(Yesterday)

Mwananchi

Ligi ya netiboli kupigwa Arusha

Mkoa wa Arusha umepewa dhamana ya kuandaa ligi daraja la kwanza netiboli itakayoanza Septemba 13 hadi 26 mwaka huu.

 

2 days ago

Malunde

HABARI MPYA INAYOWAHUSU WALE WATOTO MAJERUHI WA AJALI ARUSHA WALIOPELEKWA MAREKANIMbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ambaye anaratibu mchakato mzima wa matibabu ya Watoto watatu Nchini Marekani, waliojeruhiwa katika ajali ya Basi la Shule ya Lucky Vincent ya Arusha iliyoua wanafunzi 32, kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa huo amesema hali za watoto hao zimeimarika na kwamba Wanatarajiwa kurejea nchini Tarehe 18/8/2017 siku ya Ijumaa majira ya saa tatu Asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Kuhusu kama watoto hao mpaka sasa watakuwa...

 

3 days ago

Mwananchi

Magunia 428 ya bangi yakamatwa Arusha

Shehena ya magunia 428 ya dawa za kulevya aina ya bangi imekamatwa katika kitongoji cha Longong, Kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru usiku wa kuamkia jana.

 

3 days ago

Channelten

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema serikali haitasita kuwapokonya mashamba wawewekezaji

dc-korogwe 8

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema serikali haitasita kuwapokonya mashamba wawewekezaji wote wilayani Arumeru watakao na ambao tayari wameonekana kushindwa kuyaendeleza ili kutoa fursa kwa wawekezaji wengine wenye uwezo lakini pia kuepusha migogoro ya ardhi iliyokithiri wilayani humo.

Wilaya ya Arumeru ni miongoni mwa wilaya ambazo zinaongoza kwa kuwa na migogoro mingi ya ardhi ambayo mara nyingi huwa baina ya wawekezaji ambao wanamiliki maeneo makubwa na wananchi ambao huishi...

 

4 days ago

Mwananchi

Kampuni 100 kushiriki maonyesho ya utalii Arusha

Zaidi ya kampuni 100 jijini Arusha na mikoa ya jirani zinatarajiwa kushiriki maonyesho ya utalii na viwanda yatakayofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC jijini hapa kwa mara ya kwanza.

 

6 days ago

Zanzibar 24

Gunia 400 za bangi zakamatwa Arusha

Tume ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kwa kushirikiana na kikosi maalumu cha jeshi la polisi wamekamata na kuteketeza magunia zaidi ya 400 ya bangi katika  kijiji cha Engalaoni wilayani Arumeru mkoani Arusha.

Kamishna wa Intelijensia wa mamlaka  ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya nchini, Bw Fred Kibuta amesema magunia hayo yalikuwa yamefichwa kwenye nyumba katika kijiji hicho ambacho wakazi wake wametelekeza nyumba zao na kukimbilia porini kukwepa kukamatwa

Naye...

 

1 week ago

Mwananchi

Watumishi 10 wa Halmashauri Arusha washikiliwa kwa ubadhirifu

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linawashikilia watumishi 10 wa idara ya mapato ndani ya Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za ushuru wa vituo mbalimbali vya daladala vilivyopo ndani ya halmashauri hiyo.

 

1 week ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Another Chadema Councillor Defects in Arusha


Tanzania: Another Chadema Councillor Defects in Arusha
AllAfrica.com
Arusha — Chadema councillor for Ngabobo ward, Meru Council Solomon Laiser on Tuesday resigned from his post pledging support to President John Magufuli. Mr Laiser becomes the fifth councillor from Arusha region which is Chadema's powerhouse to ...

 

1 week ago

TheCitizen

Another Chadema councillor defects in Arusha

Chadema councillor for Ngabobo ward, Meru Council Solomon Laiser on Tuesday resigned from his post pledging support to President John Magufuli.

 

2 weeks ago

Michuzi

DKT. MPANGO ATEMBELEA BANDA LA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA, AKIPONGEZA KWA UTENDAJI WAKE


Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango. (kushoto), akikaribishwa na Afisa Udahili wa Chuo Cha Uhasibu Arusha, (IAA), Bw. Gerald Malisa, alipofika kutembeela banda la chuo hicho lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, maarufu Sabasaba,barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanaendelea kwenye viwanja hivyo na yatafikia kilele Julai 13, baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

2 weeks ago

Michuzi

Chuo cha Uhasibu Arusha kinapokea maombi ya kujiunga na chuo

Chuo cha Uhasibu Arusha kinapokea maombi ya kujiunga na chuo katika ngazi za Cheti, Diploma, Bachelor, Postgraduate diploma na Masters)- Accountancy- Finance and Banking- Bussiness Management- Economics and Finance-Computer Science na- Information TechnologyChuo kina kampasi Arusha, Dar es salaam,
Mwanza na Babati mkoani Manyara.Kwa maelezo kamili BOFYA HAPA
Watumishi wa IAA katika banda lao viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara vya Mwalimu Nyerere (SABASABA) barabara ya Kilwa jijini...

 

2 weeks ago

Mwananchi

Arusha wajipanga kuuteka mchezo wa riadha

Chama cha Riadha Mkoa wa Arusha (ARAA) wamefanya mashindano ya riadha kwa lengo la kuunda timu ya mkoa itakayoshiriki michuano ya Taifa yatakayofanyika Julai 22 na 23 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 

2 weeks ago

Mwananchi

CCM Arusha yawachimbia mkwara wagombea

 Katibu wa CCM wilaya ya Arusha mjini, Ramadhani Dallo amesema  atawachukulia sheria wanachama wanaogombea nafasi mbalimbali ambao  watagundulika kukiuka kanuni na  sheria za uchaguzi.

 

2 weeks ago

Mwananchi

TRA Arusha yawaonywa wafanyabiashara wasiotumia EFD

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Arusha, imewataka wafanyabiashiara, wakiwepo wamiliki wa Bar na nyumba za kulala wageni, kutumia mashine za kielekroniki (EFD) kwa kutoa risiti kwa wateja ili kuepuka kutozwa faini.

 

2 weeks ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Second Magistrate Pulls Out of a Case Facing Arusha Legislator


Tanzania: Second Magistrate Pulls Out of a Case Facing Arusha Legislator
AllAfrica.com
Arusha — Arusha resident Magistrate Ms Patricia Kisinda has pulled out of a seditious case facing Arusha Member of Parliament Mr Godbless Lema. Ms Kisinda pulled out of the case after the prosecution side claimed that, she is a friend of Mr Lema's ...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani