2 days ago

MwanaHALISI

Lissu kuanika waliomshambulia

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, anatarajiwa kuhutubia kupitia mkanda wa video utakaorushwa na vituo mbalimbali vya kimataifa vya televisheni, ndani ya wiki moja kutoka sasa, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu wa familia ya Lissu zinasema, mwanasiasa huyo shupavu nchini, amepanga kufanya mahojiano na vituo vya televisheni ambayo yatarushwa kupitia ...

 

2 days ago

Malunde

PICHA ZA TUNDU LISSU KWA MARA YA KWANZA AKIWA KENYA


Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu imesema kwamba kwa mara ya kwanza ndugu yao alipotolewa nje kupata hewa na kuota jua kauli yake aliyoitoa alisema kuwa ni sawa na ukiwa mfungwa huoni jua, mawingu wala hupigwi upepo wa kawaida.


Katika mahojiano aliyofanyiwa Kaka wa Lissu, Wakili Alute Mughwai Lissu amesema kwamba mara baada ya ndugu yake kutolewa nje na kukaa kwa takribani dakika 30 siyo yeye Lissu peke yake aliyefurahi bali ndugu wote waliokuwepo hospitalini hapo...

 

2 days ago

VOASwahili

Tundu Lissu azungumza kwa mara ya kwanza

Mbunge wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi mwezi uliopita, Jumatano amezungumza kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa kijamii na kusema kuwa anamshukuru Mungu kwa kunusurika kuuawa.

 

2 days ago

MwanaHALISI

Picha za kwanza ya Tundu Lissu hizi hapa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kusambaza picha ya Tundu Lissu kama alivyoahidi Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe mbele ya waandishi wa habari jana Makao Makuu ya chama hicho, anaandika Faki Sosi. Picha hiyo inayomwonesha Tundu Lissu akiwa amelazwa katika Hospitali Kuu ya Nairobi, Kenya akiwa na tabasamu, huku akipunga mkono, ni ya ...

 

3 days ago

Zanzibar 24

Alichosema Tundu Lissu kwa mara ya kwanza baada ya kutoka ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.

“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

 

3 days ago

Malunde

KAKA WA TUNDU LISSU AFUNGUKA ALICHOKIONGEA TUNDU LISSU BAADA YA KUTOKA ICU

Kaka wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Alute Mughwai ameeleza jinsi alivyomtoa mdogo wake chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) na kile ambacho alikisema mara tu baada ya kutoka ndani kwa mara ya kwanza.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano, Alute amesema Lissu mara baada ya kutoka si yeye pekee alifurahi hata ndugu zake waliokuwapo walifurahia tukio hilo.
“Manesi walipanga kumtoa nje Jumamosi (Oktoba 14) na kwa kuwa Lissu alijua tunakwenda, aliwaeleza wasimtoe wasubiri ndugu zake...

 

3 days ago

RFI

Mbowe: Lissu anaendelea vizuri na huenda akaruhusiwa kuondoka hospitali wiki ijayo

Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameondolewa katika chumba mahututi, na huenda akaruhusiwa kwenda nyumbani wiki ijayo, kwa mujibu watu wa karibu yake.

 

3 days ago

Zanzibar 24

“Tundu Lissu kutolewa Hospitali wiki inayo fuata” Mbowe

Mbowe amewaambia wanahabari kwamba kwa mujibu wa madaktari, hali ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu imeimarika hivyo wakati wowote kuanzia wiki ijayo anaweza kutolewa hospitali.

“Bw Lissu ametolewa katika chumba cha wagonjwa mahututi na kuwekwa katika wodi ya kawaida huku akiwa na uwezo kamili wa kuongea na kutembea kwa kutumia kiti cha magurudumu,” alifafanua Mbowe. Hata hivyo, Chadema imesema kuwa, kwa kuhofia usalama wa Lissu, kwa sasa hawatamrudisha nchini Tanzania.

“‘Kwa sababu...

 

3 days ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Lissu Set for Post-ICU Treatment Abroad


AllAfrica.com
Tanzania: Lissu Set for Post-ICU Treatment Abroad
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Singida East Member of Parliament Tundu Lissu, who is admitted to the Nairobi Hospital after unknown assasins attempted on his life by shooting at him multiple times over a month ago, is out of Intensive Care Unit (ICU). This was ...
Tanzanian opposition figure out of intensive care after attackNews24

all 2

 

3 days ago

Channelten

Hali ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu imeendelea kuimarika tofauti na ilivyiokuwa awali

mbowe-660x400

Hali ya mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipas Lissu imeendelea kuimarika tofauti na ilivyiokuwa awali huku akiendelea na matibabu huko nchini Kenya.

Akitoa taarifa kuhusu hali ya afya ya mbunge huyo,Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe amesema Lissu anaendelea vizuri na kwa sasa ameanza mazoezi baada ya kufanyiwa upasuaji mara 17.

Mbowe amesema Tundu Lissu anaweza kuzungumza, kula mwenyewe na keshatolewa kwenye chumba cha uangalizi maalumu ambako alikaa...

 

3 days ago

MwanaHALISI

Tundu Lissu leo kuanika kilichompata

FREEMAN Mbowe Mwenyekiiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu afya yake imeimarika na muda wowote kunzia leo ataanza kuzungumza kupitia video ambazo zitarushwa katika mitandao ya kijamii, anaandika Faki Sosi. Amesema leo Lissu ataanza kuzungumza na video yake itaanza kuonekana katika mitandao mbalimbali ili kuwatia moyo watu ...

 

4 days ago

BBCSwahili

Mbowe: Tundu Lissu kutoka hospitali wiki ijayo

Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania, Chadema Freeman Mbowe amewaambia wanahabari kwamba Tundu Lissu anategemea kutolewa hospitalini wiki ijayo

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani