4 months ago

MwanaHALISI

Jiji la Dodoma kujiendesha kwa mapato ya ndani

MKURUGENZI  wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na hilo alisema  kutokana Dodoma kuwa na ahadi ya kuwa makao makuu pamoja na hadhi ya jiji Dodoma itakuwa jiji la pekee kwa kuwa na vivutio vingi ...

 

4 months ago

MwanaHALISI

Waziri Mkuu aagiza wakazi wa Dodoma kulipwa fidia

WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majaliwa ametoa maagizo hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi na wafanyabiashara wa eneo la Mjimpya waliopisha ujenzi wa bustani. Waziri Mkuu alifanya ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ambayo yametengwa kama ...

 

4 months ago

Malunde

MWILI WA MWANASIASA MKONGWE NDEJEMBI KUZIKWA KESHO DODOMA

Mwili wa mwanasiasa mkongwe nchini Pancras Ndejembi unatarajia kuzikwa kesho Jumanne Januari Mosi, 2019 katika kitongoji cha Chizomoche kijiji cha Bihawana Jijini Dodoma.

Ndejembi (90) alifariki dunia Jumamosi Desemba 29, 2018 saa 2 asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.
Mweyekiti wa kamati ya mazishi, David Mzuri amesema leo Jumatatu Desemba 31, 2018 kuwa maandalizi yote yamekamilika ikiwemo watoto wa marehemu ambao walikuwa wanasubiriwa kutoka nje ya nchi.
Mzuri amesema mwili...

 

4 months ago

Malunde

POLISI DODOMA WAKANUSHA MTOTO WA MTOTO KUFUNGIWA KABATINI

Wakati binti wa kazi akieleza jinsi mwanaye mwenye umri wa miezi mitano alivyofungiwa kabatini na mwajiri wake mkoani Dodoma kwa muda wa miezi sita, Jeshi la Polisi mkoani humo limekanusha madai ya mtoto huyo kufungiwa kabatini.
Binti huyo wa miaka 15, jana Desemba 30, 2018 akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma alidai kufanyiwa ukatili kwa kupigwa na kufanyishwa kazi hadi usiku wa manane na bosi wake anayedaiwa kuwa ni mwalimu na kwamba amekuwa akimwambia amfungie hadi usiku...

 

4 months ago

CCM Blog

MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA UENDELEZAJI MIJI YA KIMKAKATI KATIKA JIJI LA DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  uboreshaji wa Mandhari ya eneo la kupumzikia la Chinangali jijini Dodoma, wakati alipokagua Mradi wa Uendelezaji wa Miji ya Kimkakati katika Jiji hilo, Desemba 29, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kulia ni Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Gowin Kunambi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Maegesho ya Malori Makubwa  katika eneo la Nala jijini Dodoma, wakati alipotembelea...

 

4 months ago

CCM Blog

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA NDEJEMBI JIJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Edna Ndejembi ambaye ni binti Mwanasiasa Mkongwe nchini, marehemu Pancras Ndejembi wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma kutoa pole kwa familia, Desemba 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

4 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Egid Mubofu walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa...

 

10 months ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na...

 

10 months ago

Michuzi

MADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO YA MAADILI

Afisa Uchunguzi Mwandamizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda Dodoma, Bibi Jasmin Awadh akiwasilisha Mada ya Mgongano wa Maslahi kwa Waheshimiwa Madiwani naWakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakati wa Mafunzo ya Maadili kwa Viongozi wa Umma wanawake yalifanyika ukumbi wa VETA Dodoma juni 5, 2018.Waheshimiwa Madiwani na Wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Halmashauri za Jiji la Dodoma wakifuatilia kwa makini Mada ya Sheria ya Maadili ya...

 

10 months ago

Malunde

MTUNGI WA GESI WATEKETEZA NYUMBA DODOMA

Picha haihusiani na tukio halisi
Moto mkubwa unaosemekana umesababishwa na kulipuka kwa jiko la nishati ya gesi umeteketeza nyumba moja yenye vyumba sita iliyopo katika mtaa wa hazina x jijini Dodoma na kuharibu mali za baadhi ya wapangaji waliokuwa wakiishi ndani ya nyumba hiyo.
Wakizungumza na waandishi wa habari baadhi ya wapangaji wa nyumba hiyo Maimuna Hussein na Nickson Steven wamesema moto huo umetokea saa 3:40 asubuhi na kuteketeza baadhi ya mali zao.
Kwa upande wake Mkuu wa kikosi cha...

 

11 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Dodoma to Have New Referral Hospital


Tanzania: Dodoma to Have New Referral Hospital
AllAfrica.com
Dodoma — PLANS are underway to put up a new Dodoma Regional Referral Hospital in Nala area, which located on the outskirts of the city, a move that will help the public health facility to cope with growing population in the country's capital city ...

 

11 months ago

Michuzi

MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE JIJINI DODOMA

Wageni Mbali mbali wakiwemo Manaibu Makatibu Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Makamishna wa Bajeti na Sera wakisikiliza hotuba ambapo Wizara ya Fedha na Mipango ilikuwa ikiwasilisha Bajeti yake leo Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Jitu Son (kulia) leo katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)...

 

11 months ago

Michuzi

DKT KIJAJI AFANYA ZIARA MITAANI JIJINI DODOMA KUKAGUA MASHINE ZA EFD,ABAINI BAADHI YA WAFANYABIASHARA HAWAZITUMII

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amefanya ziara katika mitaa ya Jiji la Dodoma, kukagua upatikanaji wa huduma ya mashine za kielektroniki za kutolea risiti (EFDs), ambazo mfumo wake ulipata hitilafu hivi karibuni ambao hivi sasa umetengemaa na kubaini kuwa licha ya hitilafu iliyotokea, wafanyabiashara wengi katika jiji hilo hawazitumii ipasavyo mashine hizo.
Dkt. Kijaji aliyeambatana na Kamishna wa Kodi za Ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania...

 

11 months ago

Michuzi

NSSF DODOMA YATOA NJIA KWA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO


MFUKO wa Hifadhi ya Jamii(NSSF) umewashauri wajasiriamali nchini kujiunga kwenye vikundi ili kuweza kutambuliwa na kupata mikopo.

Ushauri huo umetolewa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma Rehema Chuma wakati alipokuwa akitoa mada yake kwenye Kongamano la Wajasiriamali lilifanyika jijini Dodoma.

Chuma amesema wajasiriamali hao wakiunda na kuvisajili vikundi vyao watapata mikopo kutoka NSSF ili kukuza biashara zao.Amesema mfuko huo hautaweza kumsaidia mwananchi mmoja mmoja kwani masharti ya...

 

11 months ago

Michuzi

ASAS DAIRIES LTD YAGAWA MAZIWA KWA WANAFUNZI MIKOA YA MBEYA, ARUSHA,IRINGA NA DODOMA MAADHIMISHO YA UNYWAJI MAZIWA DUNIANI

ASAS DAIRIES LTD imegawa zaidi ya pakiti 400,000 kwenye shule mbalimbali za mikoa ya IRINGA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA. wakati wa  maadhimisho ya  wiki ya Maziwa duniani ambapo kitaifa inafanyika mkoani Arusha.ASAS DAIRIES LTD ilianza kampeni hii Tarehe 22 mwezi wa Tano na kufikia zaidi ya shule 108 na Wanafunzi 67,000. Hii inatokana na uhamasishaji wa unywaji wa Maziwa Mashuleni ambao unafanywa na ASAS DAIRIES LTD kila mwaka.Katika kufikia lengo la watanzania kunywa maziwa kwa wingi kampuni...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani