1 week ago

Michuzi

WAHAMIAJI HARAMU TISA RAIA WA ETHIOPIA NA MTANZANIA MMOJA WALIVYODAKWA NA POLISI MORO.

Na John Nditi, MorogoroPOLISI Mkoani Morogoro inawashikilia  wahamiaji haramu tisa ambao ni wa Ethiopia na Mtanzania mmoja ambaye ni dereva aliyekuwa anawasafirisha kwa gari  lenye namba za usajili  T 682 DCB aina ya FAW likiwa na tela lenye namba za usajili  T229 DBW ikitoka Dar es Salaam kuelekea  Afrika Kusini kupitia mpaka wa Tunduma.Kamanda wa Polisi wa  mkoa wa Morogoro , Ulrich Matei  alisema  kuwa tukio la kukamatwa kwa raia hao lilitoke Aprili 10, mwaka huu ( 2018) majira ya saa...

 

1 week ago

BBC

Ethiopia's farmers forced off land for housing

Farmers around Ethiopia’s capital Addis Ababa say they are paying a high price for the city's expansion.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Uingereza kuikopesha Ethiopia vitu vilivyotwaliwa miaka 150 iliyopita

Jumba la makumbusho la Victoria na Albert lililoko nchini Uingereza limetoa ombi la kurudisha kwa mkopo kwa mali za Ethiopia zilizo nyakuliwa na wanajeshi wa Uingereza miaka 150 iliyopita

 

2 weeks ago

BBC

Ethiopia told by Fifa to implement changes to electoral process

The Ethiopian Football Federation (EFF) is told by Fifa to make key changes to its electoral process before presidential elections can take place.

 

3 weeks ago

BBC

Ethiopia PM Abiy Ahmed wants to resolve Eritrea disputes

In a televised speech after his swearing-in, Mr Ahmed says he wants to end "years of misunderstandings".

 

3 weeks ago

VOASwahili

Watu 1,100 wamekamatwa Ethiopia tangu ilipotangazwa hali ya dharura

Vyombo vya habari huko Ethiopia vimeripoti Jumamosi kwamba zaidi ya watu 1,100 wamekamatwa tangu nchi hiyo ilipotangaza hali ya dharura kufuatia kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wake mwezi uliopita. Hatua isiyotegemewa ya kujiuzulu Hailemariam Desalegn imekuja baada ya zaidi ya miaka miwili ya maandamano ya kuipinga serikali na kuongezeka mgawanyiko katika chama tawala nchini humo. Chama cha Ethiopian People’s Revolutionary Democratic Front-EPRDF kwa mara ya kwanza kimemteuwa kiongozi wake...

 

3 weeks ago

BBC

In pictures: The churches of Lalibela in Ethiopia

Ahead of Easter, the BBC's Frank Gardner's visit the churches of Ethiopia.

 

4 weeks ago

BBC

Ethiopian coach Abraham Mebratu leads Yemen to Asian Cup

Ethiopian coach Abraham Mebratu leads war-torn Yemen to the Asian Cup finals for the first time in their history.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Abiy Ahmed ateuliwa kuongoza muungano tawala wa EPRDF Ethiopia

Dkt. Abiy Ahmed amechaguliwa kama mwenyekiti wa Muungano tawala wa Ethiopia na sasa yuko tayari kuwa Waziri Mkuu.

 

1 month ago

RFI

Kenya yapokea wakimbizi zaidi ya 5,000 kutoka Ethiopia

Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya linasema raia wa Ethiopia wapatao 5,000 wamekimbilia nchini humo kuomba hifadhi tangu tarehe 10 mwezi Machi.

 

1 month ago

BBC

Dozens of students die as bus falls off cliff in Ethiopia

Reports say most of the victims in Legambo district were university students.

 

2 months ago

BBC

BBC Oromo service comes 23 years after Ethiopia listener's request

Mulugeta Debebe Gamachu wrote to the BBC in 1995 asking for a service in his mother tongue Afaan Oromo.

 

2 months ago

BBCSwahili

Wasiwasi baada ya Ethiopia kujenga bwawa mto Nile

Mto Nile ni muhimu kwa maisha nchini Ethiopia, Sudan na Misri. Lakini bwawa kubwa nchini Ethiopia linajelengwa. Bwawa hili linaleta wasiwasi mkubwa

 

2 months ago

BBC

Why has Ethiopia imposed a state of emergency?

It follows the prime minister's shock resignation and the release of hundreds of political prisoners.

 

2 months ago

BBCSwahili

Tazama jinsi ndege ilivyogeuzwa na kuwa hoteli Ethiopia

Tazama jinsi ndege ilivyogeuzwa na kuwa hoteli Ethiopia

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani