2 days ago

Michuzi

AZAM WAWATUPIA LAWAMA WAAMUZI WA MECHI YAO DHIDI YA MBEYA CITY


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Baada ya kulazimishwa sare na Mbeya City katika mchezo wa jana uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi, benchi la ufundi la Azam limelalamikia maamuzi mabovu ya waamuzi waliochezesha mechi hiyo.


Wakitoa malalamiko hayo kupitia mtandao wao, wamelalamikia maamuzi yaliyokuwa yakifanywa na waamuzi hao katika dakika 45 za kipindi cha pili na kushangaza watu wengi hadi wachezaji uwanjani na kusema kuwa wanaamini kuwa hayo yalikuwa  yakifanywa na waamuzi kana kwamba...

 

3 days ago

Michuzi

AZAM FC, MBEYA CITY ZAFUTANA SHATI LEO, ZATOKA SARE YA 0-0


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Ligi kuu ya Vodacom  imeendelea leo katika viwanja mbali mbali huku katika mchezo wa uliozikutanisha  timu ya Azam Fc na Mbeya City ukimalizika kwa suluhu ya timu hizo kushindwa kufungana.
Katika mchezo huo ambao ulianza saa moja usiku katika uwanja wa Chamazi Complex uliopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani wa aina yake kwa timu zote zikishambuliana kwa vipindi na kucheza kwa kujiamini na kujituma kuhakikisha...

 

4 days ago

Habarileo

Simba, Mtibwa, Azam mzigoni

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC leo wanashuka kibaruani kwenye viwanja tofauti katika michezo ya ligi kusaka pointi tatu muhimu.

 

4 days ago

Mwanaspoti

NINACHOKIAMINI : Simba, Yanga, Azam bado safari ndefu kimataifa

WATANZANIA wanajua kila kitu, wanaweza kujadili kila kitu. Wanazungumza sana kuliko kutenda, wanaamini wanajua, lakini katika vitendo huwezi kuwaona, hubaki nyuma wakishangaa.

 

5 days ago

Mtanzania

AZAM FC MMEPATA KOCHA ANAYEFANANA NA DESTURI YENU

NA ZAINAB IDDY

 

Aristica CioabaJUMANNE iliyopita uongozi wa timu ya Azam FC, ulimtambulisha kocha wao mpya, Mromania Aristica Cioaba, akirithi mikoba ya Mhispania, Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na benchi lake zima la ufundi.

Mromania huyo atasaidiana na makocha wazawa, Idd Nassor ‘Cheche’ na kocha wa makipa, Idd Abubakar ambao wameingiza timu hiyo katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi yaliyomalizika Ijumaa iliyopita na timu hiyo kutwaa ubingwa wa michuano hiyo, baada ya kufungashiwa...

 

6 days ago

Global Publishers

Video: Simba Walivyotua Dar Baada ya Kichapo cha Azam FC na Kuzomewa


simba-sc-1

DAR ES SALAA: TIMU ya Simba SC yenye makao yake makuu Mtaa wa Msimbazi, imerejea leo jijini Dar es Salaam ikitokea Visiwani Zanzibar baada ya kumalizika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi.

simba-sc-2

Simba imerejea nyumbani ikiwa imenyong’onyea kufuatia kipigo ilichokipata jana kutoka kwa wanaramabaramba, Azam FC ambao iliiyoinyuka Simba kwa bao 1-0, bao pekee  lililofungwa na  dakika ya 13 na kiungo Himid Mao ‘Ninja’ ambalo lilidumu mpaka mwisho wa mchezo na kuwafanya Azam kutwaa ubinwa wa...

 

6 days ago

Mwananchi

Simba, Yanga, Azam ni mshikemshike

Achana na Kombe la Mapinduzi lililomalizika juzi visiwani Zanzibar kwa Azam kutwaa taji kwa kuinyuka Simba bao 1-0 tena bao la mwendokasi hasa, Ligi Kuu Tanzania Bara imerudi tena.

 

7 days ago

CCM Blog

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP 2017, JANA MJIZNI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, jana usiku.
Mshambuliaji wa Azam Joseph Mahundi akiumiliki mpira, dhidi ya mchezaji wa Simba Besela Bakungu timu hizo zilipomenyana jana usiku katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017,  kwenye Uwanja wa Aamaan mjini...

 

1 week ago

MwanaHALISI

Azam FC yatwaa ubingwa bila nyavu zake kutikiswa

BAADA Ya kuifunga klabu ya Simba na kuchukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mara ya tatu, rekodi pekee iliyowekwa na klabu ya Azam Fc katika michuano hiyo ya mwaka huu ni kucheza jumla ya michezo mitano bila kufungwa wala kuruhusu goli lolote, anaandika Kelvin Mwaipungu. Goli pekee la Azam Fc katika fainali iliyopigwa jana ...

 

1 week ago

Bongo5

Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya...

 

1 week ago

MillardAyo

VIDEO:Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0

Tarehe 30 2016 ndio ilikuwa siku ambayo mashindano ya Mapinduzi Cup yalifunguliwa na leo January 13 2016 Kombe la Mapinduzi lilifikia katika hatua ya fainali ambapo   Azam FC walikutana na Simba SC kucheza katika hatua ya fainali  na Azam FC waliibuka washindi baada ya kuifunga Simba kwa goli 1-0 Goli la Azam FC lilifungwa katika dakika ya […]

The post VIDEO:Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0 appeared first on...

 

1 week ago

Mwananchi

Azam yainyuka Simba ikitwaa Kombe la Mapinduzi

Shuti la ‘mwendokasi’ la umbali usiopungua mita 25 la kiungo Himid Mao limetosha kuamua matokeo ya mchezo wa Fainali ya Mapinduzi uliofanyika mjni Zanzibar.

 

1 week ago

Habarileo

Azam bingwa mapinduzi

Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba pia ya jijini humo kwa bao 1-0.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani