA SIASA WALA UANAHARAKATI


JAJI Mkuu Profesa Ibrahimu Juma, amesema Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kinafanya kazi za umma, hakipaswi kujiingiza katika siasa wala uanaharakati, kwani kwa kufanya hivyo kinaweza kukosa ushirikiano.
Kauli hiyo ya Jaji Mkuu, imekuja siku moja baada ya Rais wa TLS, Fatma Karume, kusema chombo chao si mali ya Serikali na hakuna mwenye uwezo wa kukiingilia kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Profesa Juma, alisema na kusisitiza kutokana na majukumu ya TLS, bado...

 

(Yesterday)

Michuzi

TLS NI CHAMA CHA UMMA KIFANYE KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA - JAJI MKUU

Na Lydia Churi, Magreth Kinabo-MahakamaJaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amesema Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS) ni taasisi ya Umma na siyo binafsi hivyo amekitaka kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kisheria kwa kushirikiana na Mahakama na kuacha kujiingiza kwenye masuala ya uanaharakati na siasa.Akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam Jaji Mkuu amesema TLS ni chama huru cha kitaaluma kwa kuwa kilianzishwa kwa mujibu wa sheria kufanya kazi...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Mbowe atoa neno baada Fatma Karume kuwa Rais wa TLS

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amempongeza Fatma Karume baada ya kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa TLS.

Soma hapa taarifa kamili.

The post Mbowe atoa neno baada Fatma Karume kuwa Rais wa TLS appeared first on Zanzibar24.

 

1 week ago

Zanzibar 24

Kipaumbele cha Fatma Karume kama Rais mpya wa TLS

Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha.

Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa na mtangulizi wake, Tundu Lissu, ikiwamo kusimamia demokrasia, haki, utawala bora, haki za wanasheria pamoja na kufanya uchunguzi ili kubaini sababu zinazopelekea watu kutokutaka kuifanya kazi hiyo.

Katika uchaguzi huo,...

 

1 week ago

Malunde

MBOWE AMPONGEZA FATMA KARUME KUWA RAIS WA TLS

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amempongeza Fatma Karume kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa TLS.

“Ushindi wako umetuma ujumbe kuwa mawakili wa Tanganyika wanajua msimamo wako na wanaamini kwa dhati kuwa kwa kushirikiana na viongozi wenzako mliochaguliwa kuongoza TLS utawavusha katika kipindi hiki ambacho Taifa linapitia na kushuhudia majaribu mengi ya uvunjifu wa Katiba, sheria na kanuni mbalimbali.

"Umepokea kijiti katika...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Tundu Lissu atoa neno baada ya kuchaguliwa rais mpya wa TLS

Baada ya uchaguzi wa kutafuta rais katika chama cha mwakili wa Tanzania kumalizika hapo jana April 14, 2018 ambapo Wakili maarufu nchini Fatma Karume alifanikiwa kushinda katika uchaguzi huo kwa kupata kura 820 nakuchaguliwa kuwa raisi mpya wa chama  hicho.

Aliekuwa rais wazamani wa chama hicho Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa wanachama wote wa TLS na kumtakia Rais mteule Fatma karume kheri katika majukumu mapya.

Napenda kuwapongeza wanachama wote wa Chama cha...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Fatma Karume ashinda urais wa TLS

WAKILI wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu baada ya muda wake kumalizika.

Katika uchaguzi huo, Dkt. Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.

Aidha, Ndugu Omar Shaaban amechaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar Lawyers Society.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho, Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, na baada...

 

2 weeks ago

Malunde

FATMA KARUME NDIYO MRITHI WA TUNDU LISSU...ACHAGULIWA KUWA RAIS TLS

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu baada ya muda wake kumalizika.

Katika uchaguzi huo, Dkt. Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.

Aidha, Ndugu Omar Shaaban amechaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar Lawyers Society.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho, Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, na baada ya...

 

2 weeks ago

VOASwahili

Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa TLS

Wakili Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS).

 

2 weeks ago

Malunde

TUNDU LISSU AAGA TLS AKIWA KITANDANI

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu anayemaliza muda wake amewaaga wanachama wa chama hicho huku Jaji Kiongozi, Ferdinand Wambali akieleza kuwa wanafanya kila linalowezekana kukomesha rushwa kwenye mfumo wa sheria.

Jaji Wambali akifungua mkutano mkuu wa TLS jana, alisema rushwa inawanyima haki wananchi. 

Aliwataka wanasheria kujitathmini kama malengo ya kuanzishwa taasisi hiyo yanaakisi shughuli zao sasa kulinganisha na idadi kubwa iliyopo ya wanasheria.

Alisema katika...

 

4 weeks ago

AllAfrica.Com

Tanzania: TLS Candidate Wants Lissu Term Extended


Tanzania: TLS Candidate Wants Lissu Term Extended
AllAfrica.com
Dodoma — Tanganyika Law Society (TLS) presidential aspirant Godfrey Wasonga says the outgoing president, Mr Tundu Lissu, should be given another term because of what he has done for the society. Mr Wasonga, who vied and opened a petition against Mr ...

 

1 month ago

Malunde

FATMA KARUME AJITOSA KUMRITHI TUNDU LISSU TLS

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), utakaofanyika Aprili 14, mwaka huu.


Lissu, ambaye aliteuliwa kugombea nafasi hiyo lakini ameshindwa kukidhi matakwa ya kamati kutokana na fomu ya uteuzi iliyowasilishwa kwa sekretarieti hiyo.

Kwa mujibu wa sheria mpya, Lissu hataweza kugombea tena nafasi hiyo kwani kifungu cha nane cha sheria hiyo, kinamzuia mtu ambaye ni kiongozi wa...

 

3 months ago

Malunde

TLS YAMMWAGIA SIFA RAIS MAGUFULI

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Godwin Ngwilimi amepongeza Rais  John Magufuli kwa kutekeleza matarajio ya watanzania.
 Ngwilimi ametoa kauli hiyo leo Februari mosi jijini Dar es Salaam wakati wa kilele cha Maadhimisho ya 22 ya siku ya Sheria na uzinduzi wa mwaka mpya wa kimahakama.
Pia, ameomba uwezeshaji wa rasilimali fedha katika muhimili wa mahakama ili kushughulikia changamoto zinazoikabili. "Kama chama cha mawakili, tunakuunga mkono na tunaahidi kutoa...

 

3 months ago

Malunde

CHAMA CHA MAWAKILI TANGANYIKA - TLS CHAKUSANYA MAMILIONI YA FEDHA KWA AJILI YA MATIBABU YA LISSU


Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kimesema kimefanikiwa kukusanya Sh138 milioni kugharamia matibabu ya Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji.

Taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa TLS, Godwin Ngwilimi amesema kiasi hicho wamekipata kutoka kwa watu mbalimbali walijitolea kuchangia wa ndani na nje ya nchi wakiwemo wanachama wa chama hicho.

Kuhusu mchanganuo wa fedha hizo, Ngwilimi amesema kimetumika kulipa gharama za matibabu ya...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani