4 months ago

Michuzi

INTRODUCING DASHIE - TULIA OFFICIAL AUDIO

 

4 months ago

Bongo Movies

AUDIO MPYA: Rayvanny , Jason derulo na French montana ” TIP TOE REMIX”

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwa mwaka 2017 ni pamoja na msanii kutokea WCB Rayvanny kutangaza kuwa ameshirikishwa katika ngoma moja na msanii kutokea pande za Marekani Jason Derulo.

Usiku wa February 19 2018 audio ya ngoma hiyo imetoka rasmi ndani ya ngoma hiyo wakiwa wameshirikishwa Rayvanny wa WCB na mkali French Montana, goma yenyewe inaitwa Tip Toe Remix.

 

4 months ago

Malunde

Audio : WIMBO KUOMBOLEZA KIFO CHA MWANAFUNZI AKWILINA ALIYEUAWA KWA RISASI DAR

Sikiliza wimbo kuomboleza kifo cha Mwanafunzi Akwilina

 

5 months ago

Bongo Movies

Audio : Kizungu Zungu kutoka kwa LavaLava

Msanii wa muziki Bongo, LavaLava ameendelea kuwaburudisha mashabiki wake baada ya kuachia ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Kizungu Zungu’, ngoma imefanyika Laizer ndani ya Wasafi Record.

Kuisikiliza official Audio yake  bofya hapa chini

 

8 months ago

Malunde

Audio : SIKILIZA HAPA HOTUBA YA MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA KWENYE KONGAMANO LA WATOTO SHINYANGA LEO OKTOBA 10,2017

Tumia dakika 14 kusikiliza Hotuba ya Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro kwenye Kongamano la Watoto Shinyanga lililoandaliwa na shirika la Save the Children Oktoba 10,2017.SOMA HABARI KUHUSU KONGAMANO HILO <<HAPA>>

Bofya hapa chini kusikiliza hotuba

 

10 months ago

Zanzibar 24

Diamond ameweka audio clip akichana vilivyo.

Bado mistari ya Diamond kupitia beat ya Fid Q ‘Fresh’ inaleta utata na kushindwa kueleweka ni nani haswa amemlenga kumtupia dongo hilo?

mara baada ya alikiba kuandika maneno kwenye twiter yake yanayo someka “The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ?? #KingKiba”, Diamond nae kupitia mtandao wa Instagram ameweka audio clip yenye sekunde 25 akichana vilivyo angalia maneno yenyewe:nya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa vi-top na...

 

11 months ago

Michuzi

Audio Release: Mrisho Mpoto kuachia 'Kitendawili' baada ya 'Sizonje' kubaki njia panda

Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Sizonje’ ambao ulipendwa na watu wa rika zote ndani ya nchi na kimataifa, hatimaye Jumatatu hii (tarehe 1 August 2017) anatarajia kuachia wimbo wake mpya ‘Kitendawili’ akiwa amemshirikisha mkali wa nyimbo za mahaba, Kassim Mganga.
Wimbo uliopita ‘Sizonje’ wa muimbaji huyo uliacha maswali mengi kwa wapenzi wa muziki wake kutokana namna maishiri ya wimbo huo yalivyokuwa magumu huku wengi wakidai...

 

11 months ago

Malunde

New Audio : MAMA USHAURI - REMIX YA FRANCO - MARIO

Msanii Mama Ushauri ameufanyia Remix wimbo wa Franco unaojulikana kwa jina la Mario,sikiliza hapa chini nimekuwekea wimbo huo hakika utaupenda

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani