4 months ago

Zanzibar 24

Wananchi wa kaskazini ‘A’ watakiwa kulitumia soko la Nungwi

Wananchi wa mkoa wa kaskazini Unguja wametakiwa kulitumia soko la wazi la kibiashara linalofunguliwa kila mwezi kwenye kijiji cha Nungwi ili kuweza kuuza na kununua biashara za asili zinazotengenezwa visiwani Zanzibar.

Akizungumza katika halfa ya ufunguzi wa soko hilo la kibiashara lililoandaliwa na tamwa  Mkurugenzi wa halmashauri ya kaskazini A Mussa Ali Makame amesema kufunguliwa kwa soko la kuuza na kununua bidhaa mbalimbali za asili litaweza kutoa fursa kwa wananchi wakiwemo...

 

4 months ago

Zanzibar 24

PAZA yabadilisha maisha ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja

Mradi  wa kukuza uwajibikaji Zanzibar (PAZA) ulioundaliwa na TAMWA kwa kushirikiana na WAHAMAZA na NGENARECO pamoja na Asasi za kiraia  waibua maendeleo ya kimaisha kwa Wananchi wa Kaskazini Unguja.

Akizungumza na  Zanzibar24 blog Katibu wa Jumuia ya vijana kupambana na udhalilishaji Ali Makame Zuberi huko Gamba Wilayani Mkoa wa Kaskazini Unguja amesema katika mradi huo wamepata mafanikio makubwa ambayo kwakiasi fulani ipelekea jamii kuhamasika kwa njia tofauti za kimaisha.

Amesema...

 

4 months ago

BBCSwahili

Data za watu 1000 waliohama Korea Kaskazini zavuja kufuatia udukuzi mkubwa nchini Korea Kusini

Wizara ya mapatano nchini Korea Kusini ilisema huu unachukuliwa kuwa uvujaji mkubwa wa taarifa za wale waliohama Korea Kaskazini.

 

11 months ago

BBCSwahili

Trump sasa anatarajiwa kukutana na Kiongozi wa Korea kaskazini kisiwani Sentosa Singapore

Ikulu ya Marekani imethibitisha kwamba mkutano unaosubiriwa kwa hamu kati ya Donald Trump na kiongozi wa Korea kaskazini utafanyika kisiwani Sentosa nchini Singapore

 

11 months ago

BBCSwahili

Rais wa Syria Bashar al- Assad kutembelea Korea Kaskazini

Nchi hizi zimekuwa zikishutumiwa kuhusika na matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria

 

11 months ago

VOASwahili

Pompeo atakutana na viongozi wa Korea Kaskazini

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo anatarajiwa kukutana Jumatano jioni huko New York na Jenerali wa ngazi ya juu Korea Kaskazini.

 

11 months ago

Zanzibar 24

DC Kaskazini B Unguja afuata nyayo za RC Paul Makonda

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B Unguja  Rajab Ali Rajab ametoa onyo kwa wanaume waliotelekeza familia zao kwa makusudi na kusema atawachukulia hatua za kisheria kwani  watoto hukosa haki zao za msingi.

Akizungumza na Zanzibar24  amesema  kuna baadhi ya wazazi huwaweka katika wakati mgumu watoto wao kutokana na migogoro yao binafsi  ya kifamilia husababisha kuwakosesha huduma muhimu watoto jambo ambalo hupelekea watoto kujiingiza katika makundi hatarishi.

Amesema kila mzazi  awajibike  kwa...

 

11 months ago

VOASwahili

Ujumbe wa Marekani uko Korea Kaskazini kuandaa mkutano wa Trump, Kim

Kikundi cha maafisa wa serikali ya Marekani wamevuka mpaka wa Korea Kaskazini Jumapili kuanza kufanya matayarisho ya mazungumzo kati ya Rais Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, kwa mujibu wa gazeti la Washington Post.

 

11 months ago

BBCSwahili

Rais wa Korea Kaskazini na Kusini wakubaliana kufanikisha mazungumzo yajayo

Ni nia ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani Donald Trump uendelee

 

11 months ago

VOASwahili

Trump asema Korea Kaskazini imetoa majibu ya "ukarimu", "ufanisi"

Rais Donald Trump amesema Ijumaa asubuhi kuwa Korea Kaskazini imetoa mrejesho wa “ukarimu” na “ufanisi" baada ya kusitisha mkutano wake na Kim Jong Un.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Korea Kaskazini yasikitishwa na hatua ya Rais Donald Trump kufuta mkutano wake na Kim Jong-un

Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kufutilia mbali mkutano wake wa kihistoria na hasimu wake kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un uliokuwa umepangwa kufanyika June 12 mwaka huu nchini Singapore kwa kile alichodai kuwa na kauli zenye ujumbe unaochukiza kutoka kwa viongozi wa Korea Kaskazini.

Mapema leo Korea Kaskazini imeelezea kusikitishwa kwake na hatua ya rais Donald Trump kujitoa katika mazungumzo hayo.

Kwa mujibu wa mashirika ya habari nchini humo, uamuzi huu umekuwa kinyume na...

 

11 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini ipo tayari kukutana na Trump 'wakati wowote'

Korea Kaskazini imeelezeaa kusikitishwa kwake na hatua ya rais Donald Trump kujitoa katika mazungumzo yaliyopangwa kufanyika juni 12 huko Singapore

 

11 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yabomoa eneo la kujaribia silaha za nyuklia

Korea Kaskazini imeharibu mashimo yaliyo katika eneo pekee la majaribio ya silaha za nyuklia, ili kupunguza taharuki rasi ya Korea.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Korea Kaskazini yamtusi makamu wa Rais wa Marekani

Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa “mjinga” na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli.

Choe Son-hui alisema Pyongyang haitaweza kuibembeleza Marekani kwa mazungumzo.

Siku za hivi karibuni pande hizo mbili zimeonya kuwa mkutano wa Juni 12 unaweza kuhairishwa au kufutwa kabisa.

Korea Kaskazini ilisema itafikiria tena iwapo itahudhuria mkutano ikiwa Marekani itaendelea kusisitiza kuwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yamuita 'mjinga' Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence

Siku za hivi karibuni Marekani na Korea Kaskazini zimeonya kuwa mkutanoa wa Juni 12 unaweza kuharishwa au kufutwa kabisa.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani