6 days ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 19.05.2018: Mikel Arteta atakuwa meneja wa Arsenal?

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na Uhispania Mikel Arteta amekubali kuteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya England.

 

7 days ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 19 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

1 week ago

BBCSwahili

Utatazama harusi ya kifalme au fainali kati ya Chelsea na Manchester United kesho Jumamosi

Mwanamfalme Prince William atakosa kuhudhuria fainali hiyo ya kesho Jumamosi kwa kuwa ndiyo siku ya harusi ya nduguye Prince Harry.

 

1 week ago

BBCSwahili

Harusi ya mwanamfalme Harry kufanyika Jumamosi

Kuna hali ya wasi wasi kuwa huenda babake Meghan Markle, hatahudhuria harusi ya mwanawe na mwana mfalme Harry, ambaye ni wa sita katika orodha ya urithi wa ufalme siku ya Jumamosi

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 12.05.2018

Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema kuwa huenda mshambuliaji wa Paris St-Germain na Brazil Neymar, 26, akashirikiana na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo. (Goal)

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 12 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 12 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi May 12 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

2 weeks ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI MEI 12,2018

Magazetini leo Jumamosi May 12,2018
L

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi 05.05.2018

Tetesi: Mahrez, Allegri, Jardim, Fellaini, Mirallas, McCarthy

 

3 weeks ago

Malunde

4 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 28.04.2018: Je Wenger atakubali kuwa kocha tajiri duniani?

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amepewa fursa kuwa mkufunzi tajiri zaidi duniani iwapo atajiunga na ligi kuu ya China.

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi April 28 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi April 28 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi April 28 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

4 weeks ago

Malunde

1 month ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 21.04.2018: Nani atakayechukua nafasi ya Wenger Arsenal?

Arsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani