7 days ago

Zanzibar 24

SMZ yatangaza scholarship kwa vijana walio faulu vizuri kidato cha sita

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar inatangaza nafasi kumi za ufadhili wa masomo kwa njia ya scholarship zinazotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa vijana waliofaulu vizuri zaidi mitihani yao ya kidato cha sita kwa mwaka 2017 na kufanikiwa kupata ufaulu wa daraja la kwanza katika masomo ya sayansi.

Masharti ya kuomba nafasi hizo ni:
Muombaji awe ni Mzanzibari Mkaazi aliyehitimu kidato cha sita katika skuli za Sekondari za Zanzibar.
Awe amefaulu vizuri masomo ya sayansi kwa...

 

7 days ago

Michuzi

SHULE YA SEKONDARI LONDONI YASHIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA MANISPAA YA SONGEA

Shule ya sekondari LONDONI iliyopo katika manispaa ya SONGEA mkoani RUVUMA, ni kati ya shule zilizofanya vizuri katika matokeo ya kidato cha sita mwaka 2017 ambapo kwa mwaka 2017 imeshika nafasi ya kwanza katika manispaa ya SONGEA huku kimkoa imeshika nafasi ya nne.HABRI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

 

1 week ago

Michuzi

Mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti wakipokea wapongezwa kwa kufaulu mtihani wa kidato cha sita

Na Francis Godwin, IringaSERIKALI ya wilaya ya Kilolo na mbunge wa kilolo Mhe. Venance Mwamoto wamewapongeza kwa zawadi za maandalizi ya chuo kikuu mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (19) waliofanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu. Wakikabidhi zawadi hizo kwa mapacha hao jana mbele ya walezi wao wa kituo cha Nyota ya asubuhi ambako wanaishi Maria na Consolata, Mkuu wa wilaya ya Kilolo Mhe. Asia Abdallah, Mhe.Mwamoto ambao ...

 

1 week ago

Michuzi

WAZIRI UMMY MWALIMU APONGEZA WASICHANA WALIOFAULU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (2017)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy A. Mwalimu (Mb), anatoa pongezi za dhati, kwa wanafunzi wote waliofaulu mtihani wa kidato cha Sita kwa mwaka 2017, ambapo kiwango cha ufaulu wa matokeo ya kitaifa kimepanda kwa asilimia 0.59 ikilinganishwa na mwaka 2016, huku watoto wa kike wakiongoza kwa ubora mwaka huu.
Waziri Ummy amempongeza Sophia Juma wa shule ya Sekondari Mazinde juu (Tanga) kwa kushika nafasi ya kwanza, sanjari na Agatha Julius Ninga wa shule ya...

 

1 week ago

Mwananchi

Siri ya Mlima Mbeya kushika mkia matokeo kidato cha sita yaanikwa

Siri ya Shule ya Sekondari ya Mlima Mbeya kushika mkia katika matokeo ya mtihani wa kidato cha sita imewekwa hadharani na mkuu wa shule hiyo iliyoko mkoani Mbeya, Atuganile Bwile akisema baadhi ya wanafunzi walikuwa na nidhamu mbovu.

 

1 week ago

Mwananchi

Matokeo kidato cha sita na dalili njema shule za umma

Miaka ya 1970 hadi 1980, shule za umma zilikuwa zikifanya vizuri na kuwa tegemeo kwa ufaulu wa wanafunzi.

 

1 week ago

Mwananchi

Njombe sekondari yalalama kushika mkia matokeo kidato cha sita

Ikiwa ni siku tatu tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita, Shule ya Sekondari ya Njombe imelilalamikia Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) ikidai matokeo hayo hayaendani na wastani wake wa ufaulu (GPA) wa masomo.

 

1 week ago

BBCSwahili

Mapacha walioungana wafaulu kidato cha sita

Pacha walioungana, Maria na Consolata wamejawa na furaha baada ya kufaulu mitihani yao ya mwisho

 

2 weeks ago

Channelten

Matokeo ya Kidato cha Sita – 17.07.2017

Part 01

Part 02

Share on: WhatsApp

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Mapacha walioungana wapasua kidato cha sita

Unawakumbuka wale mapacha walioungana kutokea wilayani Makete Mkoani Njombe. Maria Mwakikuti na Consolata Mwakikuti ni mapacha walioungana na wamekuwa gumzo kubwa hapa Tanzania kutokana na maumbile yao lakini pia jitihada yao kubwa katika masomo ili kutimiza ndoto zao ambapo awali walikua na ndoto ya kuwa wataalam wa computer lakini baadae walibadili na kuwa na ndoto ya kuwa waalimu.

Habari njema zilizotufikia ni kuwa mapacha hawa waliohitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari ya...

 

2 weeks ago

Mwananchi

Pacha walioungana wapata maajabu matokeo kidato cha sita

Pacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti wamefanya maajabu mengine baada ya kufaulu mitihani yao ya kidato cha sita kwa kupata matokeo sawa ya Daraja la Pili.

 

2 weeks ago

MwanaHALISI

Tazama matokeo ya kidato cha sita

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) jana lilitangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, kama ulikosa matokeo hayo basi MwanaHALISI Online imekusogezea. BONYEZA HAPA KUTAZAMA  

 

2 weeks ago

Michuzi

FEZA SEKONDARI YATOA ALIYEONGOZA KIDATO CHA SITA KITAIFA KWA WAVULANA KATIKA MASOMO YA SANAA

 Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza akiwa amebebwa juu na wanafunzi wenzie wa shule hiyo baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika Masomo ya Sanaa na Biashara katika matokeo yaliyotangazwa na baraza la mitihani Julai 15, 2017.
  Mwanafunzi Francis Thomas aliyemaliza kidato cha Sita katika shule ya Wavulana ya Feza  akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake wote wawili ,Thomas Samky na Victoria Samky walipofika shuleni hapo

 

2 weeks ago

Mwananchi

Vinara wa ufaulu kidato cha sita waeleza siri ya mafanikio

Kwa kuwa anashinda akiperuzi katika mitandao ya kijamii kila siku, anaangalia tamthilia azipendazo bila kukosa, usidhani hasomi kwa bidii.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani