6 days ago

Malunde

PATCHO MWAMBA : LULU HAKUMUUA KANUMBA BALI ALIKUWA SHAHIDI WAKATI ANAKUFA

Mwanamuziki na Muigizaji nchini, Patcho Mwamba ameifungukia kauli ya Mama Kanumba ya kushukuru kitendo cha Muigizaji Lulu kufungwa miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji Kanumba na kusema kwamba hakuna haja ya kuendelea na 'beef' kwani hakuna haki inayoweza kumrudisha Kanumba hai.

Patcho ambaye alikuwa muigizaji na rafiki wa karibu na Marehemu Steven Kanumba amesema kwamba Mama kanumba anapaswa kuwa na moyo wa kusamehe kwa sababu binti huyo akimaliza kifungo atarudi mtaani...

 

1 week ago

Bongo Movies

Afande Sele Amfungukia Mama Kanumba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.

“Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Idris atoa wimbi la salamu kuhusu Kanumba

Mchekeshaji na mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan, ametoa salamu za pole kwa mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, na kuelezea alivyoyakumbuka maisha mema ya Kanumba wakati akiwa hai duniani na kuongeza kwamba sasa haki yake imepatikana atapumzika kwa amani milele.

Ujumbe huu ndio aliouandika kupitia akaunti yake ya Instagram: Allah akufanyie wepesi na milele utabaki mioyoni mwetu. Tulifunga njia, kazi na hata kuhema vizuri wengine tulishindwa na tukapata depression kubwa...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Ujumbe aliouandika Afande Sele akimlaumu Kanumba kuhusu Lulu

Baada ya hukumu ya Lulu jana Afande ameandika ujumbe huu ambao uliamsha hisia za wengi… “Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa kuruka….Jumamosi moja ktk mwaka ule nikiwa kwenye ubora wangu wa hali ya juu na ushawishi mkuu kuliko msanii yeyote Tz nilialikwa kutumbuiza Tabata kwenye ukumbi wa Dar West...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Afande Sele amlaumu Kanumba kuhusu Lulu, Mrisho Mpoto ajibu mashambulizi

Baada ya Elizabeth Michael (Lulu) kuhukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Msanii Afande Sele aliibuka na kuandika ujumbe wa kumshtumu marehemu Kanumba kwa kitendo cha kutembea na Lulu wakati akiwa bado mdogo na kueleeza kuwa ameumia zaidi baada ya matatizo aliyoyapata Lulu kupitia Kanumba, hivyo hakushiriki kivyovyote katika msiba wa msanii huyo ingawa alikuwepo Dar kwani hakutaka kuvaa joho la unafki.

Sasa leo hii Msanii Mrisho mpoto...

 

1 week ago

Malunde

AFANDE SELE : KANUMBA AMEVUNA ALICHOKIPANDA...UDHAIFU WA KISICHANA VIMEBAKI MATESO KWA LULU

Baada ya mrembo katika tasnia ya filamu, Elizabeth Michael (Lulu) kuhukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake wa filamu, Steven Kanumba, kuna mengi yanazungumzwa kupitia mitandao ya kijamii.
Afande ameandika ujumbe huu…Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa...

 

1 week ago

Malunde

MZEE KANUMBA : HUKUMU YA LULU KWENDA JELA MIAKA MIWILI NI KAMA HUKUMU YA MWIZI WA KUKUSaa chache baada ya mahakama kumhukumu Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenda jela miaka miwili kutokana na kifo cha Steven Kanumba,Baba wa marehemu Steven Kanumba mzee Charles Kanumba ameibuka na kueleza kuwa hukumu hiyo haijamfurahisha akifananisha hukumu hiyo kuwa kama hukumu ya mwizi wa kuku. 
Akizungumza na Malunde1 blog,Mzee Kanumba alisema hukumu hajaridhika nayo kwani hukumu ya miaka miwili ni danganya toto kwa ndugu na wazazi hivyo ni bora wamuachie huru ijulikane moja.
Alisema...

 

1 week ago

CCM Blog

LULU APIGWA KIFUNGO CHA MIAKA MIWILI JELA MAUAJI YA KANUMBA

DAR ES SALAAMMahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemhukumu kwenda jela miaka miwili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji Sam Rumanyika aliyekuwa anaendesha kesi hiyo, na kusema kwamba mshtakiwa amekutwa na hatia ya kuua bila kukusudia kutokana na ushahidi wa mazingira, hivyo atatumikia kifungo cha miaka miwili jela.
"Ushahidi wa mazingira unaweza kutumika kama msingi pekee wa...

 

1 week ago

Bongo Movies

Idris Sultan amuandikia barua ya wazi Steven Kanumba

Muigizaji na mchekeshaji  Bongo, Idris Sultan ameandika barua ya wazi kwenda kwa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba.

Katika barua hiyo, Idris ameonyesha kuwa amewahi kuwa shabiki mkubwa wa marehemu na alihudhuria mazishi yake mwaka 2009. Kabla ya kuandika ujumbe huo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, muigizaji huyo aliyepata dili la kuigiza filamu Hollywood alianza kwa kupost video akiwa na muigizaji Elizabeth Michael aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.

Dear...

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Baada ya Hukumu Lulu, Mama Kanumba Afunguka

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipoziikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.

Mama Kanumba akiwa na Lulu zamani kidogo

 

Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha muigizaji huyo.

“Kwa sasa sina la kusema ila  naishukuru sana Mahakama kwa...

 

2 weeks ago

Malunde

KAULI YA MAMA KANUMBA BAADA YA LULU KUHUKUMIWA JELA MIAKA MIWILI

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya Kinondoni alipozikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.


Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha muigizaji huyo.

“Namshukuru Mwenyenzi Mungu, naishukuru Mahakama imetenda haki, naishukuru Serikali yangu awamu ya...

 

2 weeks ago

Ghafla!

Bahati's former crush Elizabeth Michael Lulu sent to prison as court finds her guilty of killing Steven Kanumba


Ghafla!
Bahati's former crush Elizabeth Michael Lulu sent to prison as court finds her guilty of killing Steven Kanumba
Ghafla!
Elizabeth Michael 'Lulu' has been sentenced by a Dar es Salaam court for the death of Steven Kanumba. The lass was Kanumba's girlfriend at the time of his death. For starters, Bahati used to be obsessed with Elizabeth Lulu before Diana Marua came into ...
Court to deliver Lulu judgment todayDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 2

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Video – Alichosema Mamaake Kanumba baada ya hukumu ya Lulu

Mara baada ya mahakama kuu tanzania kutoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili kwa muigizaji maarufu Lulu Michael ambaye ametenda kosa la kumuua steven kanumba bila ya kukusudia, Mama wa marehemu Steven Kanumba ameishukuru  mahakama na serikali kiujumla juu ya maamuzi waliyoyatoa kuhusu kesi hiyo.

“Mimi sina la kusem kwa sasa hivi ila la kwanza namshukuru mwenyezi mungu sana,pili ninaishukuru mahakama kwa kutenda haki na pia naishukuru sana seriakli yangu na hata nikitoka hapa nitaenda...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mahakama yamhukumu 'Lulu' miaka 2 jela kwa kifo cha Kanumba

Mahakama kuu ya Dar es salaam imemhukumu muigizaji maarufu kama 'Lulu', kifungo cha miaka miwili baada ya kumtia hatiani kwa kumuua Steven Kanumba.

 

2 weeks ago

Malunde

Breaking News: LULU MICHAEL AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MIWILI KWA KUMUUA KANUMBA

Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imemhukumu kwenda jela miaka miwili muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alikuwa anakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.

Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji Sam Rumanyika aliyekuwa anaendesha kesi hiyo, na kusema kwamba mshtakiwa amekutwa na hatia ya kuua bila kukusudia kutokana na ushahidi wa mazingira, hivyo atatumikia kifungo cha miaka miwili jela.
"Ushahidi wa mazingira unaweza kutumika kama msingi pekee wa kumtia...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani