10 months ago

Zanzibar 24

ZFA kuunda kamati maalum ya kusimamia ligi kuu Zanzibar

Chama cha mpira wa miguu Zanzibar (ZFA) kinatarajia kuunda kamati maalum ya kusimamia ligi kuu ya Zanzibar hatua ya nane bora itakayo jumuisha timu nane kutoka Unguja na Pemba.

Akizugumza na Zanzibar 24 hili Katibu mkuu wa chama cha mpira wa miguu Zanzibar Muhamed Ali Hilali amesema kamati hiyo ipo tayari katika majukumu yake ya kawasaida kuhakiki wachezaji watakao cheza kwenye ligi hiyo.

Aidha kwa upande mwengine ameelezea lengo la kuundwa kwa kamati hiyo baada ya viongozi wa juu wa chama...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Kamati ya kukagua mashamba ya mipira yaanza kazi Unguja

Kamati  Maalum iliyoteuliwa na Baraza la Mapinduzi Zanzibar ikiongozwa na Mwenyekiti wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi imefanya ziara maalum ya kuyakagua Mashamba ya Mipira  yaliyopo Unguja ili kutambua hali halisi ya ukubwa wa maeneo yake pamoja na mazingira yaliyomo ndani yake.

Wajumbe wa Kamati hiyo ambao ni pamoja na Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na baadhi ya Maafisa wa Taasisi za Serikali walipata wasaa wa kukutana na Wakulima waliowahi...

 

10 months ago

Michuzi

WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA


 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza wakati wa Mashauriano kati ya kamati ya Bajeti, kamati ya Uongozi  na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu...

 

11 months ago

Michuzi

Waziri Makamba awasihi wananchi kuunda kamati za Mazingira

Tamasha kubwa lililopewa jina la “Tulonge Mazingira na Mimi” limefanyika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo la aina yake lilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali na lililenga kukuza uelewa wa wananchi juu ya hifadhi ya mazingira msisitizo ukiwa ni kutumia nishati mbadala wa Mkaa kama kauli mbiu ya Siku ya Mazingira kwa mwaka huu inavyosema.
Akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika katika viwanja hivyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya...

 

11 months ago

Michuzi

KAMATI MAALUM ZA BUNGE ZA KIUCHUNGUZI KUHUSU SEKTA ZA UVUVI WA BAHARI KUU NA GESI ASILIA ZAWASILISHA TAARIFA ZAKE NA MHE. SPIKA KUZIPOKEA NA KUZIKABIDHI SERIKALINI

 Spika wa Bunge (Mb), Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya uwasilishwaji na kukabidhi taarifa za Kamati Maalum alizounda  kuchunguza na kushauri kuhusu sekta za Uvuvi wa Bahari Kuu na Gesi asilia. Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma na mara baada ya kuzipokea taarifa hizo Mhe. Spika alizikabidhi Serikalini ambapo zilipokelewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa kwa niaba ya Waziri Mkuu. Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya...

 

11 months ago

Malunde

KAMATI MAALUM YA BUNGE YABAINI MADUDU, MTUMISHI KULIPWA MSHAHARA SH 96 MILIONI


Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza masuala ya Gesi Asilia, Dunstan Kitandula akitoa taarifa ya kamati hiyo iliyoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kabla ya kumkabidhi katika Viwanja vya Bunge, jijini Dodoma leo. Spika aliunda kamati hiyo ili kumshauri kuhusu masuala hayo. Picha na Edwin Mjwahuzi 
****
Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge ya Gesi Asilia, Dunstan Kitandula amesema wamebaini madudu yanayoisababisha Serikali hasara ya Sh291bilioni sawa na bajeti ya wizara nne,...

 

11 months ago

Michuzi

MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA YAFUNGWA

Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo,Katibu tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga alisema ili kukomesha vitendo hivyo ni lazima kila mmoja ashiriki kwa nafasi yake. 
“Ni lazima wadau wote waweke nguvu ya pamoja kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto,hivyo mafunzo haya mliyopata yawe chachu ya kuleta mabadiliko katika jamii yetu ili wanawake na watoto waishi...

 

11 months ago

Malunde

Picha : MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO SHINYANGA YAFUNGWA


Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela leo Ijumaa Juni 1,2018 amefunga mafunzo ya siku tatu kwa wajumbe wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga. 

Mafunzo hayo yamefadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Investing in Children and their Societies (ICS – Africa). 
Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo,Katibu tawala mkoa wa Shinyanga Albert Msovela ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa...

 

11 months ago

Michuzi

KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO,MHANDISI AISHA AMOUR AONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA MAAFA KUTEMBELEA BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour akiwa ameongozana na wajumbe wengine wa Kamati ya Maafa kutembelea Bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo wilayani Mwanga ambalo linatajwa ujazo wake wa maji wa kawaida umepitiliza na kusababisha Mafuriko kwa wakazi waishio kando ya Bonde la Mto Pangani. Mhandisi ,Aisha Amour akitizama kina cha Maji katika Bwawa la Nyumba ya Mungu kilichofikia Mita za ujazo 689.88 .  Sehemu ya Bwawa la Nyumba ya Mungu.  Baadhi ya wakazi wa vijiji vya jirani...

 

11 months ago

Michuzi

RAS SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amefungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga yanayolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kupiga vita ukatili katika jamii.
Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza leo Jumatano Mei 30,2018 yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga yamekutanisha wadau mbalimbali wanaohusika katika kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kwa ufadhili wa shirika lisilo...

 

11 months ago

Malunde

Picha : RAS SHINYANGA AFUNGUA MAFUNZO KWA KAMATI YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO


Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amefungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto mkoa wa Shinyanga yanayolenga kuwajengea uwezo wa namna ya kupiga vita ukatili katika jamii.

Mafunzo hayo ya siku tatu yaliyoanza leo Jumatano Mei 30,2018 yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga yamekutanisha wadau mbalimbali wanaohusika katika kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kwa ufadhili wa shirika...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Kamati kuu ya halmashauri CCM Taifa yafanya kikao na Dkt. Shein

Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  Zanzibar, leo tarehe 27 Mei, 2018 imefanya kikao chini ya  Mwenyekiti  wake ambae pia Makamu Mwenyekiti wa  CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein. Dk. Shein amewataka  wajumbe wa Kamati Maalum ya NEC ya CCM Taifa Zanzibar kuendeleza kasi ya kuimarisha Chama kwa kutekeleza majukumu yao na kushuka kwa Viongozi na Wanachama wa ngazi mbali mbali ili CCM ishinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa  mwaka 2020. Kauli hiyo ameitoa leo hii katika Kikao...

 

11 months ago

Michuzi

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar yakutana leo

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  Zanzibar, leo tarehe 27 Mei, 2018 imefanya kikao chini ya  Mwenyekiti  wake ambae pia  Makamu Mwenyekiti wa  CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein. 
Dk. Shein amewataka  wajumbe wa Kamati Maalum ya NEC ya CCM Taifa Zanzibar kuendeleza kasi ya kuimarisha Chama kwa kutekeleza majukumu yao na kushuka kwa Viongozi na Wanachama wa ngazi mbali mbali ili CCM ishinde kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa  mwaka 2020.
Kauli hiyo ameitoa leo hii katika Kikao...

 

11 months ago

VOASwahili

Kamati ya Bunge ina wasiwasi na pendekezo la polisi Uganda

Jeshi la Polisi nchini Uganda limekabiliwa na upinzani mkubwa juu ya pendekezo lao la kuruhusu maafisa wao kuwashikilia washukiwa kwa kipindi cha zaidi ya siku mbili kabla ya watu hao kupewa dhamana au kufikishwa mahakamani.

 

11 months ago

Michuzi

KAMATI YA KURATIBU ZOEZI LA SERIKALI KUHAMIA DODOMA YAKAGUA JENGO JIPYA LA TAKWIMUWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, ajira na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ambaye ndiye anayesimamia Kamati inayoratibu zoezi la serikali kuhamia Dodoma na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Maimuna Tarishi pamoja na katibu wa kamati hiyo, Meshach Bandawe wamekagua jengo jipya la Takwimu, linalo milikiwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu na limejengwa  na Kampuni ya Ujenzi  ya Hainan International, leo tarehe 21 Mei, 2018 jijini Dodoma.

Katika...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani