2 weeks ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI PENYE DOSARI WILAYANI IKUNGI

Na Mathias Canal-WK, Singida

Waziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Afisa ushirika wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Ndg Gurisha Msemo kufanya ziara ya kikazi maeneo yote kuliko fanyika uchaguzi wa viongozi wa vyama vya ushirika ili kubaini uhalali wa uwepo wao.

Mhe Tizeba ametoa kauli hiyo mara baada ya wakazi wa Kijiji cha Mkunguakihendo na Misughaa Wilayani Ikungi kuonyesha kutotambua namna walivyochaguliwa viongozi waliopo madarakani kukiongoza chama hicho katika ngazi...

 

8 months ago

Michuzi

DC MTATURU AZINDUA MSIMU WA KILIMO 2017/2018 WILAYANI IKUNGI

Na Mathias Canal, SingidaMkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu amezindua msimu wa kilimo 2017/18 ikiwa ni Sehemu ya kuwasihi wananchi kuanza kujiandaa kwani tayari wakati wa kuanza kilimo umekaribia.Katika uzinduzi huo uliofanyika katika kijiji na kata ya Ihanja wilayani Ikungi Mhe Mtaturu pamoja na  mambo mengine lakini amewasihi kutumia vizuri mvua za mwanzo kupandia.Katika mkutano huo wa uzinduzi  Mhe Mtaturu pia ameanzisha utaratibu huo wa kuzindua...

 

8 months ago

Michuzi

DC MTATURU AKUTANA NA WATAALAMU WA KILIMO IKUNGI KUJADILI UBORESHAJI SEKTA YA KILIMOMkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu (Katikati), Afisa Kilimo na Mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Ayoub Sengo (Kulia), Mwingine ni Afisa Tawala Wilaya ya Ikungi Ndg Dandala Mzunguor.
Na Mathias Canal, Singida
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu amekutana na kufanya kikao Cha kazi na wataalamu wa Kilimo, Mifugo, Ardhi, Maliasili na mazingira kubaini kwa pamoja mbinu bora za kuwasaidia wakulima kuzalisha mazao ya chakula na biashara kwa wingi.
Katika kikao...

 

9 months ago

Michuzi

DC MTATURU AZINDUA ZOEZI LA USAJILI NA UTAMBUZI WA WANANCHI WILAYA YA IKUNGI

Afisa wa NIDA Wilaya ya Ikungi Agness Mtei akimpa maelekezo Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu ya namna vitambulisho vya Taifa vinavyotengenezwa mara baada ya kuzinduzi zoezi la usajili na utambuzi kwa wananchi kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa.
Na Mathias Canal, Singida.
Zoezi linalotekelezwa na serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) iliyo chini ya Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi la usajili na utambuzi wa watu wanaoishi katika Wilaya ya Ikungi...

 

9 months ago

Michuzi

UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Ujumbe kutoka Ofisi yaMakamu wa Rais ukiongozwa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bi Ogenia Mpanduji wakimsikiliza Mmiliki wa Mgodi wa Sambaru uliopo wilayani Ikungi Mkoani Singida, Bwana Yusuf Mwandami walipofanya ziara ya kutembelea mgodi huo.Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais,Bi Magdalena Mtenga akiuliza swali kwa mmiliki wa mgodi wa sambaru uliopo Ikungi Mkoani Singida mara baada ya ujumbe toka Ofisi ya Makamu wa Rais kutembelea mgodi huo wa mwisho katika...

 

9 months ago

Michuzi

DC MTATURU AFANYA KIKAO NA WADAU WA ELIMU WILAYA YA IKUNGI WAISHIO DAR ES SALAAM NA PWANI

Na Mathias Canal, Dar es salaamMkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu leo Septemba 10, 2017 amefanya kikao na wadau wa Mfuko wa Elimu Wilaya ya Ikungi waishio Jijini Dar es salaam na Mkoa wa Pwani ili kuwaeleza dhamira ya kuanzishwa kwake ikiwa ni pamoja na kukuza ufanisi na kiwango cha ufaulu katika Wilaya hiyo.Katika kikao hicho wadau wamechangia jumla ya shilingi milioni 3,900,000 ikiwa ni ahadi, Mifuko 100 ya saruji na rasilimali hamasa kwa vijana wa waliohitimu masomo ya...

 

9 months ago

Michuzi

UFAFANUZI KUHUSU KUKAMATWA WAFUASI WA CHADEMA IKUNGI


Kumekuwa na taarifa potofu katika mitandao ya kijamii kuwa wafuasi 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Ikungi walikamatwa kwa kosa la kuendesha michango kwa ajili ya Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Ukweli ni kwamba taarifa hizi ni potofu na zenye lengo la kuwafitinisha wana Ikungi na jimbo la Singida Mashariki kwa ujumla. Viongozi waliokamatwa na ambao baadaye walihojiwa na kuachiwa kwa dhamana hawakuwa...

 

10 months ago

Michuzi

YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA MFUKO WA ELIMU WILAYANI IKUNGI

BMG Habari.Jumamosi iliyopita, Agost 19,2017 Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ilizindua rasmi “Mfuko wa Elimu Ikungi” ulioanzishwa wilayani humo kwa lengo la kusaidia utatuzi wa kero za elimu ikiwemo uhaba wa maabara, madarasa, vyoo pamoja na nyumba za waalimu.
Katika uzinduzi huo, pia zilifanyika shughuli kadhaa ikiwemo uzinduzi wa ligi ya soka ya “Ikungi Elimu Cup 2017” yenye lengo la kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali kuchangia Mfuko wa Elimu Ikungi, uzinduzi wa zoezi la...

 

10 months ago

Michuzi

UVCCM MKOANI SINGIDA WAMPONGEZA DC IKUNGI

Umoja wa Chama cha Mapinduzi UVCCM mkoani Singida umempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani humo Mhe.Miraji Mtaturu kwa kuanzisha michuano ya Ikungi Elimu Cup 2017 ili kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kuchangia utatuzi wa changamoto za elimu kupitia Mfuko wa Elimu Ikungi.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Singida, Jimson Mhagama (pichani) alitoa pongezi hizo jana Agosti 19,2017 kwenye uzinduzi wa michuano hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari Ikungi mkoani Singida ambapo...

 

10 months ago

Michuzi

DC IKUNGI AONGOZA UZINDUZI WA ALBAMU YA INJILI YA MWIMBAJI ELINEHEMA BABU

Katika uzinduzi huo, Mhe.Mtaturu ameendesha zoezi la uuzaji wa albamu hiyo iitwayo TARATIBU NITAFIKA na kusaidia upatikanaji wa zaidi ya shilingi Milioni Tatu ikiwa ni fedha taslimu pamoja na ahadi.
Mhe.Mtaturu amewahimiza waimbaji wa nyimbo za injili wilayani humo kutumia vyema fursa waliyonayo kwa kuimba nyimbo zenye kuhamasisha amani na upendo nchini, akitolea mfano kwaya ya AIC Makongoro ya Jijini Mwanza iliyoimba wimbo uitwao AMANI kwa ajili ya kuhamasisha amani nchini.
Mwimbaji Elineema...

 

10 months ago

CCM Blog

MICHUANO YA “IKUNGI ELIMU CUP 2017” YAZINDULIWA KWA KISHINDO WILAYANI IKUNGI


Mgeni rasmi, Katibu Tawala mkoa wa Singida Dkt.Angeline Lutambi, akizungumza kwenye ufunguzi wa michuano ya soka ya “Ikungi Elimu Cup 2017” kwa niaba ya Mkuu wa mkoa huo Dkt.Rehema Nchimbi.Michuano hiyo ilizinduliwa jana kwenye uwanja wa shule ya sekondari Ikungi, lengo ikiwa ni kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa elimu kusaidia kutatua baadhi ya changamoto za elimu wilayani Ikungi ikiwemo ujenzi wa madarasa, maabara, nyumba za waalimu pamoja na vyoo.Wazo hilo...

 

10 months ago

Malunde

WANAVIJIJI WILAYANI IKUNGI WAENDELEA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAENDELEO


Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mhe.Miraji Mtaturu (aliyesimama) amezindua awamu ya pili ya mradi wa kuwajengea wananchi uwezo ili kuibua na kuendeleza miradi ya maendeleo katika vijiji vyao wilayani humo.
Katika uzinduzi huo, Mhe.Mtaturu alilipongeza shirika la HAPA kwa kusimamia vyema awamu ya kwanza ya mradi huo na hivyo kufanikisha kupata ufadhiri wa awamu ya pili ya mradi ambapo Vijiji 15 wilayani Ikungi vitanufaika.
Mhe.Mtaturu aliwata wasimamizi wa mradi huo kuendelea kusimamia...

 

10 months ago

Malunde

IKUNGI KUTOKOMEZA UKEKETAJI, MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mhe.Miraji Mtaturu (aliyesimama) amezindua mradi wa AWARE unaosimamiwa na Shirika la Stars of Power Rescue Foundation SPRF, la mkoani humo unaolenga kufanya utetezi wa haki za watoto na wanawake dhidi ya mila na desturi kandamizi katika jamii.
Akizungumza kwenye uzinduzi huo uliofanyika jana, Mhe.Mtaturu aliwahimiza wasimamizi wa mradi huo kujikita zaidi kwenye kutoa elimu katika jamii ili kuondokana na mila kandamizi.
Aidha aliwataka wazazi na walezi...

 

10 months ago

Malunde

MKUU WA WILAYA YA IKUNGI AZUNGUMZIA MICHUANO YA SOKA YA "IKUNGI ELIMU CUP" 2017

Mkuu wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mhe.Miraji Mtaturu ametoa ufafanuzi kuhusiana na ligi ya "Ikungi Elimu Cup 2017" itakayozinduliwa kesho Agosti 19,2017 katika uwanja wa shule ya sekondari Ikungi wilayani humo.

Mhe.Mtaturu kaeleza sababu za kuanzishwa kwa ligi hiyo na namna itakavyosaidia kuhamasisha wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa elimu katika kutatua changamoto za elimu wilayani Ikungi ikiwemo ujenzi wa madarasa, maabara pamoja na nyumba za waalimu kupitia mfuko wa elimu...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani