9 months ago

PulseLive Kenya (Satire)

Agnes Masogange's father reveals daughter's last message before her untimely death


PulseLive Kenya (satire)
Agnes Masogange's father reveals daughter's last message before her untimely death
PulseLive Kenya (satire)
Video vixen and socialite Agnes Masogange passed away last Friday at the Mama Ngoma hospital in Tanzania after suffering from Asthma and low blood count. Her burial ceremony was held at Leaders Club in Kinondoni, Dar es Salaam ahead of her burial at ...
I used to warn her about being a socialite - Agness Masogange's dad opens up days after her deathTuko.co.ke

all 2

 

9 months ago

Michuzi

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAMPONGEZA AGNES MGEYEKWA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU TANZANIA

 Jaji wa Mahakama Kuu, Agnes Mgeyekwa akipokea ua kutoka kwa afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Christina Binali kufuatia kuteuliwa kushika wadhifa huo. Mgeyekwa kabla ya kuteuliwa alikuwa Katibu Msaidizi wa Tume. Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Casmir Kyuki akizungumza wakati wa kumpongeza Agnes Mgeyekwa kuteuliwa Jaji wa Mhakama Kuu ya Tanzania. Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe Agnes Mgeyekwa akitoa neno kwa watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Katibu Msaidizi wa...

 

9 months ago

Malunde

Picha : MWILI WA AGNES MASOGANGE UKIAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR


Leo Aprili 22, 2018 mwili wa Agnes Gerald Masogange unaagwa katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa Aprili 20, 2018 saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.‘

 

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMLILIA AGNES MASOGANGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Agnes Gerald Waya kufuatia kifo cha mtoto wao Agness alimaarufu kama Masogange kilichotokea Ijumaa.
Rais Magufuli ametuma salamu hizo kupitia kwa Mwenyekiti Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Bw. Kheri James na kusema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha binti huyo kwani kifo chake kinapunguza idadi ya vijana ambao ndiyo jeshi na watu ambao wanaweza kufikisha mbali taifa. 
"Kupitia jukwaa hili...

 

9 months ago

Michuzi

KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA

 Jeneza lenye mwili wa video queen nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, likiwekwa sawa tayari kwa zoezi la kuaga mwili huo, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam hivi sasa. Mwili wa Masogange unatarajiwa kuzikwa kesho huko kijijini kwao, Utengule, jijini Mbeya. Sehemu ya Wasanii wa filamu na Muziki nchini, wakiwa wamejumuika pamoja katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar kuomboleza msiba wa video queen nchini na muigizaji wa...

 

9 months ago

BBCSwahili

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange ameaga dunia

 

9 months ago

Malunde

MWILI WA AGNES MASOGANGE KUAGWA VIWANJA VYA LEADERS - DAR, KUZIKWA MBEYA

Video queen maarufu Bongo Agnes Gerald maarufu Kama Masogange anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao jijini Mbeya ambako ndiko wazazi wake waliko.

Dada wa Agnes anayejulikana kama Emma Gerald, amesema mwili wa Agnes utaagwa jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Leaders, na kisha kusafirishwa kuelekea mkoani Mbeya kwa mazishi
“Tutaaga kesho asubuhi saa 3 pale Leaders, na kisha tutasafirisha kuelekea Mbeya kwa mazishi”, amesema Emma Gerald.
Sambamba na hilo muigizaji Steve Nyerere ambaye yuko...

 

9 months ago

Malunde

Wimbo Maalum: R. I. P AGNES MASOGANGE KUTOKA SISI VOICE


Ninao hapa wimbo kutoka kwa Sisi voice unaitwa RIP Masogange

 

9 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Actress Agnes Masogange Passes Away After Short Illness


Information Nigeria
Tanzania: Actress Agnes Masogange Passes Away After Short Illness
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Popular video queen Agnes Gerald, alias Masogange, is no more. According to Roben Simwanza, a lawyer to the deceased, Masogange died on Friday April 20 around 4.00 pm. He said she was suffering from pneumonia and died while receiving ...
Davido's Ex-Girlfriend Dies Of PneumoniaInformation Nigeria
Well-endowed Tanzanian socialite Agness Masogange passes onTuko.co.ke

all 3

 

9 months ago

Malunde

Breaking news : AGNES MASOGANGE AFARIKI DUNIA

Mwanamitindo na video queen maarufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia leo Ijumaa Aprili 20,2018 kwa tatizo la presha.

Akithibitisha taarifa ya kifo hicho daktari Rama Ngoma wa hospitali ya Mama Ngoma, amesema Agnes amefariki dunia kwa tatizo la pneumonia na upungufu wa damu jioni hii, na alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa muda wa siku nne mpaka kifo kilipomkuta.
Tayari mwili wake umeshatolewa hospitali ya Mama Ngoma, na kwa mujibu wa muigizaji Steve Nyerere...

 

10 months ago

Malunde

AGNES MASOGANGE ATUPWA JELA KESI YA DAWA ZA KULEVYA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu video queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ kulipa faini ya Shilingi Milioni 1.5 ama kwenda jela miaka 3 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam.

Kutokana na hukumu hiyo, Wakili wa utetezi Nehemiah Nkoko amesema kuwa watalipa faini.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema kuwa katika ushahidi wa kesi hiyo upande wa mashtaka ulikuwa na mashahidi 3, huku utetezi ukiwa na shahidi...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Kesi ya Agnes Masogange yapigwa kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Machi 21, 2018 imeisogeza mbele kesi ya mrembo wa video nchini Agnes Gerald maarufu kama Masogange hadi April 4, 2018.

Mrembo huyo ambaye anatuhumiwa kwa kesi ya utumiaji wa dawa za kulevya, kesi yake imeahirishwa kutokana na wakili wake Ruben Simwanza kudai mteja wake huyo amelazwa katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam.

The post Kesi ya Agnes Masogange yapigwa kalenda appeared first on Zanzibar24.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani