3 days ago

MwanaHALISI

Kachero CIA afungwa kwa kuipa China siri za Marekani

AFISA wa Zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), Kevin Mallory (62) amefungwa miaka 20 jela kwa kosa la kutoa siri za taifa hilo kwa wakala wa China. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Katika kesi iliyokuwa ina mkabili kwenye Mahakama ya Idara ya Haki, Mallory alikutwa na hatia ya makosa kadhaa ya upelelezi, kutokana ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

UDOM: China iwe mfano kwetu

CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kimewataka Watanzania kuwaiga Wachina katika kuthamini na kudumisha tamaduni ikiwemo lugha ya taifa lao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza jijini Dodoma wakati wa mashindano ya uelewa wa Kichina, kwa wanafunzi wa shule za sekondari uliohusisha maswali, hutuba pamoja na vipaji mbalimbali, Profesa Alexander Makuliko, Naibu Makamu Mkuu wa ...

 

6 days ago

Zanzibar 24

Chuo Kikuu cha Shanghai China kufundisha Kiswahili

Chuo Kikuu cha Shanghai International Studies University kimezindua programu ya kufundisha lugha ya kiswahili. Aidha, chuo hicho kimezindua Centre for East African Studies. Afisa Ubalozi Ndugu Lusekelo Gwassa alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.

The post Chuo Kikuu cha Shanghai China kufundisha Kiswahili appeared first on Zanzibar24.

 

6 days ago

Zanzibar 24

Trumo atetea vita vya kibiashara kati yake na China

Rais wa Marekani Donald Trump ametetea vita vya kibiashara kati yake na China wakati hali ya wasiwasi ikiongezeka wakati masoko ya fedha yakizidi kuporomoka huku akiahidi kufikia makubaliano hivi karibuni na rais wa China Xi Jinping.

Katika mfululizo wa ujumbe alioandika kwenye ukurasa wake wa twitter mapema hii leo Trump ameendelea kuipigia debe kauli mbiu yake ya Marekani Kwanza katika kuunga mkono hatua za kuongeza ushuru dhidi ya bidhaa za China huku akiyataka makampuni ya Marekani...

 

6 days ago

Zanzibar 24

Taarifa kutoka Ubalozo wa Tanzania nchini China

Taarifa Kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini China Kwa Raia wa Tanzania Wanaoishi, China,Vietnam,Korea Kaskazini na Mongolia.


The post Taarifa kutoka Ubalozo wa Tanzania nchini China appeared first on Zanzibar24.

 

6 days ago

Malunde

MAREKANI, CHINA ZAENDELEA KUKOMOANA


Marekani inatafakari kuongeza ushuru kwa bidhaa zaidi za China zitakazoingia nchini humo zenye thamani ya dola bilioni 300 zikiwemo za kompyuta hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kibiashara unaotikisa masoko ya fedha na kuchochea hofu kuhusu ukuaji wa uchumi wa dunia.
Taarifa hii inafuatia tangazo la China hapo jana la kuongezeko ushuru kwa asilimia 25 katika bidhaa zinazoagizwa kutoka Marekani zenye thamani ya dola bilioni 60. 
Mwakilishi wa biashara wa Marekani ametangaza kwamba orodha hiyo...

 

1 week ago

VOASwahili

China haitotetereka na ongezeko kodi za vifaa kutoka US

China imesema haitainua mikono kutokana na shinikizo kutoka nchi za nje, kufuatia hatua ya Marekani ya kuongeza ushuru unaotozwa bidhaa kutoka nchini humo, kutoka asili mia kumi hadi asili mia 25.

 

1 week ago

Michuzi

Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na China lafanyika Arusha Inbox xWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na wawekezaji kutoka Jimbo la Zhejiang la China lililofanyika jijini Arusha tarehe 13 Mei 2019. Katika hotuba yake Mhe. Kairuki alisisitiz akuwa Tanzania ni eneo salama zaidi kuwekeza barani Afrika kutokana na sababu za msingi kama amani, mazingira na sheria rafiki za uwekezaji pamoja na maeneo lukuki ya kuwekeza kama kilimo,...

 

1 week ago

Malunde

Waziri Mkuu Apokea Watalii 330 Kutoka China ..... Ni Kundi La Kwanza Kati Ya Watalii 10,000 Wanaotarajiwa Kuja Tanzania

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapokea watalii 330 wakiwemo wafanyabiashara na wawekezaji kutoka jimbo la Zhejiang, China ambao waliwasili jana usiku kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Watalii hao ni kundi la kwanza miongoni mwa watalii 10,000 ambao wanatarajiwa kutembelea Tanzania mwaka huu, chini ya mpango unaosimamiwa baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Bodi ya Utalii Tanzania na kampuni ya TouchRoad International Holding Group ya China.
Akizungumza na watalii hao kwenye chakula cha jioni...

 

1 week ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AJUMUIKA NA WATALII 330 TOKA CHINA KATIKA CHAKULA CHA USIKU

 Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utalii na Utamaduni katika jumbo la Zhejiang, Bw. Xu Peng, wakati alipowapokea Watalii 330 tokea nchini China, katika uwanja wa KIA mkoani Kilimanjaro, Mei 12.2019. Tokea kushoto ni Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui  na kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi...

 

1 week ago

Malunde

Serikali Yashauriwa kutowapuuza wawekezaji wanaotoka China

Serikali  imeshauriwa kutowapuuza wawekezaji wanaotoka China na kuja kuwekeza badala yake wawatumie kama daraja la kuweza kufikia malengo ya kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani.
Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda,   alipokuwa katika ghafla ya uzinduzi wa  pombe kali aina ya Moutai ambayo kiwanda chake kipo China.
Alisema pamoja na uhusiano mzuri uliopo baina ya Tanzania na China, lakini bado wameamua kutafuta kila mbinu ili kuweza kushirikiana katika...

 

1 week ago

Malunde

Mazungumzo kati ya Marekani na China yaambulia patupu

Mvutano wa kibiashara umeendelea kati ya Marekani na China huku nchi hizo zikitoa kauli zinazokinzana wakati ambapo Rais Trump ameamua kuongeza ushuru maradufu kwa bishaa za China.
China na Marekani zinatoa taarifa zinazotofautiana juu ya mazungumzo ya biashara. China imesema bado ina matumaini kuhusu kuutatua mvutano wa kibiashara, wakati Marekani imesema imeongeza ushuru mara mbili kwa bidhaa kutoka China. Hata hivyo mjumbe wa China katika mazungumzo na Marekani Liu He ameonya kwamba kuna...

 

1 week ago

VOASwahili

Trump aidhinisha mchakato wa kuitoza China ushuru zaidi kwa bidhaa zilizosalia

Rais Donald Trump wa Marekani, amewaagiza maafisa wake kuanza mchakato wa kuongeza ushuru kwa bidhaa zote kwa jumla zilizobakia zinazoingia kutoka China zinazokadiriwa kuwa na thamani ya dola za Marekani bilioni 300.

 

1 week ago

VOASwahili

Mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaingia siku ya pili

Wajumbe katika mazungumzo ya kibiashara kati ya Marekani na China wanakutana kuendelea na mazungumzo kwa siku ya pili, Ijumaa, masaa machache baada ya ushuru wa Marekani dhidi ya bidhaa za China kuanza kutumika.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani