2 weeks ago

Mwanaspoti

Singano ajifunga miaka mwili Azam

Winga Ramadhan Singano ‘Messi’  amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea

 

2 weeks ago

Mwanaspoti

Azam yaikabili KMC leo

Eliya Solomon

 

2 weeks ago

Mwananchi

Kipa Mghana arithi nafasi ya Mghana Azam

Klabu ya Azam imemsajili kipa Razack Abarola kutoka WAFA ya Ghana, lakini usajili huo uliibua maswali mingi kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni ndani ya timu hiyo.

 

3 weeks ago

Mwanaspoti

Ndanda, Mbao, Singida, Njombe Mji zavuna Azam

 Wachezaji sita wa Azam wametolewa kwa mkopo kwenda klabu mbalimbali zinazoshiriki Ligi Kuu Bara ili kupata nafasi ya  kucheza katika vikosi vya kwanza.

 

3 weeks ago

Mwanaspoti

Mao, Mahundi waongeza nguvu Azam

Klabu ya Azam imeingia kambini kujiwinda na mashindano ya Ligi Kuu huku ikiongezewa nguvu na kurejea kwa wachezaji wake watatu waliokuwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’.

 

3 weeks ago

Mwananchi

Azam kuingia kambini kesho

 Timu ya Azam itaingia kambini kesho, Jumapili (Julai 30) kuanza awamu nyingine ya maandalizi kwa ajili ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mbalimbali.

 

3 weeks ago

Mwanaspoti

Mcameroon, Rafael watua Azam

KIUNGO Mcameroon, Stephen Kingue na Bryson Raphael, wamerejea katika kikosi cha Azam baada ya awali kukosekana. Timu yao inajiandaa kuingia kambini keshokutwa Jumamosi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.

 

4 weeks ago

Mwanaspoti

Cioaba atabiri Azam itafunika msimu ujao

Benchi la ufundi la Azam limesema mechi za kirafiki wanazocheza sasa zina umuhimu mkubwa kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu na mashindano ya Kombe la FA.

 

4 weeks ago

Mwanaspoti

Azam wao wanataka vifaa tisa tu

MATAJIRI wa soka la Bongo, Azam FC, wamesajili wachezaji saba wapya kuziba nafasi za nyota wao wa kikosi cha kwanza waliotimka, lakini kocha wao Aristica Cioaba, ameahidi ataongeza wawili ili kutimiza idadi ya nyota tisa tu anaowahitaji.

 

1 month ago

Mwananchi

Kipa mpya Azam aitaka namba ya Manula

Kipa mpya wa Azam, Benedict Haule amesema atajituma ili kuhakikisha anapata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa Kombe la Mapinduzi.

 

1 month ago

Mwanaspoti

Azam yazitaka Simba, Yanga, Chamazi

Klabu ya Azam imesema ina imani kuwa uongozi ujao wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utairuhusu kutumia uwanja wake wa Azam Complex katika mechi za Simba na Yanga.

 

1 month ago

Michuzi

AZAM YAENDELEA NA MAKAMUZI YA MAANDALIZI YA LIGI KUU MSIMU UJAO


Kikosi cha timu ya Azam kimeanza mazoezi ikiwa  ni maalumu kabisa katika kipindi hiki cha maandalizi ya msimu ujao, ambapo Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amepanga kutengeneza kikosi kikali kitakachoweza kufanya makubwa katika siku za usoni.
Kikosi hicho leo kimeshafanya mazoezi mara mbili, saa 1.00 asubuhi na 3.30 asubuhi na kitamalizia mazoezi mwisho saa 11.00 jioni ndani ya viunga vya Azam Complex, Chamazi.
Cioaba amesema faida kubwa ya kufanya mazoezi makali hivi sasa ni kuwajenga...

 

1 month ago

Mwanaspoti

Azam kupiga ndondo Iringa, Mbeya

AZAM FC imeanza kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom, ilianza kufanya ziara yao nchini Rwanda na kucheza mechi mbalimbali za kirafiki ikiwemo dhidi ya wenyewe wao Rayon Sport na sasa wanaelekea Nyanda za Juu Kusini.

 

1 month ago

Mwananchi

Azam yalizwa mabao 4-2 mechi ya kirafiki Rwanda

Klabu ya Azam imeshindwa kuharibu sherehe za Rayon Sports ya nchini Rwanda ambayo  ilikuwa inasheherekea ubingwa wake wa Ligi Kuu kwa kukubali kufungwa mabao 4-2.

 

1 month ago

Mwananchi

Azam kuzipamba klabu za Ligi Kuu kwa fedha

Ligi kuu Bara inatarajia kuanza mwezi Agosti, lakini baadhi ya timu zimeshaanza maandalizi ya msimu ujao kwa kufanya usajili, kuboresha benchi la ufundi na hata maandalizi ya kambi pia.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani