2 months ago

Zanzibar 24

Picha: Upepo ulivyo athiri kilombero zanzibar

Idadi ya nyumba zilizoezuka mapaa na kuangukiwa na miti kufuatia upepo mkali ulioambatana namvua huko Kilombero mkoa wa kaskazini B, imeongezeka na kuwa 65 badala ya 40 idadi iliyotajwa hapo awali.

Idadi hiyo imetolewa na sheha wa shehiya ya Kilombero Moh’d Haji Faki, wakati akizungumza na mwandishi wa Zanzibar24 aliyefika eneo la tukio na kujionea hali halisi ya nyumba zilizoathiriwa kwa upepo.

Baadhi ya wananchi wa shehia hiyo wamesema upepo huo umetokea juzi March 4 majira ya saa 1...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Upepo ulioambatana na mvua waathiri vibaya huko Kilombero Unguja

Kilombero hali si shuari upepo mkali ulioambatana namvua na kusasababisha nyumba 40 kuangukiwa na miti hata pia na nguzo za umeme zikidondoka pamoja na mazao ya shambani kuharibika na kusababisha familia za nyumba hizo sasa wasaka nyumba za kuishi.

Miongoni mwa waathirikiwa wa tukio hilo wameeleza kuwa hali iliokuepo huko sio ya kuridhisha kwani upepo mkali ulio fika katika eneo hilo ulisababisha hasasra kubwa.

Kwaupande wa viongozi wa jimbo la Kiwengwa wamekiri kutokea kwa tukio hilo na...

 

2 months ago

Michuzi

daraja la kilombero mkoani morogoro lakamilika

Hali ya "Sanda Mkobani" ilivyokuwa wakati wa kuvuka mto Kilombero mkoani Morogoro kabla ya ujenzi wa daraja.Ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero uliopangwa kukamilika mwezi Februari 2017, sasa umekamilika kwa 100% na liko tayari kuzinduliwa.  Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili za mkoa wa Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na Mkoa wa Ruvuma, litaokoa maisha ya wananchi wa wilaya hizo ambao katika kipindi chote cha mwaka walikuwa wakipata shida kuvuka mto huo huku shughuli za...

 

2 months ago

Michuzi

KILOMBERO YAWAWEZESHA MAELFU WAZEE WASIOJIWEZA HUDUMA ZA CHF ILIYOBORESHWA


Na John Nditi, Kilombero.

HALMASHAURI ya wilaya ya Kilombero , mkoani Morogoro wamewakatia  kadi za   Mfuko wa Afya ya Jamii  (CHF ) iliyoboreshwa  wazee wasiojiweza zaidi ya 7,800 waliopo katika  kata  26  ili kuwawezesha kupata  huduma bora za matibabu katika vituo vya  Afya, Zahanati na hospitali na wategemezi wao.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri  hiyo , Dennis Londo   alisema hayo  mbele ya  Katibu tawala mkoa wa Morogoro, Clifford Tandari, kabla ya zoezi la ugawaji  kadi za CHF...

 

2 months ago

Michuzi

Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa apelekwa Muhimbili kutibiwa

Mbunge mstaafu wa Kilombero Mhe. Abdul Rajabu Mteketa amepelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaa kwa matibabu, baada ya Jumamosi Februari 11, 2018 kuomba msaada wa kupatiwa matibabu ya upasuaji wa magoti yake. Mbunge huyo aliyetumikia jimbo la Kilombero baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu mwaka 2010, alitumia njia ya video mtandaoni kupeleka ujumbe kwa Rais na jana Jumapili gari la wagonjwa lilifika na kumchukua kumpeleka Muhimbili. Video ya kwanza inamuonesha Mhe....

 

2 months ago

Michuzi

WANANCHI WASHUKURU SERIKALI UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO

Wananchi wa wilaya ya Ulanga, Malinyi na Kilombero wameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kutimiza ahadi waliyoitoa kwa wananchi hao ya kuwajengea daraja la mto kilombero ambalo lilikuwa kilio chao cha muda mrefu.Wakizungumza mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika kijiji cha Kivukoni, mkoani Morogoro, wakazi hao wamemueleza kuwa hivi sasa changamoto zao zimetatuliwa baada ya kukamilika kwa daraja hilo.“Tunaishukuru Serikali kwa ujenzi wa daraja...

 

3 months ago

Michuzi

DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO


Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla (MB) ameteua Kamati maalum ambayo itaishahuri Serikali namna ya nini kifanyike katika kushughulikia athari za bonde la Kilombero lililopo Mkoani Morogoro.
Waziri Dk Kigwangalla amebainisha kuwa Kamati hiyo aliyoiteua, ndio itamshahuri juu ya bonde hilo litasimamiwa vipi pamoja na namna bora ya hatua za kuchukua ili kulinda bonde hilo ambalo lina mahitaji makubwa ikiwemo chanzo kikubwa cha maji yanayotengeneza Stiegler’s Gorge ambako...

 

7 months ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali akamatwa na Polisi

Polisi wamemkamata mbunge wa jimbo la Kilombero, Mh. Peter Lijualikali, jioni ya leo, alhamis, 28/09/2017, baada ya kumaliza kikao cha ndani cha chama mjini Malinyi Ulanga.

 

8 months ago

Michuzi

BENKI YA KILIMO YAKAGUA MIRADI YA KILIMO KILOMBERO


Katika kuhakikisha miradi inayopatiwa mikopo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), uongozi wa Benki hiyo kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Bw. James Ihunyo wametembelea miradi minne iliyopo wilayani humo.

Miradi iliyotembelewa ni Kapolo AMCOS, Skimu ya Umwagiliaji ya Mkula. Nyingine ni Umoja wa Wakulima wa Miwa wa Msolwa Ujamaa na Hope ya Kidatu.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga alisema ameridhishwa na...

 

9 months ago

CCM Blog

ZIARA YA POLEPOLE MKOA WA MOROGORO YAWANG'OA KAMATI YA SIASA KATA YA KIDATU WILAYA YA KILOMBERO

Katibu wa Hakmashauri kuu Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Pole Pole akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM Wilaya ya Kilombero  katika mkutano wa ndani uliofanyika Julai 28, 2017, katika Kata ya Kidatu akiwa katika ziara ya Kichama mkoani Morogoro.
KIDATU, MOROGOROWajumbe wa kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya kidatu wamejiuzulu nafasi zao za uongozi kwa pamoja na kuomba radhi wanachama kwa makosa ya kushindwa kutoa uongozi madhubuti.
Akiwa katika ziara ya...

 

9 months ago

TheCitizen

Kidatu – Kilombero road for upgrading

Government has signed a Sh101 billion grant, money which will be used to upgrade Kidatu - Ifakara road.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Tatizo la maji laikumba shehia ya kilombero

Wananchi wa Jimbo la Kiwengwa  Shehia ya Kilombero Mkoa wa kaskazini  Unguja Wilaya ya kaskazini B wamelalamikia kuwepo kwa  tatizo la maji  katika maeneo  yao hali inayopelekea kutumia maji ya mito na visima ambayo hawana uhakika kwa usalama wa afya zao.

Akizungumza na Mwandishi wetu Katibu wa Sheha wa shehia ya Kilombero John Ndarami  Makeja amesema kukosekana  kwa huduma ya maji safi na salama  kunawapa wasiwasi mkubwa  kupata ugonjwa wa Mripuko kutokana na wananchi walio wengi  kutumia...

 

10 months ago

Mwananchi

Daraja la mto Kilombero lafungwa kupisha ujenzi

Wakazi wa wilayani Kilombero wanatarajia kurejea katika matumizi ya kivuko katika kuvuka mto Kilombero kufuatia daraja la mto Kilombero linalounganisha wilaya za Ulanga na Malinyi kufungwa kwa muda.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani