3 weeks ago

BBCSwahili

Binti wa miaka 7 India amshtaki baba yake kwa kutomjengea choo

Hanifa Zaara amewambia polisi kuwa baba yake "amemdanganya" na anatakiwa akamatwe.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Mwanaume wa miaka 40 adaiwa kumbaka binti wa miaka mitatu India

Mtoto wa miaka mitatu yupo katika hali mbaya baada ya kubakwa na jirani huko India katika mji mkuu wa Delhi

 

8 months ago

BBC

India fans fill stadium for Kenya match

An India-Kenya football match in Mumbai is sold out after captain Sunil Chhetri asks fans to attend.

 

8 months ago

BBCSwahili

India:Afisa wa Polisi atishiwa kuuawa baada ya kumtetea muislamu

Afisa wa Polisi atishiwa kuuawa baada ya kumtetea muislamu na video yake kusambaa mitandaoni nchini India

 

8 months ago

Ghafla!

Wema Sepetu skips court hearing on drug case, travels to India for emergency surgery


Ghafla!
Wema Sepetu skips court hearing on drug case, travels to India for emergency surgery
Ghafla!
Wema Sepetu has been battling in court to prove her innocence ever since she was arrested on February 4th 2017 in a police drug sweep. The former Tanzanian beauty queen was found in possession of marijuana in her house. Wema spent close to a week ...
Hapan tambua sheria! Wema Sepetu fails to appear in court over drug related chargesMpasho Kenya (satire) (blog)

all 2

 

8 months ago

Zanzibar 24

Mahakamani yatoakauli Wema Sepetu apelekwa India kutibiwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imesema itatoa amri endapo msanii wa filamu nchini Wema Sepetu atashindwa kuwasilisha uthibitisho wa nyaraka za matibabu yake.

Hatua hiyo imetokana na mshtakiwa huyo kutofika mahakamani hapo kwa mara mbili mfululizo kwa madai kuwa ni mgonjwa na yupo nchini India kwa ajili ya matibabu.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 13 mwaka huu na mahakama imesema endapo Wema hataleta vielelezo hivyo, mahakama itatoa amri.

Amri hiyo imetolewa leo, Mei 29, 2018 na Hakimu...

 

8 months ago

Michuzi

BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA AFAFANUA UBORA WA ELIMU INAYOTOLEWA NCHINI INDIA

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBALOZI wa India nchini Tanzania Sandeep Arya amewahimiza Watanzania kuchangia fursa za elimu ya juu inayotolewa katika nchi yao huku akifafanua mkakati walio nao ni kutoa elimu kwa wanafunzi 200,000 kutoka nje ya nchi na kuwasaidia kupata elimu bora na ufanisi kutoka vyuo mbalimbali nchini humo.
Amesema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza fursa za kielimu zinazopatikana nchini India ambapo hafla hiyo ilihudhuriwa pia na viongozi...

 

8 months ago

Michuzi

TULIA TRUST YAWAPELEKA BUJORA DANCE GROUP KUWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA DANCE INDIA

Na Zainab Nyamka, Blogu ya jamii
WASHINDI wa Tulia Traditiona Dance Festistal 2017 chini ya Taaisisi ya Tulia Trust Bujora Dance Group la Mkoa Mwanza jana  wameelekea nchini India kushiriki mashindano ya ngoma ya asili yatakayofanyika tarehe 25 na 26 wiki hii.
Akizungumza na vyombo vya habari mmoja wa wanakikundi hao Deogratius Willium ameeleza kuwa walishinda katika mashindano ya Tulia dance mwaka jana na kwa sasa wanaelekea India katika mashindano hayo ya ngoma za asili.
Aidha ameeleza kuwa...

 

8 months ago

BBCSwahili

Nipah: Ugonjwa hatari unaoenezwa na popo wazuka na kuua watu tisa India

Maafisa wa afya katika jimbo la Kerala, kusini mwa India wamethibitisha kwamba watu tisa wamefariki kutokana na kinachodhaniwa kuwa virusi hatari vya Nipah.

 

8 months ago

Michuzi

BALOZI LUVANDA ATEMBELEA WANAFUNZI WATANZANIA WANAOSOMA JIMBO LA PUNJAB NCHINI INDIA

Balozi wa Tanzania nchi India Mhe.  Baraka Luvanda ametembelea na kuhudhuria  hafla ya wanafunzi wa Kiafrika wanaosoma kozi mbalimbali katika vyuo jimboni Punjab. Hafla hii iliofanyika Mei18, 2018 ilijumuisha wanafunzi karibu wote wa Kitanzania wanaosoma Punjab. Ilijumuisha vyuo kama Gian Jyoti institute of management and technology( chuo kilichoandaa event) ambacho ni miongoni mwa vyuo bora vya masomo ya biashara nchini India,  CDac na vyuio vinginevyo.  Hafla iliandaliwa na mwanafunzi...

 

8 months ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YA INDIA YAIPATIA SERIKALI YA TANZANIA MKOPO WA MASHARTI NAFUU

Serikali ya India kupitia Benki ya Exim imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 500, sawa na shilingi Trilioni 1.14 za Tanzania, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji katika miji 23 ya Tanzania.
Hafla ya uwekaji saini wa mkataba huo imefanyika leo tarehe 10 Mei, 2018 mjini New Delhi, India ambapo Bi. Amina Kh. Shaaban, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango na Bw. David Resquinha, Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Exim walisaini kwa niaba ...

 

9 months ago

BBCSwahili

Visa vya uhalifu wa kingono vyapitukia India

Polisi upande wa Mashariki mwa India katika jimbo la Jharkhand wamearifu kuwa wamemkamata mtuhumiwa mkuu anayehusishwa na unyanyasaji wa kingono na mauaji ya binti mdogo

 

9 months ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka 16 abakwa, achomwa moto India

Msichana wa miaka 16 abakwa, achomwa moto baada ya wazazi kulalamika

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani