(Yesterday)

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA BUHEMBA NA CATA MINING

Na Veronica Simba – MaraKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea na kukagua Mgodi wa Buhemba na ule wa CATA Mining Ltd iliyopo mkoani Mara ikiwa katika ziara ya kazi Machi 15 mwaka huu.Katika Mgodi wa Buhemba, Kamati ilielezwa kuwa, Serikali iliukabidhi Mgodi huo wa dhahabu kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) mwaka 2011 ili iuendeleze, kutoka kwa mmiliki wake wa awali ambaye ni Kampuni ya Meremeta Limited.Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Kanali Mhandisi Sylivester...

 

2 days ago

Michuzi

Kamati ya kitaifa ya UN na Serikali yakutana kupanga kazi za mradi wa Koica

KAMATI ya kitaifa inayoendesha mradi wa pamoja kati ya mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa (UNESCO, UN Women na UNFPA) na serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na wizara nyingine ambazo zinahusika na maswala ya Elimu hususani TAMISEMI, Wizara ya Afya, Maedeleo ya Jamii, Jinsia, Watu Wazima na Watoto na Wizara ya Sheria na Katiba pamoja na mfadhili wa mradi KOICA imekutana kwa mara yake ya kwanza kujadili mwelekeo wa mradi unawo husu kumwendeleza msichana...

 

2 days ago

Michuzi

KAMATI YA LAAC NA PAC ZAPEWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZOMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad akijibu hoja za Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), baada ya wajumbe hao kupatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ukaguzi. Semina hiyo imefanyika katika Ofisi za Ukaguzi Mkoa wa Iringa.Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), wakifuatilia mada katika semina...

 

3 days ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA.

 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, James Mwanjotile (kulia) wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara. Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kulia) akipokelewa na katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto)...

 

3 days ago

Zanzibar 24

Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi yafanya ziara katika wizara ya afya

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake iliyofanya katika Vitengo vya Wizara hiyo.

 

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza machache kabla ya Wajumbe wa Kamati yake kuchangia taarifa ya ziara yao kwa Vitengo vya Wizara hiyo.

 

Katibu wa Wizara ya Afya Asha Abdulla akisoma taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara kwa...

 

3 days ago

Michuzi

KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI YAFANYA ZIARA KATIKA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed akiikaribisha Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi ilipofika ofisini kwake Mnazi mmoja kwa ajili ya kutoa mrejesho wa ziara yake iliyofanya katika Vitengo vya Wizara hiyo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt. Mwinyihaji Makame Mwadini akizungumza machache kabla ya Wajumbe wa Kamati yake kuchangia taarifa ya ziara yao kwa Vitengo vya Wizara hiyo. Katibu wa Wizara ya Afya, Asha Abdulla akisoma taarifa ya Utekelezaji wa kazi za Wizara...

 

3 days ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA CHANZO CHA MAJI, IFUNDA

Kamati ya Kudumu ya Bunge Biashara na Mazingira mwishoni mwa wiki imetembea chanzo cha Maji ‘Mkaa’ kilichopo Tarafa ya Kiponzelo, Kata ya Ifunda, Mkoani Iringa.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Innocent Bashungwa ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Iringa kwa jitihada zao za kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya kunyweshea mifugo ili kuendelea kulinda vyanzo vya maji na kuwataka kuondoa miti iliyopo pembezoni mwa chanzo hicho ambayo inanyonya maji kwa wingi.
Kwa upande mwingine, Naibu Waziri...

 

4 days ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA CHANZO CHA MAJI - IFUNDA

Kamati ya Kudumu ya Bunge Biashara na Mazingira mwishoni mwa wiki imetembea chanzo cha Maji ‘Mkaa’ kilichopo Tarafa ya Kiponzelo, Kata ya Ifunda, Mkoani Iringa.Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Innocent Bashungwa ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Iringa kwa jitihada zao za kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya kunyweshea mifugo ili kuendelea kulinda vyanzo vya maji na kuwataka kuondoa miti iliyopo pembezoni mwa chanzo hicho ambayo inanyonya maji kwa wingi.
Kwa upande mwingine, Naibu Waziri...

 

4 days ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA MAPORI YA AKIBA YA BIHARAMULO, BURIGI, KIMISI (BBK) MKOANI KAGERA

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ambayo ipo mkoani Kagera imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) baada ya kutembelea Mapori ya Akiba ya Biharamulo, Burigi na Kimisi (BBK) kuangalia kazi za uhifadhi zinazofanywa ambapo wameipongeza TAWA kwa kitendo cha kurudisha hali ya mapori hayo ikiwemo kurejea kwa wanyamapori na uoto wa asili ambapo awali mapori hayo yalikuwa yameharibiwa kwa kasi kutokana na makundi ya mifugo kufanya malisho katika maeneo...

 

4 days ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu...

 

6 days ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAMBO YA NJE YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALI MBALI WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Lindi katika kikao kilichofanyika leo tarehe 17 Machi, 2018 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja Jenerali Projest...

 

6 days ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YATEMBELEA MGODI WA SEKENKE

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Kangi Lugola (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Murad SadickA (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Bw. Emmanuel Lwehaula wakati wa ziara ya kutembelea mgodi wa Sekenke one Mkoani Singida.Sehemu ya Waheshimiwa Wabunge wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiangalia zoezi la uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia zebaki mara baada ya kutembelea mgodi wa...

 

6 days ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu muhimu katika...

 

7 days ago

Michuzi

KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAKAGUA MIRADI YA MAJI KIGOMA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imefanya ziara ya kutembelea mkoa wa Kigoma kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na umwagiliaji inayotekelezwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa lengo la kujionea maendeleo na changamoto ya kazi zinazofanywa na wizara hiyo kuelekea Bunge la Bajeti Mwaka 2018/19.

Kamati hiyo imetembelea Manispaa ya Kigoma na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kujionea mradi mkubwa wa majisafi na majitaka na eneo linalotarajiwa kujengwa skimu ya ...

 

1 week ago

Michuzi

KAMATI YA MAADILI YAMFUNGIA MAISHA MICHAEL WAMBURA

Kamati ya Maadili ilikutana tarehe 14/3/2018 kupitia shauri linalomhusu Ndugu Michael Richard Wambura, Makamu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ambaye anashtakiwa na Sekretarieti ya TFF kwa makosa matatu ya kimaadili.

TUHUMA ZILIZOWASILISHWA
Sekretarieti ya TFF iliwasilisha mbele ya Kamati mashtaka matatu (3) ambayo ni;

1.    Kupokea/kuchukua fedha za Shirikisho (TFF) za malipo ambayo  hayakuwa halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(1) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani