2 days ago

Malunde

Breaking : LORI LAUA WATU SABA KIGOMA....TAZAMA LILIVYOSAMBARATIKA VIPANDE VIPANDE

Na Rhoda Ezekiel- Malunde1 blog
Watu saba wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya Scania katika  Mlima wa Kasagamba kijiji cha Mkongoro barabara ya kutoka Manyovu wilaya ya Kigoma Vijijini kuelekea mkoani Kigoma.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma Maltini Otieno amesema ajali hiyo imetokea leo Machi 21,2018 majira ya saa tatu asubuhi. 
Amesema gari aina ya Scania lori yenye namba T741AAB  ilianguka na kusababisha vifo vya watu saba akiwemo dereva wa gari hiyo aliyefahamika kwa jina...

 

2 days ago

Zanzibar 24

Saba wauawa kwa ajali ya Gari Kigoma

Watu saba wamefariki dunia katika ajali ya gari aina ya Scania katika Mlima wa Kasagamba kijiji cha Mkongoro barabara ya kutoka Manyovu wilaya ya Kigoma Vijijini kuelekea mkoani Kigoma. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma Maltini Otieno amesema ajali hiyo imetokea leo Machi 21,2018 majira ya saa tatu asubuhi. Amesema gari aina ya Scania lori yenye namba T741AAB  ilianguka na kusababisha vifo vya watu saba akiwemo dereva wa gari hiyo aliyefahamika kwa jina la Siri Hamis (43) mwenyeji...

 

2 days ago

Michuzi

NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel Kigoma,

Watu wawili wamefariki Dunia wilayani Kasulu mkoani Kigoma kufuatia ajali ya gari la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Dkt. Ayub Rioba, lililokuwa likitokea wilayani Kibondo kwenda Kigoma Mjini.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni utelezi uliosababisha gari kuacha njia na kuwagonga waenda kwa miguu watatu.
Kamanda  Otieno aliwataja...

 

2 days ago

Malunde

MKURUGENZI WA TBC APATA AJALI YA GARI KIGOMA, WATU WAWILI WAFARIKINa Rhoda Ezekiel- Malunde1 blog
Mkurugenzi wa Shirika la utangazaji TBC Dr. Ayoub Rioba amepata ajali ya gari katika kijiji cha Mgombe kata ya Nyakitonto wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wakitokea wilayani Kibondo kuelekea mjini Kigoma.


Akizungumza leo Jumanne Machi 20,2018  mara baada ya tukio hilo kamanda wa Jeshi la polisi  mkoa wa Kigoma Martine Otieno amesema ajali hiyo pia imesababisha vifo vya watu wawili.
  Aliwataja waliofariki katika ajali hiyo kuwa ni watembea kwa miguu wawili...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Ukosefu wa viwango bora vya matairi yapelekea ajali nyingi barabarani

Watumiaji wa vyombo vya moto wametakiwa kuwa makini  wanaponunua matairi ya magari  kuhakikisha   yanakuwa na viwango  ili kulinda usalama wa raia na  ajali za barabarani.

Akizungumza na Zanzibar24  Afisa kutoka Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS  Muhtari Chande amesema  ongezeko la ajali barabarani linachangiwa na ukosefu wa viwango kwa matairi yanayotumika  katika vyombo vya moto hivyo ili kunusuru ajali hizo nivyema  watumiaji kufata sheria zilizowekwa.

Amesema taasisi ya viwango Zanzibar...

 

2 weeks ago

Malunde

POLEPOLE APATA AJALI KIGOMA

Msafara wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole umepata ajali katika eneo la kijiji cha Nyamidaho, Kata ya Makere wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza chanzo cha ajali hiyo kuwa ni kupasuka kwa gurudumu la nyuma upande wa kulia.
Aidha amesema kuwa waliojeruhiwa ni pamoja na Katibu wa CCM mkoa Naomi Kapambala, Mwenyekiti wa UVCCM Sylivia Sigura pamoja na Katibu...

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Ajali 3 zilizosababisha vifo Mjini Magharibi Unguja

Katika wiki iliyoishia march 4, 2018 kuna ajali za barabarani 6 zilizoripotiwa kutokea katika mkoa wa mjini magharib Unguja ambapo 3 kati ya hizo zilisababisha vifo vya watu.

kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa huo Hassan Nassir Ali amesema mbele ya waandishi wa habari kuwa tarehe 4, mwezi huu majira ya saa 3:30 usiku huko Fuoni Polisi ilitokea ajali ya gari no. Z906 CU iliyokuwa ikiendeshwa na Ahmed Khamiss (51) wa Jumbi kumgonga mpanda baiskeli na kumsababishia kifo.

Gari hiyo iliyokuwa...

 

3 weeks ago

Michuzi

AJALI YA BASI NEW FORCE NA BASI DOGO TOYOTA HIACHE YASABABISHA VIFO VYA WATU WATANO NA KUJERUHI TISA KULAZWA WODINI HOSPITALI YA RUFAA YA MOROGORO

Na John Nditi wa Globu ya Jamii, MorogoroWATU watano wakiwemo wanawake wanne na mwanaume mmoja ambaye ni dereva basi ndogo aina ya Toyota Hiache yenye namba za usajili T 962 BSE aliyetambuliwa kwa jina la Jackson Adam wamefariki dunia papo hapo baada yakugongana na basi  la  New force New lenye namba T 346 DLY likitokea  Dar es Salaam kuelekea Tunduma na kusababisha majeruhi  ya watu wengine tisa na kulazwa  hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich...

 

3 weeks ago

Malunde

WATU 6 WAFARIKI KATIKA AJALI YA BASI NA LORI LA TAKA DODOMA


Watu sita wamefariki papo hapo na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria kugongana na lori mjini Dodoma.
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Gillece Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Machi 4, 2018 majira ya mchana wakati daladala iliyokuwa na abiria zilipogongana na lori hilo.
"Taarifa zaidi nitazitoa baada ya kufuatilia lakini kwa ufupi ajali hiyo ipo na watu sita wamekufa na wengine sita wapo katika hospitali ya rufaa ya mkoa na hali zao sio nzuri," amesema...

 

3 weeks ago

VOASwahili

Ajali ya barabara ya Nairobi-Nakuru yaua 3

Watu watatu wamethibitishwa kuuwawa katika ajali mbaya ya barabarani Jumapili asubuhi karibu na eneo la Marula huko Naivasha kwenye barabara kuu ya Nairobi - Nakuru nchini Kenya.

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Idadi kamili ya waliokufa katika ajali ya boti DRC bado haijajulikana

Idadi kubwa ya watu inasadikika kupotea baada ya boti kuzama nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo, huku jitihada za kuwaokoa zikiendelea.

Mpaka sasa taarifa juu ya idadi kamili ya watu waliokuwemo ndani ya boti hiyo hazijasemwa, huku mbunge wa jimbo lilipotokea ajali hiyo Didas Pembe alitangaza kuwa inawezekana ni zaidi ya watu 500 ndio wamepotea.

Licha ya kutangazwa kutokea kwa ajali ya boti hiyo usiku wa Jumatatu hadi Jumamne nchini DRC jimboni Mayi -ndombe magharibi mwa mji mkuu wa...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Watu 108 waokolewa katika ajali ya boti DRC

Jitihada za kuwaokoa zikiendelea ingawa idadi kamili ya waliopotea haijajulikana bado

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Picha: 21 wajeruhiwa kwa ajali ya Treni Kigoma

Watu 21 wamenusurika kifo kwenye ajali mbaya ya Treni iliyotokea jana Februari 28 katika Kijiji cha Mpeta wilayani Uvinza, mkoani Kigoma kati ya stesheni ya Malagarasi na Uvinza.

Akithibisha taarifa hizo, Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma Martin Othieno amesema hakuna mtu aliyepoteza maisha kwenye ajali hiyo ambapo chanzo chake ni injini na mabehewa mawili kuacha njia na kuanguka, huku akiahidi kutoa taarifa zaidi juu ya tukio hilo.

“Mabehewa mawili ya abiria na injini ndiyo vimeanguka,...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Treni ya abiria yapata ajali Tanzania

Treni ya abiria iliyokuwa ikielekea Kigoma imepata ajali eneo la Uvinza magharibi mwa Tanzania, taarifa zinasema.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Tetemeko la ardhi laua 14 Papua New Guinea

Watu 14 walifariki Jumanne katika maporomo ya ardhi na kuvunjika kwa majengo wakati wa tetemeko kubwa la ardhi katika eneo la ndani nchini papua new guinea, polisi na mfanyakazi wa hospitali walisema jumanne huku ripoti ambazo hazikuthibitishwa zikitaja idadi ya waliokufa kuwa 30.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani