11 months ago

BBC

Lionel Messi fever hits South Africa as Barcelona beat Mamelodi

South African football fans are moved to tears by Lionel Messi's cameo role for Barcelona as they beat Mamelodi Sundowns in a friendly.

 

11 months ago

BBC

Barcelona overcome Mamelodi Sundowns

Luis Suarez is among the goalscorers as Barcelona beat South African champions Mamelodi Sundowns 3-1 to win the Mandela Centenary Cup.

 

11 months ago

BBCSwahili

Barcelona yawika huku Real Madrid ikilazwa

Barcelona imesalia na mechi mbili kuandikisha rekodi ya kutofungwa msimu mzima katika ligi ya La Liga baada ya kuicharaza Villarreal huku Ousmane Dembele akifunga mabao mawili

 

11 months ago

BBCSwahili

Antoine Griezmann: Atletico Madrid 'imechoshwa na Barcelona kumnyatia mshambuliaji huyo

Atletico Madrid inasema kuwa imechoshwa na kero la Barcelona la kumtaka mshambuliaji wake Antoine Griezmann.

 

11 months ago

BBCSwahili

Barcelona yatoshana nguvu na Madrid El Clasico

Mchezo wa pili wa El Clasico kati ya mahasimu Fc Barcelona na Real Madrid kwa msimu wa La Liga wa 2017/2018 uliopigwa katika dimba la Camp Nou ulimalizika kwa sare ya kufungana magoli 2-2.

 

12 months ago

BBC

SA champions Sundowns to host Barcelona later this month

Barcelona are to travel to South Africa later this month for a friendly with newly crowned South African champions Mamelodi Sundowns.

 

12 months ago

Malunde

FC BARCELONA YATWAA TAJI

Klabu ya FC Barcelona ya Hispania usiku wa April 21 2018 ilicheza mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey dhidi ya Sevilla katika uwanja wa Wanda Metropolitano wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 68000.
FC Barcelona wakicheza mchezo wao wa fainali ya Copa del Rey kwa mara ya nne mfululizo wamefanikiwa kutwaa taji hilo kwa kupata ushindi wa magoli 5-0, magoli ya FC Barcelona yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 14 na 40, Lionel Messi dakika ya 31, Andre Iniesta dakika ya 52...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani