(Yesterday)

Malunde

KILUWA GROUP LTD WASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA KUTOKA CHINA INAYOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA SUKARI ,KILIMO


Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Group, Mohammed Kiluwa akitiliana saini na Rais wa kampuni ya Kiisu Minyuan International Trading Ltd, Yu Liang kuhusu mkataba wa makubaliano ya uwekezaji wa kujenga kiwanda cha sukari na kilimo. Makubaliano hayo yamefanyika leo katika ofisi za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Kiluwa Group, Mohammed Kiluwa akipeana mkono mara baada ya kutiliana saini na Rais wa kampuni ya Kiisu Minyuan International Trading Ltd,...

 

2 days ago

Michuzi

KILUWA GROUP LTD WASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA KUTOKA CHINA INAYOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA SUKARI ,KILIMO

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii 
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimewakaribisha Watanzania wazalendo kutembelea katika ofisi za kituo hicho kwa lengo la kujua taarifa mbalimbali na fursa za uwekezaji zilizopo kwenye maeneo tofauti. 
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Idara ya Uhamasishaji TIC John Mathew kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Geoffrey Mwambe katika hafla ya kutia saini mikataba ya makubaliano ya uwekezaji kati ya kampuni za Tanzania na China ambapo...

 

5 days ago

VOASwahili

Kampuni ya madini ya Acacia North bado iko kimya

Siku moja baada ya kupigwa kwa faini ya shilingi bilioni 5.6 kwa uchafuzi wa mazingira katika Mgodi wake uliopo kaskazini mwa Tanzania kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia North Mara nchini Tanzania bado haijatoa tamko lolote kuhusu faini hiyo.

 

5 days ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL.

Rais Dk. John Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Sh. Bilioni 2.1 za Gawio la Serikali, kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na  Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Ikulu.

Na Paschal Doto, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli ametoa siku 30 kwa  Ikulu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara...

 

5 days ago

Michuzi

Marekani yalegeza vikwazo dhidi ya kampuni ya Huawei


Serikali ya Marekani imeondoa kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei.Hatua  hiyo inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake wanaotumia simu za kampuni hiyo.


Mwasisi wa kampuni hiyo anayesema kuwa Huawei ilikuwa imejiandaa kwa hatua ya Marekani.


Wizara ya Biashara ya Marekani itairuhusu kampuni ya Huawei kununua bidhaa zinazotengenezwa Marekani kwa siku nyingine 90 ili kudumisha mitandao iliyopo na kutoa programu tumishi mpya...

 

5 days ago

Michuzi

BASI LA KAMPUNI YA ARUSHA EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO,ABIRIA WANUSURIKA KIFO


Basi LA Abiria Kampuni ya Arusha Express linalofanya safari zake Arusha, Bukoba lenye Namba za Usajili T 222 ABF limewaka moto na kuteketea sehemu kubwa ya Gari hilo, Ajali hiyo imetokea leo asubuhi eneo la kwa Kagambo Kilometa Mbili toka Stendi Bukoba. Abiria wote wamenusurika huku chanzo cha kuwaka moto kikibainishwa kuwa ni hitilafu ya Umeme kwenye gari hilo. 

 

1 week ago

BBCSwahili

Kampuni Boeing yatangaza kuboresha ndege yake ya 737 Max

Boeing imeboresha mfumo wake ndege ya chapa -737 Max- iliyopigwa marufuku kufuatia ajali ziliyosababisha vifo vya abiria wengi katika kipindi cha miezi mitano

 

1 week ago

Michuzi

Kakunda Akanusha Profesa Kabudi Kuhusika na Mkataba wa Kampuni ya Indo Power Solution

Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda akifafanua jambo kuhusu taarifa za kumuhusisha Profesa Kabudi na sakata la Kampuni ya Indo Power Solution alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma.[/caption] 
Na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma
Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amekanusha shutuma zilizotolewa kuhusu ushiriki wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania...

 

1 week ago

VOASwahili

Trump apiga marufuku matumizi ya vifaa vya kampuni ya Huawei

Maafisa wa Marekani wameanza kutekeleza marufuku inayokataza kampuni ya simu ya China, Titan Huawei kutengeneza simu ya mkononi aina ya mtandao wa “5G” nchini Marekani na wanatahadharisha kuwa kampuni hiyo ina hatarisha usalama wa nchi hizo.

 

1 week ago

Malunde

Serikali yatoa sababu ya kuvunja mkataba na kampuni ya kununua korosho kutoka Kenya

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Joseph Kakunda amesema Kampuni ya Indo power ya Kenya iliyokuwa imeingia mkataba wa kununua korosho tani 100,000 ilistahili na ilkuwa halali.
Kakunda ameyasema hayo wakati akihitimisha hotuba yake ya bajeti bungeni jana, Mei 15, ambapo alisisitiza kuwa kampuni hiyo inatambulika nchini Kenya, Afrika Mashariki na dunia nzima.
Alisema kilichosababisha Tanzania kuvunja mkataba huo ni baada ya kampuni hiyo kuchelewa kukamilisha taratibu kadhaa walizokubaliana.

 

1 week ago

Malunde

Kampuni Ya Infinix Na TIGO Yaleta Mapinduzi Ya Selfie Kupitia Infinix S4 Yenye 32mp.


Kampuni ya simu ya Infinix inayozalisha simu zenye teknolojia ya hali ya juu, imezindua simu mpya aina ya Infinix S4 yenye megapixel 32 AI selfie kwajili ya kuwawezesha watanzania kufikia ndoto zao kupitia matumizi ya teknolojia. Na kwa ushirikiano wa TIGO na Infinix, Infinix S4 itapatikana katika maduka ya Infinix na TIGO ikiwa na ofa ya bundle la miezi sita.   

Infinix na Tigo zimeungana katika uzinduzi wa Infinix S4 kuhakikisha wateja na Watanzania kwa ujumla wanaingia katika mapinduzi ya...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Serikali yaeleza sababu ya kuachana na kampuni ya kununua korosho kutoka Kenya

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2019/2020 jumla ya Shilingi Bilioni 100.3

Akihitimisha hoja bungeni, Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amezungumzia suala la kampuni ya Indo-Power iliyopaswa kununua Korosho akieleza kuwa kampuni hiyo ni halali na ilikaguliwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya.

Ameeleza kilichofanya serikali kuamua kuchana na kampuni ni kutokana na ilichelewa kutekeleza baadhi ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWAKAMATA WATU NANE WANAODAIWA KUIBA MALI YENYE THAMANI YA MIL. 300 YA KAMPUNI YA ORGANIA PRODUCTION KIBAHA, PWAN

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA JESHI la polisi mkoani Pwani, linawashikilia watu nane wanaodaiwa kuhusika na wizi wa mashine za kutotoloshea vifaranga vya kuku,mashine ya maji, mfumo wa umeme na vyuma mbalimbali vya uzalishaji zenye thamani ya milioni 300, mali ya kampuni ya organia production ltd,iliyoko huko Boko Mnemela Kibaha Pwani. Kamanda wa polisi mkoani hapo, Wankyo Nyigesa (pichani) amewaambia waandishi wa habari kuwa, mara baada ya kupata taarifa kutoka kwa meneja wa ulinzi wa kampuni...

 

2 weeks ago

Malunde

Kampuni ya UDA-RT, yasitisha hudumuma ya mabasi ya mwendo kasi

Taarifa kwa umma
Kampuni ya UDA-RT inautaarifu umma kuwa huduma za mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, imesitisha huduma zake kati ya Kimara - Kivukoni, Kimara - Gerezani, Morroco - Kivukoni na Morroco - Gerezani kuanzia saa 10: 30 alfajiri leo Jumatatu Mei 13, 2019, kufuatia kujaa maji katika eneo la Jangwani. 
Huduma zinazotolewa sasa ni kati ya Kimara - Mbezi, Kimara - Magomeni Mapipa, Kimara - Morroco, Gerezani - Muhimbili, Kivukoni - Muhimbili na Gerezani - Kivukoni. 
Tunaendelea...

 

2 weeks ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAWAKUMBUSHA MADEREVA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI KUEPUKA AJALI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania Dominic Dhana(aliyevaa kofia nyekundu) akitoa elimu ya usalama barabarani kwa madereva waliofika kujaza mafuta katika Kituo cha Mafuta cha Puma jijini Dar es Salaam.Puma imeungana na Shirika la Umoja wa Mataifa kuadhimisha Wiki ya nenda kwa Usalama. Wengine waliokuwa wakitoa elimu hiyo ni wanafunzi wa Shule ya mzingi ambao ni mabalozi wa usalama barabarani.
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma  Energy Tanzania imeungana na...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani