1 week ago

BBCSwahili

Antonio Conte asema Chelsea kuchapwa 3-0 na Barcelona UEFA haikuwa haki

N'Golo Kante na Marcos Alonso wote walikaribia kufunga uwanjani Nou Camp, naye Antonio Rudiger alipiga mpira wa kichwa ambao uligonga mwamba wa goli dakika za mwisho.

 

1 week ago

BBCSwahili

Barcelona yaiondoa Chelsea kwenye michuano ya UEFA

Chelsea wametupwa nje ya michuano ya klabu bingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora, baada ya kupokea kichapo cha 3-0 kutoka kwa Barcelona.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Chelsea watoka sare ya 1-1 na Barcelona UEFA

Klabu za Chelsea na Barcelona zimemetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya 16 katika michuano Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya UEFA.

 

2 months ago

BBCSwahili

Philippe Coutinho atambulishwa kwa mashabiki wa Barcelona Nou Camp

Uhamisho wa Philippe Coutinho wa £142m kujiunga na Barcelona ulithibitishwa Jumatatu baada ya mchezaji huyo kutambulishwa rasmi kwa mashabiki Nou Camp.

 

2 months ago

BBCSwahili

Barcelona yamnunua Philippe Coutinho kwa pauni milioni 142

Barcelona imemsaini kiungo wa kati wa Liverpo0l Philippe Coutinho kwa pauni milioni 142, ikiwa ni moja na mauzo ghali zaidi kuwai kufanywa.

 

3 months ago

BBCSwahili

Ousmane Dembele: Mchezaji ghali zaidi Barcelona atarajiwa kurejea

Mshambuliaji huyo wa Ufaransa mwenye miaka 20 alijiunga na Barca Agosti kwa £96.8m lakini akaumia akichezea klabu hiyo mechi yake ya tatu - dhidi ya Getafe mnamo 16 Septemba.

 

3 months ago

Zanzibar 24

Barcelona yaifanya vibaya Real Madrid, hizi hapa dondoo muhimu

Klabu ya Barcelona imefanikiwa kupeleka zawadi ya Christmas kwa mashabiki wake Duniani baada ya kuibuka na ushindi mnono katika mchezo dhidi ya mahasimu wao Real Madrid kwa kuichapa kwa magoli 3 kwa 0.

Madrid iliyoanza kwa nguvu katika kipindi cha mwanzo huku wakikosa goli la mapema kupitia kwa Cristiano Ronaldo walijikuta wakitandikwa magoli hayo kupitia kwa Luis Suarez mnamo dakika ya 54, Lionel Messi akifunga kwa penati mnamo dakika ya 64 na Alex vidal akiwazamisha kabisa katika dakika ya...

 

3 months ago

BBCSwahili

El Clasico: Real Madrid 0-3 Barcelona

Barcelona ilionyesha mchezo mzuri ugenini na kupata ushindi dhidi ya Real Madrid ambayo imeondolewa katika kuwania taji la ligi ya Uhispania

 

3 months ago

BBCSwahili

Barcelona kutoana jasho na Real Madrid katika 'El Clasico'

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo na winga Gareth Bale wote wako asilimia 100 tayari kucheza katika mechi kali zaidi duniani ya ''El Clasico'' dhidi ya Barcelona

 

3 months ago

BBCSwahili

Chelsea wapewa Barcelona Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya

Chelsea wamepangwa kukutana na Barcelona hatua ya 16 bora katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya, Tottenham nao wakapewa mabingwa wa Italia Juventus baada ya droo kufanywa.

 

3 months ago

BBC

Barcelona's 'blanket men'

Street sellers are a divisive presence in Barcelona. Now they're trying to change their image.

 

4 months ago

BBCSwahili

Messi atia saini kandarasi mpya na Barcelona hadi 2021

Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne

 

5 months ago

BBCSwahili

Barcelona watakuwa wapi Catalonia ikiwa huru?

Klabu ya FC Barcelona imefahamika sana duniani kutokana na soka na imeonekana kuchukua msimamo katika mjadala kuhusu uhuru wa jimbo la Catalonia nchini Uhispania.

 

5 months ago

BBCSwahili

Messi afunga bao la 100, huku Barcelona ikiilaza Olympiakos

Lionel Messi alifunga bao lake la 100 barani Ulaya huku Barcelona ikifanya mechi hiyo kuwa rahisi licha ya kadi nyekundu aliyopewa Gerard Pique

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani