3 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 22.12.2018: Ozil, Isco, Puel, Zidane, Higuain, Morata, Fabregas

Klabu ya Arsenal ya Uingereza inafikiria kufikia makubaliano ya kubadilishana mchezaji wake raia wa Ujerumani, Mesut Ozil mwenye umri wa miaka 30 na wao kumchukua kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Uhispania Isco.

 

8 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 9,2018


Magazetini leo Jumamosi June 9,2018

 

8 months ago

Michuzi

HESHIMA ZA MWISHO KWA JOSIAH CHACHA ZILIZOKUWA ZIFANYIKE LEO JUMAMOSI SASA KUFANYIKA SIKU ITAKAYOTANGAZWA TENA

Familia ya marehemu Josiah Chacha inaendelea kufarijika na kuwashukuru wote kwa Sala, simu rambirambi za kifedha ambazo imekuwa ikizipokea. MUNGU na aendelee kuwabariki wote.

Kutokana na ughafla wa tukio hili, Familia ya marehemu imeridhia kusogeza mbele siku ya Last respect kwa hapa Marekani. Tutawapa taarifa Maalumu mipango itakapo kamilika.

Badala ya memorial service tutakutana leo Jumamosi June 2nd kuanzia saa nane mchana for fundraising ili tuweze kukamilisha taratibu za kumsafirisha...

 

8 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 02.06.2018

Mkufunzi wa Tottenham Mauricio Pochettino anasema kuwa atasikiza ombi la Real Madrid

 

8 months ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi June 2, 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi June 2, 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi June 2, 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

8 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JUNI 2,2018

Magazetini leo Jumamosi June 2 2018


 

8 months ago

Michuzi

SHEREKEA SANAA NA NAFASI ART SPACE JUMAMOSI HII

Sherekea Sanaa ni tamasha la kipekee linalosheherekea sanaa na tamaduni za Tanzania kwa njia ya mziki, miondoko, michoro na mengineyo. Nafasi Art Space inawaalika tarehe 2 Juni kuanzia saa 12.30 joini mpaka saa 5 usiku kwenye tamasha hili linalofanyika kwa ushirkiano wa Nordic Week.
Siku hio, ndani ya ukumbi wa Nafasi Art Space, kutakuwa na maonyesho ya sanaa ya “Silence (ukimya)” zilizoandaliwa na wasanii mbali mbali nchini. Na kwenye jukwaa makundi ya “Muda Dance” na “Nantea Dance”...

 

8 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 26.05.2018

Tottenham itaiomba Manchester United mshambuliaji raia wa Ufaransa Anthony Martial 22, ikiwa mlinzi raia wa Ubelgiji Toby Alderweireld, 29 atahamia Tottenham

 

8 months ago

CCM Blog

8 months ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 26 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 26 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 26 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

8 months ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 26,2018Magazetini leo Jumamosi May 26,2018
 

8 months ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 19.05.2018: Mikel Arteta atakuwa meneja wa Arsenal?

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na Uhispania Mikel Arteta amekubali kuteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya England.

 

8 months ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

8 months ago

BBCSwahili

Utatazama harusi ya kifalme au fainali kati ya Chelsea na Manchester United kesho Jumamosi

Mwanamfalme Prince William atakosa kuhudhuria fainali hiyo ya kesho Jumamosi kwa kuwa ndiyo siku ya harusi ya nduguye Prince Harry.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani