4 days ago

BBCSwahili

Dira ya Dunia TV Jumatatu 21.05.2018

Ungana na Mariam Omar na Dayo Yusuf katika matangazo ya Dira ya Dunia

 

5 days ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 21.05.2018

Meneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuiaga Chelsea kwa saa 48 zijazo - huku meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique anatarajiwa kuchukua nafasi hiyo.

 

5 days ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 21 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 21 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 21 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

5 days ago

Malunde

5 days ago

Malunde

SUGU KUTINGA BUNGENI KESHO JUMATATU

Siku 11 baada ya mbunge wa Mbeya, (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ kuachiwa huru, kesho Mei 21, 2018 ataingia bungeni.
Sugu ataingia bungeni kuwawakilisha wananchi wa Mbeya baada ya kulikosa bunge hilo la bajeti tangu lilipoanza Aprili mwaka huu.
Sugu amesema: “Nipo Dodoma tayari, nimekuja baada ya hali ya mama yangu kuendelea kuimarika na kesho (Mei 21,2018) nitaanza kuwawakilisha wana Mbeya walionituma.”

“Wana Mbeya walikosa mwakilishi, walikosa wa kuwasemea mambo yao, kwani...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

BBC DIRA YA DUNIA TV JUMATATU 14/05/2018

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 14.05.2018 na Zuhura Yunus.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 14.05.2018

Meneja wa Everton Sam Allardyce amesema hakuna mzozo kati yake na Wayne Rooney, wakati mchezaji huyo wa miaka 32 anahusihswa na klabu ya ligi kuu ya soka ya DC United.

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 14 2018

Kama kawaida Zanzibar24 tayari imeshakusogezea stori kubwa zilizotengeneza headline katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 14 2018. Chukua time yako kwa kupitia Stori zote kali za udaku, siasa, michezo, burudani na mambo mengine mbali mbali.

 

 

 

The post Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu May 14 2018 appeared first on Zanzibar24.

 

2 weeks ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 14,2018

Magazetini leo Jumatatu May 14,2018

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 07.05.2018

Tetesi: Martial, Dembele, Milinkovic-Savic, Sarri, Salah, Hughes

 

3 weeks ago

CCM Blog

3 weeks ago

Malunde

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU MEI 7,2018


Magazetini leo Jumatatu May 7,2018

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani