3 weeks ago

RFI

Ebola: Uganda yaendelea na zoezi la upimaji wa Afya kwenye mpake wake na DRC

Serikali ya Uganda, imeendelea kuimarisha upimaji wa afya katika mpaka wake na DRC, kwa hofu ya kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

 

3 weeks ago

BBC

How one DR Congo town is coping with Ebola outbreak

Ebola: DR Congo health workers fight to contain virus, as new outbreak claims more lives

 

8 months ago

BBCSwahili

Programu ya AfyaDATA iliyovumbuliwa TZ yatoa matumaini katika vita dhidi ya Ebola DRC

DRCongo imewasilisha ombi kwa Chuo Kikuu cha Kilimo, Sokoine Tanzania, kutumia wataalamu na teknolojia ya programu tumishi walioivumbua AfyaDATA, kupambana na Ebola

 

8 months ago

BBC

Anne Soy: Why DR Congo is confident it will halt Ebola

Despite its vast size and dilapidated health system, DR Congo says it can contain the deadly Ebola virus.

 

8 months ago

BBC

Why DR Congo is confident it will halt Ebola

Despite its vast size and dilapidated health system, DR Congo is confident that it can contain the current outbreak of Ebola, which is thought to have killed 27 people.

 

8 months ago

BBCSwahili

Waliotorokea kanisani kuombewa Ebola wafariki

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema wagonjwa watatu wa Ebola wametoroka katika kituo cha matibabu nchini Demokrasia ya Congo na kisha kupelekwa kanisani

 

8 months ago

VOASwahili

Watu saba zaidi wafariki kutokana na Ebola DRC

Mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) unakila dalili za uwezekano wa kusambaa, Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha Jumatano, wakati ikiripoti vifo saba zaidi vilivotokana na ugonjwa huo.

 

8 months ago

BBC

Ebola outbreak in DR Congo: Patients 'taken to church'

Two of the three patients who were taken from the treatment centre for prayers have died.

 

8 months ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YATHIBITISHA HAKUNA UGONJWA WA EBOLA NCHINI

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.

NAIBU Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto dkt. Faustine Ndugulile amethibitisha kuwa hakuna mtu aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa EBOLA hapa nchini wala hakuna ugonjwa huo hapa Tanzania.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es salaam mbele ya waandishi wa habari wakati akitoa tamko kuhusu ugonjwa wa EBOLA kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwepo kwa ugonjwa huo hapa nchini.
“Napenda kuwatoa hofu watanzania kwamba hakuna ugonjwa wa EBOLA...

 

8 months ago

BBCSwahili

Mlipuko wa Ebola DRC umebadilisha maisha Kigoma?

Mataifa jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yamekuwa katika hali ya tahadhari kubwa kuhakikisha wanadhibiti kuingia kwa virusi hivyo katika maeneo yao.

 

8 months ago

VOASwahili

WHO yathibitisha chanjo ya Ebola kutolewa DRC

Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) itaanza Jumatatu kusimamia utoaji chanjo ya majaribio ya Ebola huko katika mji wa Mbandaka, Shirika la Afya Duniani (WHO) limethibitisha Jumatatu.

 

8 months ago

BBCSwahili

Chanjo ya majaribio ya Ebola yaanza kutolewa leo DRC

Watu 500 waliotambuliwa walio karibiana na waathiriwa wa Ebola nchini DR Congo huenda ni miongoni mwa watakaopewa chanjo hiyo ya majiribio leo.

 

8 months ago

BBC

Ebola outbreak: Experimental vaccinations to begin in DR Congo

Some 4,000 vaccines will be used to stop an outbreak that has killed at least 25 people.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani