3 weeks ago

CCM Blog

MAGAZETI YA TANZANIA, LEO JUMANNE, JANUARI MOSI, 2019

 

8 months ago

Michuzi

WAZIRI JANUARI AZUNGUMZIA SOMO LA MUUNGANO BUNGENI, AAHIDI KUWASILIANA NA WIZARA YA ELIMU

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingra Januari Makamba amesema watawasiliana na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kuangalia namna ya kupandisha hadhi Muungano kupitia mtaala wa somo la uraia ambalo linafundishwa shuleni.
Januari Makamba amesema hayo leo Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu ambapo moja ya swali liliuliza kuna mkakati gani wa kuwa na mtaala wa somo la Munungano ambalo litajikita kuelezea kwa kina...

 

9 months ago

Michuzi

WAGONJWA 19,371 WATIBIWA KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE KUTOKA JANUARI HADI MACHI 2018.

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha miezi mitatu ya Januari hadi Machi 2018 imeona jumla ya wagonjwa 19,371 wenye matatizo mbalimbali ya moyo kati ya hao wagonjwa wa nje ni 18,481 na waliolazwa ni 890.
Wagonjwa 105 walifanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua kifua kati ya hao watu wazima 53 na watoto 52. Kati ya wagonjwa 105 waliofanyiwa upasuaji 66 walifanyiwa na madaktari wetu bingwa wa magonjwa ya moyo watoto wakiwa ni 35 na watu wazima 31.
Upasuaji wa moyo wa bila...

 

11 months ago

Michuzi

MSHAMBULIAJI wa Simba John Bocco ndiye mchezaji bora wa LIGI KUU mwezi Januari

MSHAMBULIAJI wa Simba ya Dar es Salaam John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara.Bocco ambaye pia ni nahodha wa Simba alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, mshambuliaji Emmanuel Okwi wa Simba na Awesu Awesu wa Mwadui kutokana na uchambuzi uliofanywa na Kamati ya Tuzo za VPL zinazotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana wiki hii kupitia ripoti za makocha waliopo viwanja mbalimbali ambavyo...

 

11 months ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI JANUARI UMEBAKI KUWA ASILIMIA 4.0-NBS

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMFUMUKO  wa bei wa Taifa  wa Januari 2018 umebaki kuwa asilimia 4.0 kama ilivyokuwa mwezi Desemba 2017 kwa ujumla inamaanisha kuwa kasi ya mabadiliko ya bei ya bidhaa na huduma kwa mwaka ulioishia mwezi Januari 2018 imekuwa na kasi ilivyokuwa kwa mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa  Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Epharaim Kwesigabo amesema  kubaki kwa mfumko huo kunatokana na bidhaa na...

 

12 months ago

BBCSwahili

Wachezaji wote waliofanikiwa kuhama Januari 2018 Uingereza

Klabu nyingi Uingereza zilikuwa sokoni kuwanunua wachezaji wa kuimarisha vikosi Januari, lakini nani alifanikiwa?

 

12 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEOJUMATANO JANUARI 31,2018Magazetini leo Jumatano January 31,2018


 

12 months ago

Malunde

12 months ago

Zanzibar 24

Matukio ya vifo kwa wiki iliyoishia Januari 28, 2018 mjini magharibi Unguja

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja limebainisha kutokea kwa matukio matatu yaliyosababisha vifo vya watu katika mkoa huo.

Akitoa taarifa hizo Kamishna Msaidizi wa Polisi mkoani humo Haji Abdalla Haji amesema kwa wiki iliyoishia Januari 28,2018 kuna matukio 3 ya vifo yameripotiwa ikiwemo mtoto wa miaka 13 kufariki kwa moto.

Kamishna wa Polisi Haji amesema Januari 22, Tausi Musa Alawi amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Mnazimmoja akipatiwa matibabu baada ya kuripukiwa na...

 

12 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARI 29, 2018

Magazetini leo Jumatatu Januari 29, 2017 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani