4 months ago

Zanzibar 24

Yanga yawaacha Ajib na Makambo kombe la Mapinduzi

Kuelekea michuano ya kombe la Mapinduzi inayoanza kesho Januari 1, 2019 visiwani Zanzibar, klabu ya Yanga haitapeleka kikosi chake cha kwanza kwenye mashindano hayo.

Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya Yanga kimeeleza kuwa baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wamepewa mapumziko na kocha Mwinyi Zahera ili kujiweka sawa kwaajili ya mechi za ligi kuu.

”Badala ya kwenda na kikosi cha kwanza mwalimu ameeleza kuwa Yanga itakwenda na wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi ili nao waweze...

 

10 months ago

Michuzi

GOR MAHIA ATWAA KOMBE LA SPORTPESA SUPERCUP, KUKIPIGA NA EVERTON GODSON PARK

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Klabu ya Soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeendeleza ubabe wake kwa kunyakua kombe la Sportpesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba ya Tanzania kwa goli 2-0 katika Uwanja wa Afraha Kwenye Jiji la Nakuru nchini Kenya
Kombe la Sportpesa Super Cup lilianzishwa mwaka jana 2017 na kufanyika nchini Tanzania ambapo Gor Mahia wajulikanao kama K'Ogalo kuwafunga mashemeji zao Fc Leopard.
 Gor Mahia  walioanza kwa kasi toka kwenye mchezo wa...

 

10 months ago

Malunde

ZIJUE MECHI 5 ZILIZOACHA ALAMA KOMBE LA DUNIA

Ikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Dunia nchini Urusi, kampuni ya michezo Gracenote imetoa michezo mitano ya kombe la Dunia ambayo ilitoa matokeo ambayo hayakutarajiwa na wapenzi wa soka.
Michezo ifuatayo ndiyo ilitoa matokeo ya kushangaza zaidi tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kombe la Dunia kwa mujibu wa Gracenote.
5. Uruguay 2-1 Brazil 1950
Mchezo huu unashika nafasi ya tano ni kati Uruguay dhidi ya Brazil katika mashindano yaliyofanyika mwaka 1950 nchini...

 

10 months ago

Malunde

HIZI NDIYO TIMU 5 AMBAZO HAZINA UZOEFU KOMBE LA DUNIA 2018

Kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 zinazoanza Alhamisi Juni 14 nchini Urusi, yafuatayo ni mataifa ambayo wachezaji wake wamechezea mechi chache zaidi katika timu zao hivyo kuwa na uzoefu mdogo.
Timu ya taifa ya Uingereza imeingia kwenye orodha hiyo ikiwa na kikosi cha wachezaji 23 ambao wameichezea timu hiyo kwa jumla ya mechi 465 hivyo kushika nafasi ya pili katika timu ambazo hazina uzoefu.
Nafasi ya tano inashikiliwa na timu ya taifa ya Serbia ambayo wachezaji wake 23 waliokwenda Urusi...

 

10 months ago

BBCSwahili

Gor Mahia yaichapa Simba 2-0 mchezo wa fainali kombe la SportPesa

Gor Mahia imetetea ubingwa wake kwa kuichapa Simba ya Tanzania magoli 2-0 kwenye michuano ya SportPesa iliyofanyika nchini Kenya

 

10 months ago

VOASwahili

Kombe la Dunia Russia 2018 : Mashabiki wasubiri kwa shauku kubwa

Mashabiki wa kandanda duniani wanasubiri kwa shauku kubwa kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia 2018 ambazo zitachezwa nchini Russia kuanzia Juni 14 katika moja ya tukio kubwa la michezo duniani linatokea kila baada ya miaka minne.

 

10 months ago

BBCSwahili

Gormahia ya Kenya,Simba ya Tanzania kivumbi hii leo kombe la SportPesa

Gormahia na Simba watoana Jasho uwanja wa Afraha Nakuru Kenya

 

10 months ago

BBCSwahili

Hizi ndio nambari zenye uzito katika Kombe la Dunia 2018

Timu 32 zitacheza katika mashindano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia Urusi kwa siku 32.

 

10 months ago

Malunde

WATU WATATU KWENDA URUSI KWENYE KOMBE LA DUNIA 2018 KUPITIA PROMOSHENI YA BIA YA KILIMANJARO LAGER


Meneja wa Mawasiliano ya wateja wa TBL, David Tarimo akitoa ufafanuzi wa promosheni ya Kilimanjaro kwa waandishi wa habari,kulia ni Afisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha,Hamidu Semvua na Raj Chandarana aliyeko kwenye mafunzo chini ya mpango wa Global Management Trainee katika kampuni ya TBL.Meneja wa Mawasiliano ya wateja wa TBL, David Tarimo na Raj Chandarana kutoka TBL wakijadiliana jambo.Zoezi la droo ya kupata washindi ikifanyika kupitia teknolojia za kisasa.Meneja wa Mawasiliano...

 

10 months ago

BBCSwahili

Bashiri nani atashinda Kombe la Dunia 2018, kwa kutumia huduma hii ya BBC News

Je, unaweza kubashiri nani atashinda Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi? Ni mataifa gani yatafaulu kufika raundi ya pili? Bashiri na usambaze ubashiri wako kwa kutumia huduma hii ya BBC News.

 

10 months ago

BBCSwahili

Simba wafika fainali Kombe la SportPesa kwa kuwalaza Kakamega Homeboyz

Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Simba wametinga fainali ya michuano ya Super Cup ya kampuni ya Sportspesa baada ya kuwacharaza Kakamega Homeboyz wa Kenya.

 

10 months ago

BBCSwahili

Jezi za mataifa yanayocheza Kombe la Dunia 2018 urusi

Tazama jezi zote 32 za mataifa yanayoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Urusi. Gani inakupendeza zaidi?

 

10 months ago

Zanzibar 24

Refa kutoka Kenya aliyeteuliwa na Fifa Kusimamia kombe la dunia akumbwa na kashfa nzito

Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali.

Ni miongoni mwa upelelezi wa miaka miwili uliofanywa na mwandishi wa Ghana mwenye utata Anas Aremeyaw Anas. Kipindi cha BBC Africa Eye kimepata kanda za video za kipekee katika makala yao ya mwisho.

Katika kisa kimoja naibu refa kutoka Kenya anayeelekea Urusi kuchezesha dimba la dunia kutoka Kenya alikubali dola 600 kutoka kwa mtu aliyejifanya kuwa...

 

10 months ago

BBCSwahili

Kombe la Dunia 2018: Chagua timu yako ya Afrika

Chagua timu yako, waonyeshe rafiki zako na pata taarifa kuhusu historia ya wachezaji wako katika Kombe la Dunia.

 

10 months ago

BBCSwahili

Ufisadi: Refa Mkenya aliyeteuliwa na Fifa Kusimamia kombe la dunia 'anaswa'

Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani