(Yesterday)

Malunde

Ufafanuzi Kuhusu Kuwepo Kwa Dawa Za Vidonge Zinazodhaniwa Kutibu Homa Ya Dengue
 

4 days ago

Malunde

Wagonjwa 1,901 wa Dengue wabainika

Jumla  ya wagonjwa 1,901 wamebainika kuwa na virusi vya  homa ya Dengue, tangu kuibuka kwa ugonjwa huo nchini, Januari mwaka huu.
Kati ya wagonjwa hao, 1,809 ni wakazi wa jiji la Dar es Salaam, 89 kutoka Tanga mmoja kutoka Singida, mmoja Kilimanjaro na mmoja kutoka mkoani Pwani.
Mganga Mkuu wa Serikali wa Wizara ya  Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Mohammed Kambi, ameyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hali ya ugonjwa...

 

4 days ago

Michuzi

UGONJWA WA DENGUE TISHIO DAR,WAGONJWA WAZIDI KUONGEZEKA,WANANCHI WASHAURIWA KUCHUKUA HATUA

Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya wagonjwa wa Ugonjwa wa Dengue imeongezeka ambapo kwa sasa wamegundulika wagonjwa wapya 674 huku kata ya Ilala ikiongoza kwa kuwa na wagonjwa 235.
Akizungumza na waandishi wahabari Jijini Dar es Salaam Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Kambi amesema kuwa Ugonjwa wa Dengue kwa sasa wameongeza vituo kwa mkoa wa Dar es Salaam na Tanga hadi vituo 19 tofauti na awali ambapo vilikuwa 7.
Amezitaja  baadhi ya vituo vya Serikali vinavyopima Ugonjwa huo kuwa ni...

 

5 days ago

Zanzibar 24

Watu 1,901 wagundulika na ugonjwa wa Dengue Dar

Hadi sasa watu 1,901 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa Dengue nchini huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ukiwa na wagonjwa 1800, maambukizi yanaelezwa kupanda kwa kasi hadi watu 74 kwa siku kutoka watu 32.

Hayo yameelewa na mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammed Bakari Kambi, amesema wagonjwa 1,901 wamethibitishwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa Dengue, na wengine tayari wamepona na wengine bado wanatibiwa katika hospitali na vituo vya afya nchini.

The post Watu 1,901 wagundulika na ugonjwa...

 

6 days ago

BBCSwahili

Maambukizi ya homa ya dengue yaongezeka kwa kasi Tanzania

Mpaka mwezi Aprili wagonjwa waliobainika walikuwa 307 lakini mpaka Mei wamefikia 1,237.

 

7 days ago

Zanzibar 24

Wanachi waendelea kupewa tahaadhari na ugonjwa wa Dengue

Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameendelea kusisitizwa juu ya uvaaji wa mavazi marefu yanayoziba sehemu ya mikono na miguu ili kuwaepusha na maambukizi ya ugonjwa wa dengue unaosababishwa na virusi vya  Dengue vinavyosambazwa na mbu aina ya Aedes ambaye hupendelea kuishi karibu na makazi ya watu na huweza kuuma binadamu mchana na usiku.

Rai hiyo imetolewa na Mganga mkuu wa Dar es salaam Dkt. Yudas  Ndugile katika mahojiano maalum ambapo amewasihi wakati wa maeneo mbalimbali kuchukua...

 

1 week ago

MwanaHALISI

Watu 1,000 waugua Dengue Dar

WATU takribani 1,000 wameugua ugonjwa wa Dengue Jijini Dar es Salaam kuanzia mwezi Januari hadi mwezi Mei 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo amesema Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Yudas  Ndungile leo tarehe 11 Mei 2019 wakati akizungumza na kituo moja cha redio  hapa nchini. Dk. Ndungile amesema ugonjwa wa ...

 

1 week ago

Malunde

Ufahamu ugonjwa wa Homa Ya Dengue

Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi viitavyo Dengue vinavyosambazwa na mbu aina ya Aedes . 

Mbu huyu anayeambukiza homa ya dengue hupendelea kuishi karibu na makazi ya watu na huweza kuuma binadamu mchana na usiku. 
Ugonjwa huu huathiri sana nchi za tropiko kama Amerika ya kusini na Africa. Ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na  kuambatana na maumivu makali. 
Kwa sasa, hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya...

 

2 weeks ago

Malunde

TAHADHARI KWA UMMA KUHUSU HOMA YA DENGUE YAZIDI KUTOLEWA

NA WAJMW-DODOMASerikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezidi kutoa tahadhari ya  kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya Dengue nchini hususani katika Jiji la Dar Es Salaam na Tanga.
 Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Kambi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara hiyo zilizoko jijini Dodoma.
Prof. kambi amesema hadi kufikia tarehe 6 Mei 2019, kati ya watu waliopimwa, wagonjwa 1237 wamethibitishwa kuwa na...

 

2 weeks ago

Michuzi

TAHADHARI YA HOMA YA DENGUE YAZIDI KUTOLEWA

NA WAJMW-DODOMA
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imezidi kutoa tahadhari ya  kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya Dengue nchini hususani katika Jiji la Dar Es Salaam na Tanga.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Muhammad Kambi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara hiyo zilizoko jijini Dodoma.
Prof. kambi amesema hadi kufikia tarehe 6 Mei 2019, kati ya watu waliopimwa, wagonjwa 1237 wamethibitishwa kuwa na...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Watu 300 wagundulika na homa ya dengue Tanzania

Mara ya mwisho kwa ugonjwa huo kuripotiwa kuibuka nchini Tanzaia ilikuwa mwaka 2014 ambapo watu kadhaa walipoteza maisha.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani