3 weeks ago

Zanzibar 24

Naibu Katibu Mkuu mpya aahidi kusimamia kwa vitendo katiba ya CCM


NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Ndugu Othman Ally Maulid akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Ofisi rasmi katika hafla iliyofanyika leo katika Afisi Kuu ya Wazazi Kikwajuni Unguja.

NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Ndugu Othman Ally Maulid amesema atasimamia kwa vitendo ibara ya Tano ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977 toleo jipya la mwaka 2017 inayoelekeza kuwa Ushindi wa CCM ni lazima kwa kila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Chaguzi ndogo...

 

8 months ago

RFI

Rais Nkurunziza atia sahihi kwenye Katiba mpya

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametia sahihi kwenye Katiba mpya tata. Sherehe ya utiaji sahihi imefanyika Alhamisi wiki hii katika ikulu ya rais mjini Gitega, katikati mwa Burundi. Katiba hii mpya iliyopitishwa Mei 17 katika kura ya maoni, inampa fursa ya Pierre Nkurunziza kusalia madarakani hadi mwaka wa 2034.

 

8 months ago

Malunde

RAIS KUPOKEA KATIBA MPYA ALHAMIS

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anatarajiwa kuipokea Katiba mpya ambayo inaanza kutekelezwa siku ya Alhamis ambayo inatajwa kuwa itageuza mambo mengi kwenye taifa hilo, lakini pia kutoa fursa kwa Rais kuweza kuwania uongozi wa nchi hadi mwaka wa 2034.

Taarifa ya Ikulu ya Burundi imethibitisha kuwa sherehe za utiaji sahihi kwenye katiba mpya na kuitambulisha kwa raia zitafanyika katika mkoa wa kati wa Gitega eneo la Bugendana ambako huko ndiko kulikozinduliwa rasmi mchakato wa katiba.
Ni kwa...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Burundi kusaini katiba mpya wiki hii

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anatarajiwa kuipokea Katiba mpya ambayo inaanza kutekelezwa siku ya Alhamis ambayo inatajwa kuwa itageuza mambo mengi kwenye taifa hilo, lakini pia kutoa fursa kwa Rais kuweza kuwania uongozi wa nchi hadi mwaka wa 2034.

Taarifa ya Ikulu ya Burundi imethibitisha kuwa sherehe za utiaji sahihi kwenye katiba mpya na kuitambulisha kwa raia zitafanyika katika mkoa wa kati wa Gitega eneo la Bugendana ambako huko ndiko kulikozinduliwa rasmi mchakato wa...

 

8 months ago

BBCSwahili

Burundi kuitambulisha katiba mpya siku ya Alhamis

Hata hivyo wapinzani na baadhi ya nchi za kigeni wamekosoa mchakato huo mzima kwamba haukuzingatia sheria na katiba mpya inanuwia kumbakiza madarakani Rais Pierre Nkurunziza hadi mwaka 2034.

 

8 months ago

Michuzi

Wanachama kuogelea wapitisha Katiba mpya

Dar es Salaam. baada ya kusua sua kwa muda mrefu, hatimaye Chama Cha Kuogelea Nchini (TSA) kimepata katiba mpya itakayo waongoza katika mchezo huo hapa nchini.
Katiba hiyo imepatikana katika mkutano mkuu uliotishwa na Kamati ya Muda ya TSA iliyoteuliwa na Baraza la Michezo nchini (BMT) hivi karibuni.Katika Mkutano huo uliosimamiwa na BMT, wanachama kutoka klabu mbalimbali nchini walipitisha mabadiliko hayo ambayo kwa mujibu wa katiba ya sasa, Zanzibar haitashiriki katika masuala ya uchaguzi...

 

8 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Dr Bashiru - I Will Abide to CCM's Decisions On New Katiba


Tanzania: Dr Bashiru - I Will Abide to CCM's Decisions On New Katiba
AllAfrica.com
Dar es Salaam — The newly appointed Chama Cha Mapinduzi (CCM) Secretary General, Dr Bashiru Ally said on Thursday that he will abide to the party's position concerning the new constitution. Dr Bashiru made the statement on Thursday, May 31, 2018 at ...
Magufuli casts a CCM in his own imageAfrica Intelligence

all 3

 

8 months ago

Malunde

KATIBU MKUU MPYA WA CCM 'DK BASHIRU' AIPOTEZEA KIAINA KATIBA MPYA

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi, Dk Bashiru Ally amesema msimamo wake kuhusu mabadiliko ya Katiba utakuwa tofauti na ule aliokuwa nao awali kabla ya kuingia kwenye siasa na atafuata maelekezo ya Chama chake.
Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa katibu mkuu, Abdulrahman Kinana, Dk Bashiru aliyekuwa akitetea mabadiliko ya Katiba amesema msimamo huo aliutoa kwa kuwa alikuwa huru.
"Leo nazungumza kama Katibu Mkuu, yaani swali lako lina majibu humo...

 

8 months ago

VOASwahili

Wapiga kura Burundi wapitisha marekebisho ya Katiba

Wapiga kura nchini Burundi wameunga mkono mabadiliko ya katiba ambayo huenda yakamruhusu rais kushikilia madaraka hadi mwaka 2034.

 

8 months ago

BBCSwahili

Wapiga kura waidhinisha marekebisho ya katiba Burundi

Tume ya Uchaguzi nchini Burundi imetangaza kwamba kambi iliyokuwa inaunga mkono marekebisho ya katiba nchini humo imeshinda kura ya maamuzi iliyofanyika wiki iliyopita.

 

8 months ago

RFI

Warundi wajitokeza kuipigia kura marekebisho ya Katiba

Raia wa Burundi wanaokadiriwa kuwa Milioni 4.8  wanapiga kura kuamua kuifanyia mabadiliko Katiba au kupinga mabadiliko hayo, katika zoezi linaendelea kwa utulivu lakini kwa hofu miongoni mwa raia wa nchi hiyo ya Afrika ya Kati.

 

8 months ago

RFI

Wananchi wa Burundi wanapiga kura kuhusu mabadiliko ya Katiba Alhamisi

Wananchi wa Burundi wanatarajiwa kupiga kura ya maoni kesho kuibadilisha Katiba ya nchi hiyo. Iwapo Katiba itabadilishwa, huenda rais Pierre Nkurunziza akaendelea kuwa madarakani hadi mwaka 2034. Je, Burundi ilifikaje hapa ?

 

8 months ago

RFI

Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba kupigwa Alhamisi hii nchini Burundi

Wananchi wa Burundi wanapotarajiwa kupiga kura ya maoni hapo kesho kuirekebisha Katiba, wengi wanaamini kuwa mabadiliko yatakayofanyika yatampa rais Pierre Nkurunziza kuendeleza kuongoza hadi mwaka 2034.

 

9 months ago

RFI

Umoja wa Ulaya wapinga mchakato wa marekebesho ya katiba Burundi

Umoja wa Ulaya umeendelea na msimamo wake wa kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba unaoendelea nchini Burundi. Kura ya maoni kuhusu marekebesho ya katiba inatarajiwa kufanyika ifikapo Mei 17 mwaka 2018.

 

9 months ago

VOASwahili

Katiba-Russia hairuhusu Putin kugombea muhula wa tano

Vladimir Putin, ambaye ametumikia nafasi ya urais na waziri mkuu wa Russia tangia 1999, ameapishwa tena kwa muhula wa nne kama rais Jumatatu katika sherehe zilzofanyika Ikulu ya Kremlin.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani