4 days ago

BBCSwahili

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili

 

1 week ago

BBCSwahili

Antonio Conte asema Chelsea kuchapwa 3-0 na Barcelona UEFA haikuwa haki

N'Golo Kante na Marcos Alonso wote walikaribia kufunga uwanjani Nou Camp, naye Antonio Rudiger alipiga mpira wa kichwa ambao uligonga mwamba wa goli dakika za mwisho.

 

1 week ago

BBCSwahili

Barcelona yaiondoa Chelsea kwenye michuano ya UEFA

Chelsea wametupwa nje ya michuano ya klabu bingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora, baada ya kupokea kichapo cha 3-0 kutoka kwa Barcelona.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Manchester United watoka nyuma na kuwashinda Chelsea 2-1

Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Meneja wa Chelsea Antonio Conte: Tutailaza Barcelona mechi ya marudio Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA

Antonio Conte amesema kuwa Chelsea "itajaribu kufanya kitu cha kipekee" kwa kuitoa Barcelona katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kutoka sare 1-1 katika awamu ya kwanza.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Giroud aifungia Chelsea bao lake la kwanza tangu uhamisho wake

Olivier Giroud na Willian waliisaidia timu ya Chelsea kuicharaza Hull City mabao manne na hivyobasi kufika katika robo fainali ya kombe la FA

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Chelsea watoka sare ya 1-1 na Barcelona UEFA

Klabu za Chelsea na Barcelona zimemetoka sare ya 1-1 katika mchezo wa kwanza wa raundi ya 16 katika michuano Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya UEFA.

 

1 month ago

MillardAyo

Giroud ameanza kazi tayari akiwa Chelsea

Tukiwa tunasubiria game ya UEFA Champions League kati ya Barcelona dhidi ya Chelsea, usiku wa February 16 Chelsea imecheza game yake ya FA Cup dhidi ya Hull City katika uwanja wao wa Stamford Bridge. Chelsea licha ya kuwa imekuwa haifanyi vizuri katika Ligi Kuu kwa baadhi ya mechi zao kiasi cha kuhesabiwa kuwa msimu huu […]

 

1 month ago

Malunde

CHELSEA YAFUFUKIA DARAJANI, YAICHAPA WBA 3-0


Magoli mawili ya kiungo Eden Hazard na moja la Victor Mosses yameipa Chelsea ushindi wa 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa kuamkia leo Jumanne Februari 13,2018.
Kwa ushindi huo, The Blues wamepanda hadi nafasi ya nne ya Ligi Kuu ya England na kuzidi kuididizima West Bromwich Albion katika nafasi za chini ya msimamo huo.
Wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani, Stanford Bridge, The Blues wameweza kufuta kumbukumbu mbaya waliyoipata wiki iliyopita baada ya kuchabangwa 4-1 na...

 

1 month ago

BBCSwahili

Warford yailaza Chelsea 4-1

Watford ilifunga mabao matatu ya dakika za lala salama kushinda mechi ya kwanza ya mkufunzi Javi Gracia dhidi ya Chelsea ,ushindi unaompatia shinikizo kali mwenzake wa Chelsea Antonio Conte

 

1 month ago

BBCSwahili

Chelsea iko ugenini leo kuwakabili Watford

Ligi kuu ya England itaendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa bingwa mtetezi wa ligi Chelsea atakuwa ugenini katika dimba la Vicarage Road kucheza na wenyeji wao Watford.

 

2 months ago

Malunde

SANCHES ASHINDWA KUIBEBA MAN U,GIROUD AINGIA NA MKOSI CHELSEAKlabu ya Manchester United usiku wa kuamkia Leo Alhamisi imepoteza mchezo wake wa kwanza wa EPL dhidi ya Spurs ikiwa na mshambuliaji wake mpya Alexis Sanchez aliyehama kutoka Arsenal.Man united wamekubali kipigo cha goli 2-0, magoli yaliyofungwa na P.Jones goli la kujifunga na Eriksen.Matokeo mengine Chelsea wamekubali kipigo cha goli 3-0 dhidi ya AFC Bournemouth wakiwa nyumba Stanford Bridge.Magoli ya Bournemouth yamefungwa na Wilson, Ake na Stanislas.Vinara wa ligi hiyo Manchester  City...

 

2 months ago

BBCSwahili

Manchester United na Chelsea wachapwa Ligi Kuu England

Ilikuwa siku ya miamba kulala kwani mabingwa watetezi Chelsea pia walilazwa 3-0 na Bournemouth, ushindi ambao meneja wao Eddie Howe ameueleza kuwa matokeo bora zaidi kwao Ligi ya Premia.

 

2 months ago

BBCSwahili

Chelsea yamsajili Giroud , ManCity yajiondoa kumsajili Riyad Mahrez

Chelsea imemsajili mshambuliji wa Arsenal Olivier Giroud kwa mkataba wa miezi 18 utakaogharimu £18m.

 

2 months ago

BBCSwahili


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani