(Today) 7 hours ago

Channelten

Ushirikiano kati ya China na Kenya waingia kwenye njia ya kasi

2

Reli ya SGR kutoka Mombasa kwenda Nairobi, ambayo ni reli ya kwanza iliyojengwa tangu Kenya ipate uhuru, inatarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi huu. Reli hiyo inayoitwa na wakenya “ujenzi wa milenia” imejengwa kwa kufuata vigezo vya kichina, na inabeba ndoto ya watu wa vizazi vilivyopita vya Kenya, na kusaidia kuhimiza maendeleo ya uchumi na jamii ya Afrika Mashariki kuingia kwenye njia ya kasi.
Baada ya siku kadhaa, treni ya kwanza itafunga safari kutoka Nairobi kuelekea Mombasa,...

 

(Yesterday)

Michuzi

TRA Watoa Somo la Ulipaji Kodi kwa Wafanyabiashara wa Kichina

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.   
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa somo la masuala ya kodi kwa wafanyabiashara kutoka China wanaoishi nchini kwa lengo la kuwaongezea uelewa juu ya sheria na taratibu za ulipaji kodi katika semina kuhusu mafunzo hayo leo Jijini Dar es Salaam.
Akiwasilisha mada wakati wa mafunzo hayo, Meneja wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Gabriel Mwangosi amesema kuwa Tanzania ya sasa ina fursa nyingi za uwekezaji...

 

3 days ago

Channelten

3 days ago

BBCSwahili

India kufungua daraja refu mpakani na China

China hivi majuzi ilipinga mpango wa kumruhusu kiongozi wa kidini wa Tibet Dalai Lama kutembelea taifa hilo na pia imepinga utengenezaji wa miundo msingi ya kijeshi katika eneo hilo.

 

4 days ago

Channelten

Fursa za kusoma elimu ya juu, Wengi wajitokeza kwenye maonyesho ya vyuo vya China

DSC08656

Serikali imewataka watanzania kuzichangamkia fursa zilizotolewa na Serikali ya Watu wa China kwa kufungua milango na kurahisisha upatikanaji wa elimu ya juu kwa kufuata taratibu rahisi zilizowekwa.

Hayo yamesemwa na Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya vyuo vikuu vya China yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Katika hotuba yake hiyo ya ufunguzi, naibu katibu mkuu huyo, pamoja...

 

4 days ago

Mwananchi

China yapiga marufuku usajili wa kufuru

Shirikisho la Soka China (CFA), limetangaza sera mpya inayohusiana na gharama za uhamisho kwa wachezaji wa kigeni hasa ikiwalenga wachezaji wanaohusishwa kwenda kucheza ligi nchini humo.

 

4 days ago

BBCSwahili

Manowari ya Marekani yapita karibu na visiwa vya Uchina

China inadai kuwa inamiliki visiwa na miamba ya bahari kusini mwa bahari ya China.

 

1 week ago

BBCSwahili

China imeuza televisheni na simu nyingi kwa Korea Kaskazini

Data za Korea Kusini, zinaonyesha kuwa mauzo ya televisheni kutoka Uchina kwa Korea Kaskazini, yameongezeka zaidi ya asilimia mia moja

 

1 week ago

BBCSwahili

Majasusi wa Marekani CIA wauwawa na China

Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA

 

1 week ago

Mwananchi

China yazuia ndege za Marekani

Washington, Marekani. Jeshi la Marekani limekiri kuwa ndege yake imezuiwa na ndege mbili za China kuendelea na safari ya uchunguzi ili kugundua mionzi katika anga la kimataifa lililoko mashariki mwa Bahari ya China.

 

1 week ago

Channelten

Afrika yajiunga na China wakati dunia umeweka uhai ndoto ya Mkanda Mmoja Njia Moja

1

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ni miongoni mwa viongozi 29 wa nchi zilizokongamana Beijing kupumulia uhai pendekezo la Mkanda Mmoja Njia Moja.
Kongamano hilo la kimataifa la siku mbili, lilikuwa linafanyika kwa mara ya kwanza tangu ulipopendekezwa na rais wa China Xi Jinping mwaka wa 2013, na limetajwa kuwa ya mafanikio makubwa kutokana na kwamba nchi wanachama wamepitisha utaratibu ambao wao watashirikiana ili kufikia maendeleo ya...

 

1 week ago

Michuzi

WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO

--  Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara jijini Dar es Salaam,kuhusu ujio wa Wasanii nyota saba kutoka nchini China na wapiga picha 100,ambao pia walitembelea Treni ya TAZARA na kujionea mambo mbalimbali yaliyokuwa yakinyika hapo. Baadhi ya Wasanii hao Nyota wakiwasili katika  Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam aziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akizungumza...

 

1 week ago

MillardAyo

Mastaa 8 wa Filamu China wamekuja Tanzania…kutengeneza Filamu?

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Fashion Tourism wamewaalika wasanii kutoka China kwa lengo la kukuza sekta ya Utalii ambapo pia watakuwa nchini kwa ajili ya kuchukua baadhi ya Filamu za Tanzania ambazo zitarushwa kwenye TV ya China. Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo katika mapokezi ya mastaa hao wa China ambao waliungana na mastaa wa […]

The post Mastaa 8 wa Filamu China wamekuja Tanzania…kutengeneza Filamu? appeared first on millardayo.com.

 

1 week ago

BBCSwahili

Ndege za China zazuia ndege ya Marekani

Ndege hiyo inayohusika na kufanya uchunguzi, ilikuwa katika safari yake ya kutaka kugundua mionzi katika anga ya kimataifa iliopo mashariki mwa bahari ya China

 

2 weeks ago

Michuzi

KUNDI LA WASANII 7 MAARUFU KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WAWASILI NCHINI KWA SHUGHULI ZA UTALII

Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwakaribisha Wasnaii hao katika Hotel ya Ramada Incore jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo  akikabidhi zwadi ya Tisheti kwa wageni hao ambao wamekuja kutalii nchiniMwenyekiti wa bodi ya Utalii nchini, Jaji Thomas Mihayo akiwa katika picha ya pamoja na wasnii kutoka nchini china
 Wasanii Maharu saba kutoka nchini China ,Lu Yi, Du Haitao,Yao Di,Tian Liang,Yin Zheng,Mai Dina na Hao Shaowen...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani