8 months ago

Zanzibar 24

Wanaotumia Facebook na WhatsApp kutozwa kodi Uganda

Raia wa Uganda wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo huenda wakalazimika kulipa ndipo waruhusiwe na serikali kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na WhatsApp.

Hii ni baada ya Bunge hilo kuidhinisha mswada huo tata Jumatano.

Chini ya sheria hiyo ambayo inatarajiwa kuanza kutekelezwa 1 Julai, wanaotumia mitandao ya kijamii watakuwa wanatozwa shilingi 200 za Uganda ambazo ni sawa na $0.05 ( £0.04) kila siku.

Raia pia watalipia kila shughuli ya kibiashara watakayoikamilisha...

 

8 months ago

Malunde

WATUMIAJI WA FACEBOOK NA WHATSAPP KULIPA KODI UGANDA...RAIS HATAKI UDAKU

Museveni alisisitiza kuwa ya kijamii inapaswa kulipa kodi kwasababu inachochea taarifa za udaku
Raia wa Uganda wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo huenda wakalazimika kulipa ndipo waruhusiwe na serikali kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na WhatsApp.
Hii ni baada ya Bunge hilo kuidhinisha mswada huo tata Jumatano.
Chini ya sheria hiyo ambayo inatarajiwa kuanza kutekelezwa 1 Julai, wanaotumia mitandao ya kijamii watakuwa wanatozwa shilingi 200 za Uganda ambazo ni sawa na $0.05...

 

8 months ago

BBCSwahili

Kodi ya mitandao ya kijamii: Raia Uganda kutozwa kodi kutumia Facebook na WhatsApp

Raia wa Uganda wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo huenda wakalazimika kulipa ndipo waruhusiwe na serikali kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na WhatsApp.

 

8 months ago

BBCSwahili

Facebook inawaomba wateja kutuma picha zao za utupu kupunguza kuenea kwa ponographia

Facebook inawaomba wateja wake wa Uingereza, kutuma picha zao za utupu na za siri kwa mtandao huo ili kupunguza uenezaji wa picha za chafu za ngono au ponografia.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Mkuu wa mtandao wa Facebook aomba radhi kwa kutodhibiti udukuzi

Mkuu wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg,kwa mara nyingine ameomba radhi akidai kuwa kampuni yake haijawajibika kwa kiasi cha kutosha kudhibiti baadhi ya mambo kama vile habari za uzushi katika mtandao huo,kuingilia chaguzi na taarifa binafsi za wateja wake kudukuliwa. Hii mara nyingine kwa Zuckerberg kuibuka na kuwasilisha utetezi wake.

Marck Zuckerberg akizungumza mbele ya bunge la Ulaya,ameelezea hatua ambazo Facebook imekuwa ikizichukua kuwa ni kuweka uhalali wa baadhi ya...

 

8 months ago

BBCSwahili

Facebook yaomba radhi tena

Mkuu wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg,kwa mara nyingine ameomba radhi akidai kuwa kampuni yake haijawajibika kwa kiasi cha kutosha kudhibiti udukuzi

 

9 months ago

BBCSwahili

Facebook kuongeza faragha kwa watumiaji wake

Kampuni ya facebook inaongeza faragha kwa watumiaji wake kwa kuweka sehemu ya kufuta historia ya ulichikitafuta katika mtandao huo wa kijamii.

 

9 months ago

Ykileo

FACEBOOK REMOVES MALICIOUS ACCOUNTSIN BREAF: Facebook Inc has removed several malicious accounts and pages that advertised and sold social security numbers, addresses, phone numbers, and alleged credit card numbers of dozens of people and it will continue to do it if so needed.

----------------------------------------


Facebook spokesman assured to remove Posts containing information like social security numbers or credit card information on Facebook when Facebook becomes aware of it.


Facebook has also deleted almost 120 private...

 

9 months ago

VOASwahili

Bunge la Marekani lailazimisha Facebook kuthibitisha udhibiti wa siri

Wabunge wa Marekani wakiwa Washington walimbana kwa maswali magumu Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook Mark Zuckerberg wiki hii wakitaka aeleze jinsi kampuni yake ilivyokuwa ikitunza taarifa na siri za watumiaji wa mtandao wake.

 

10 months ago

VOASwahili

Soko la Facebook latetereka kwa kupoteza uaminifu

Pamoja na mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerbag kuomba msamaha kutokana na kupoteza uaminifu kitu kilichowakera watu zaidi ya milioni 50 duniani, soko lake la hisa limeonyesha kutetereka.

 

10 months ago

BBCSwahili

Thamani ya facebook yashuka kwa $58bn kufuatia kashfa

Mtandao huo wa kijamii ulikabiliwa na hisia kali kutoka kwa wanasiasa , wawekezaji na wateja wake kufuatia kashfa ya data

 

10 months ago

Malunde

MMILIKI WA FACEBOOK MARK ZUCKERBERG AOMBA RADHI WATEJA WAKE

Mwanzilishi wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg, kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica, inayotuhumiwa kuingilia data za watumiaji milioni 50 wa  mtandao huo, ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa.
Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zuckerberg bila kuomba radhi kwa kile kilichotokea, amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa wala kudukuliwa...

 

10 months ago

Michuzi

MMILIKI MTANDAO WA FACEBOOK AWAOMBA RADHI WATEJ A WAKE


ZUCKERBERG AFUNGUKA SAKATA  LA FACEBOOK.
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
MWANZILISHI  na mmiliki wa mtandao wa Facebook  Mark Zuckerberg ameibuka na kuomba msamaha kwa wateja wake baada ya sakata la kudukuliwa kwa data za watumiaji  zaidi ya milioni 50 wa mtandao huo na kampuni ya taarifa na takwimu ya Cambridge Analytica. 
Kashfa hiyo imeipa hasara ya zaidi ya bilioni 45 kwa siku mbili kutokana na hofu na upotoshaji uliotokea kwa watumiaji wake. Zuckerberg amehaidi uaminifu na umakini zaidi...

 

10 months ago

RFI

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg aomba radhi kwa watumiaji wake

Mkurugenzi mkuu na mmliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amevunja ukimya juma hili kuhusu kashfa iliyoikumba kampuni yake ambapo ameomba radhi kutokana na "kuvunja uaminifu" na weteja wake zaidi ya bilioni moja na kuapa kutorudia makosa yaliyojitokeza.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Mmiliki wa Facebook aomba radhi kutokana na kashfa ya Cambridge Analytica

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica,ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa. Analytica inatuhumiwa kuingilia data za watumiaji million 50 wa mtandao wa Facebook.

Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook Zuckerberg amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa na kuibwa kwa taarifa za watumiaji wake.

AmesemaThe CEO said:...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani