3 weeks ago

CHADEMA Blog

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KWA MHE FREEMAN MBOWE KUFUATIA AJALI YA MV NYERERE

 

3 weeks ago

Michuzi

NEWZ ALERT: WATU WATATU WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA 'AMBULANCE' KUGONGANA NA LORI USIKU HUU.

 TAARIFA zilizoifikia Globu ya Jamii usiku huu kutoka eneo la ajali iliyotokea maeneo ya  Riverside-Ubungo,zinaeleza kuwa gari la kubebea Wagonjwa 'Ambulance' ya Chuo kikuu cha Dar es salaam iliyokuwa ikipeleka mgonjwa Mliman Campus tokea Mabibo hostel imegongana uso kwa uso na Lori la Mizigo,habari zaidi kutoka eneno la tukio zinabainisha kuwa Watu watatu wanahofiwa kupoteza maisha,akiwemo dereva wa 'Ambulance',Nesi na Dada mjamzito anaedaiwa kuwa ni Mwanafunzi. 
Globu ya Jamii inafuatilia...

 

8 months ago

VOASwahili

Ajali ya treni yauwa watu 10 Tanzania

Watu 10 wamepoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na treni katika eneo la Gungu, Manispaa ya Kigoma Ujiji, kaskazini magharibi-Tanzania.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Uzembe wa dereva watajwa kuwa ndio chanzo cha ajali ya treni na basi

Masaa kadhaa yamepita tokea ajali ya basi la abiria lenye kumilikiwa na kampuni ya Prince Hamida kugongana na treni ya mizigo Mjini Kigoma, Jeshi la Polisi limebaini chanzo cha ajali hiyo kuwa kimesababishwa na uzembe wa dereva wa basi hilo kwa kushindwa kuchukua tahadhari.

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma Martin Otieno, wakati alivyokuwa akifanya mahojiano maalum ndani ya kipindi cha East Africa Drive kilichorushwa alasiri ya leo Juni 06, 2018 kutoka East...

 

8 months ago

BBCSwahili

Watu 10 wafariki ajali ya treni na basi Kigoma, Tanzania

Watu 10 wamefariki katika ajali iliyotokea baada ya basi la abiria lililogongana na treni eneo la Gungu katika manispaa ya Kigoma Ujiji, kaskazini magharibi mwa Tanzania.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Taarifa Rasmi: Watatu wafariki Ajali ya Basi Muyuni

Watu watatu wamefariki Dunia na wengine kumi na saba wamelazwa katika hospitali ya Mnazi mmoja baada ya Gari aina ya Double Coaster kupata ajali katika kijiji cha Muyuni wilaya ya Kusini Unguja kiasi cha maili 30 kutoka mjini Unguja.

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamishna Msaidizi wa polisi Suleiman Hassan Suleiman, tukio hilo limetokea jana majira ya saa kumi na moja na nusu jioni. Kamanda Suleiman amewataja waliofariki ni kuwa Dorice David miaka 28 mkazi wa Kijito...

 

8 months ago

Michuzi

Dkt. Abaasi Awataka Wanahabari Kutumia Kalamu Zao Kupunguza Ajali

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiongea wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo maalum kuhusu uandishi wa habari za usalama barabarani jana jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali akimkabidhi vitendea kazi mwandishi wa Gazeti la Habarileo, Evance Ng’ingo ambaye anashiriki mafunzo maalum ya miezi sita kuhusu usalama barabarani.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,...

 

8 months ago

Malunde

BASI LAUA WATU 22 BAADA YA KUPARAMIA TINGATINGA

Takribani watu 22 wakiwemo watoto watatu wamefariki kwenye ajali ya basi kaskazini mwa Uganda kwa mujibu wa polisi.
Basi hilo liligonga tingatinga ambayo ilikuwa ikiendeshwa bila ya taa usiku kwa mujibu wa msemaji wa polisi Emilian Kayima ambaye aliongea na AFP.
Ajali hiyo ilitokea Ijumaa usiku huko Kiryandongo karibu kilomita 220 kaskazini mwa mji mkuu Kampala.
Baadhi ya vyombo vya habari vilisema kuwa watu waliofariki dunia walikuwa zaidi ya 30.
Uganda ina kati ya rekodi mbaya zaidi za usalama...

 

8 months ago

RFI

Watu 48 wapoteza maisha katika ajali nchini Uganda

Jumla ya watu 48 wamepoteza maisha kaskazini mwa Uganda baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na trekta,shirika la msalaba mwekundu limearifu jumamosi baada ya polisi awali kutoa idadi ya watu 22.

 

8 months ago

BBCSwahili

Watu 22 wakiwemo watoto wauawa kwenye ajali ya barabara Uganda

Basi hilo liligonga tingatinga ambayo ikuwa ikiendeshwa bila ya taa usiku kwa mujibu wa msemaji wa polisi

 

8 months ago

VOASwahili

Ajali ya barabarani Uganda yauwa 23, kujeruhi 25

Serikali ya Uganda imewasafirisha kwa usafiri wa anga walionusurika katika ajali mbaya iliyotokea katika wilaya ya Kiryandongo Ijumaa usiku nchini humo.

 

8 months ago

VOASwahili

Watu 50 wapoteza maisha ajali ya boti DRC

Afisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema Ijumaa watu 50 wamepoteza maisha katika ajali ya boti katika mkoa wa kaskazini wa nchi hiyo.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani