7 months ago

Michuzi

DC HAPI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KINONDONI

 

8 months ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV.
Meneja Masoko Mwandamizi wa...

 

8 months ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA KOMPYUTA 10, MEZA PAMOJA NA VITI SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV. 2Meneja Masoko...

 

8 months ago

Michuzi

MBUNGE MAULID MTULIA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO KATA ZA MSISIRI A, B, NA KAMBANGWA KINONDONI

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia(CCM), ametembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko ya maji huku akitumia nafasi hiyo kutoa pole kwa wananchi wa jimbo hilo ambao wameathirika kwa namna moja au nyingine na mvua za masika huku akiishauri Halmashauri Manispaa ya Kinondoni kutafuta suluhu ya kudumu ili wananchi wabaki salama.
Pia amesema mbali ya kutoa pole atatumia fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukodisha mashine za kunyonya maji pamoja na fedha ya...

 

8 months ago

Michuzi

WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA

 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.   Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.  Mheshimiwa Maulid Mtulia...

 

9 months ago

Michuzi

DC HAPI AAGIZA WATENDAJI KUTOA FEDHA BIL 2.3/- KWA WAJASIRIAMALI KINONDONI

Na Agness Francis Blogu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Kinondoni  Dar es Salaam Ally Hapi amewaagiza watendaji wake kuhakikisha hadi ifikapo Juni mwaka huu wawe tayari wametoa fedha za mkopo Sh.bilioni 2.3 kwa wajasiriamali ambao ndio walengwa wa fedha hizo na kama itakuwa bado ataifumua idara ya maendeleo ya jamii.
Hapi ametoa maagizo hayo leo wilayani Kinondoni jijini wakati anazugumza kikao kati yake, wajasiriamali wa wilaya hiyo pamoja na watendaji ambapo la kikao hicho ilikuwa ni kusikiliza...

 

9 months ago

Michuzi

MKUTANO WA WAJASILIAMALI WILAYA YA KINONDONI

Mkuu Wa Wilaya Kinondoni Mheshimiwa Ally Salum Hapi Anawaalika Wajasiliamali Wote Wilaya Ya Kinondoni Kesho Siku Ya Jumatano

 MAHALI: Ukumbi Wa King Solomoni- Namanga

MDA: Saa 3 Asubuhi
LENGO: Kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili

WOTE MNAKARIBISHWA

 

9 months ago

Michuzi

BEI ZA BIDHAA MATUNDA NA MBOGABOGA SOKO LA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mboga aina ya Spinach fungu sh. 500, Tembele sh 500Mkungu wa ndizi katika soko la Kinondoni unauzwa kati ya sh 25,000 hadi sh 30,000.Bei za mchele katika soko la Kinondoni kama inavyoneshwa katika vibaoMfanyabiashara akitembeza biashara zake katika maeneo ya kinondoniEmbe katika soko la Kinondoni linauzwa kati ya sh 1000 hadi sh 1500, Papai sh 2000 hadi 400 hutegemeana na ukubwa wa Papai, Nanasi sh 3000 hadi sh 4000, Ndizi Mbivu inauzwa kati ya sh 250 hadi sh 300.(Imeandaliwa na Emmanuel...

 

9 months ago

Michuzi

OFISI YA MKUU WA MKOA DAR YAIAGIZA WIZARA YA ARIDHI KUFUTA HATI KIWANJA NAMBA 105525 KILICHOPO KINONDONI

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii
OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kitengo cha ardhi , imemtaka Msajiri wa Hati wa Wizara ya Ardhu,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuta mara moja hati namba 105525 wa Kiwanja namba 1003 kilichopo Mtaa wa Sekenke Kinondoni, chenye mgogoro uliodumu kwa miaka 10.

Kiwanja hicho kilikuwa kinagombewa na wananchi wawili ambao ni Ally Abdi na Seleman Marashed kutokana na familia kukiuza mara mbili huku pia kikiwa na namba mbili ambazo ni 212 na...

 

9 months ago

Michuzi

UWT KINONDONI YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MSAADA MWANANYAMALA HOSPITALI

 Mjumbe wa halmashauri kuu (MNEC UWT), Halima Okashi akitoa zawadi kwa Mmoja ya Wanawake waliolazw aktika wodi ya wamama katika Hospitali ya Mwananyamala ambapo UWT Kinondoni walifika katika Hospitali hiyo kutoa Msaada katika kuadhimisha  siku ya Wanawake Dunia Katibu wa UWT CCM Wilaya ya Kinondoni, Nuru Mwaibako, akiwa na Diwani Viti maalum CCM  Kinondoni  Frolenece Masunga wakikabidhi zawadi kwa Wanawake waliofka katika Clinic ya Hospitali ya Mwananyamala na watoto wao, UWT Kinondoni...

 

9 months ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA BAJETI YA MWAKA 2018/2019

Na Emmanuel Masaka, Globu ya JamiiBARAZA  la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia mkutano wake maalum limepitisha makadirio ya mapato na matumizi ya kawaida  na mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019.
Ambapo Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni inatarajiwa kukusanya na kupokea Sh. 242,185,292,987.00 ambapo Sh. 209,436,308,079.00 sawa na asilimia 86.5 ni ruzuku kutoka Serikali kuu.
Wakati Sh. 686,380,000.00  sawa na asilimia 0.3 ni mchango wa jamii na ...

 

9 months ago

Malunde

LHRC : HATUOGOPI KUITWA CHADEMA..UONEVU KWA VYAMA VYA UPINZANI ULIKUWEPO UCHAGUZI SIHA,KINONDONI

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimedai uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha uliofanyika Februari 17, 2018 ulikuwa huru, lakini haukuwa wa haki kwa sababu vyama vya upinzani vilionewa.
Akizungumza jana Alhamisi Machi 1, 2018 Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho, Anna Henga amewaeleza waandishi wa habari kuwa kulikuwa na upendeleo kwa CCM, kwamba mawakala wa vyama vya upinzani walinyimwa viapo katika vituo vingi na kusababisha vyama hivyo kukosa waangalizi.
"Sisi hatuogopi...

 

9 months ago

Michuzi

Mahakama Kinondoni yamuhukumu msanii Shilole kulipa milioni 14 ndani ya wiki moja

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo.
Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Machi 1, 2018, imethibitika kuwa Shilole alipatiwa kiasi cha fedha Tsh. Milioni tatu kutoka kwa muandaaji wa tamasha hilo Mary Musa kwa ajili ya kutumbuiza siku ya mkesha wa Pasaka mwaka jana 2017 katika...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani