2 months ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA BALOZI WA INDONESIA NCHINI TANZANIA IKULU LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzoRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Ratlan Pardede, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa...

 

4 months ago

VOASwahili

Baraza la Maulamaa lataka bidhaa za Marekani, Israel kususiwa Indonesia

Maelfu ya Waislam walijitokeza kuandamana kutoka katika msikiti mkubwa wa mjii mkuu wa Indonesia katika makutano ya barabara huko Jakarta Jumapili, kupinga uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.

 

6 months ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki kwa kugongana uwanjani Indonesia

Mlinda mlango wa klabu ya ligi kuu ya Indonesia amefariki baada ya kugongana na mchezaji mwenzake uwanjani.

 

7 months ago

BBCSwahili

Wanakijiji wamuua chatu mkubwa na kumla Indonesia

Wanajiji walimuua chatu wa karibu urefu wa mita 8 baada mwanamume mmoja kumpiga vita.

 

7 months ago

Michuzi

Balozi Dkt. Ramadhani Kitwana Dau awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Indonesia mwenye makazi jijini Kuala Lumpur Mheshimiwa Dkt. Ramadhani Kitwana Dau amewasilisha Hati za Utambulisho  (Letters of Credence) kwa Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mheshimiwa Joko Widodo katika sherehe zilizofanyika siku ya Jumanne ya tarehe 12 Septemba 2017 katika Ikulu ya Indonesia maarufu kama Istana Maderka.Kuwasilishwa kwa Hati hizo kunatoa ruksa wa Balozi Dkt. Dau sasa ya kufanya shughuli za uwakilishi nchini Indonesia kwa uhuru...

 

9 months ago

TheCitizen

Shoot drug traffickers if resist arrest: Indonesia President

Indonesia's President Joko Widodo has ordered the police to shoot drug traffickers who resist arrest in the latest effort to eradicate drug use in the country.

 

9 months ago

MwanaHALISI

Telegram kudhibiti Magaidi Indonesia

MTANDAO wa kijamii wa Telegram, umeahidi kuwa utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi nchini Indonesia, anaandika Hamisi Mguta. Maamuzi hayo ni kufuatia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia nchini humo kufunga huduma za mtandao huo nchini humo siku ya Ijumaa kwa kudai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi. Taarifa kupitia ...

 

9 months ago

BBCSwahili

Telegram kufunga akaunti za makundi ya ugaidi Indonesia

Indonesia inadai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi.

 

10 months ago

BBCSwahili

Wanaume 4 watoroka jela kupitia njia ya ardhini Indonesia

Mkuu wa jela la Kerokoban alisema anaamini wanaume hao bado wako kisiwani humo

 

11 months ago

Zanzibar 24

Kiongozi wa kundi la Kiislamu la FPI Indonesia adaiwa kueneza picha za ngono

Mhubiri mmoja wa dini ya kiislam Nchini Indonesia inaaminika kuwa ni  mshukiwa katika kisa cha usambazaji wa ujumbe na picha chafu za ngono.

Muhubiri wa Kiislamu mwenye msimamo mkali nchini humo  Rizieq Shihab anatuhumiwa kutuma ujumbe wenye maneno mazito ya mahaba na pia picha za utupu alipokuwa anawasiliana na mwanamke mmoja.

Mhubiri huyo ni kiongozi wa kundi la Islamic Defenders Front (FPI),  ambaye kwa sasa yupo nchini Saudi Arabia, amekanusha madai hayo.

Bw Rizieq anadaiwa kukiuka...

 

11 months ago

BBCSwahili

Mhubiri wa Kiislamu Indonesia adaiwa kueneza picha za utupu

Rizieq ni kiongozi wa kundi la Islamic Defenders Front (FPI), ambalo liliongoza maandamano makubwa dhidi ya gavana wa zamani wa mji mkuu wa Jakarta Basuki Tjahaja Purnama.

 

11 months ago

BBCSwahili

Wanaume waliofumaniwa wakifanya mapenzi Indonesia kuchapwa viboko leo

Wanaume hao wanatarajiwa kupokea adhabu ya viboko katika mkoa wa Acheh nchini Indonesia baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Watu 141 mbaroni kwa kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja Indonesia

Polisi nchini Indonesia waliwakamata wanaume 141 ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja katika mji mkuu wa Jakarta, siku ya Jumapili.

Msemaji wa polisi wa Jakarta Raden Argo Yuwono alisema baadhi ya wale walio kizuizini wanaweza kushtakiwa chini ya sheria kali ya Indonesia ya kupambana na vitendo vichafu.

“Baadhi yao walipatikana wakiwa wamevua nguo na wakishiriki ngono na wengine kujipiga punyeto wakati wa tukio,” aliiambia BBC Indonesia.

Chini ya sheria hizo kali za...

 

11 months ago

BBCSwahili

Indonesia: Watu 141 wakamatwa kwa kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja

Polisi nchini Indonesia wamewakamata wanaume 141 ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja katika mji mkuu wa Jakarta, siku ya Jumapili.

 

11 months ago

BBCSwahili

Walioshiriki mapenzi ya jinsia moja kuchapwa viboko 85 Indonesia

Mahakama ya Sharia katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia, imewahukumu wanaume wawili kuchapwa viboko hadharani kwa kushiriki mapenzi ya jinsia moja.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani